Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 10,590
- 7,951
Sio wote wako hivyoo wengine wako na heshima zao pia hata popote ukienda utakumbana nao
Siamini kauli yako, wengi niwaonao wako hivyo.
Sio wote wako hivyoo wengine wako na heshima zao pia hata popote ukienda utakumbana nao
Sio wote wako hivyoo wengine wako na heshima zao pia hata popote ukienda utakumbana nao
Neno lenyewe dame( dem) limekuja kwetu Tanzania kupitia njia ya kenya, yaani kenya ndio walianza kulitumia Hilo neno kwenye lugha Yao ya sheng. Sheng moja ya sifa zake ni kuwa mchanganyiko wa Kiswahili na kingereza pamoja na lugha zingine za kiafrika.Honest has a power that very few people can handle mimi pamoja na ubaya wake nlikua nalitumia sana hilo neno ila leo nimejua sikua nadhalilisha rather ni Praise tu kwa kina dada, sasa itabidi uchekeleee sasa hivi ukiitwa demu
habar za wakati wana jf kuna kauli za wanawake ambazo zinanikera sana.bila kupoteza muda baadhi ya kauli hizo ni zifuatazo~
1.ukimwambia i luv u utamsikia anakwambia hilo neno mara ya mwisho kumwambia mama yako ilikuwa lini(jamani sasa ye inamuhusu)
2.ukimnunulia simu ya tochi utamsikia"unaninunuliasimu ya tochi kwani mi mlinzi"
3.mkigombana kidogo utamsikia"haloo ukisusa wenzio wala babu we"
4.kauli nyingine ni ile kuwaita wanaume mabuzi kwani sisi wanyama mpaka mtuite mbuzi mko*e utasikia"shoga nimelipata buzi hilo linahonga"
wadada hizi sio kauli nzur acheni kama kuacha ni ngumu mwaka ujao mtatoka ngeu
5.kwanza we mwanaume suruali tu ngoja niende kwenye ambao wana walletHabar za wakati wana JF,
Kuna kauli za wanawake ambazo zinanikera sana, bila kupoteza muda baadhi ya kauli hizo ni zifuatazo;
1.Ukimwambia i luv u utamsikia anakwambia hilo neno mara ya mwisho kumwambia mama yako ilikuwa lini(jamani sasa ye inamuhusu)
2. Ukimnunulia simu ya tochi utamsikia"unaninunulia simu ya tochi kwani mi mlinzi"
3. Mkigombana kidogo utamsikia"haloo ukisusa wenzio wala babu we"
4. Kauli nyingine ni ile kuwaita wanaume mabuzi, kwani sisi wanyama mpaka mtuite mbuzi mko*e utasikia"shoga nimelipata buzi hilo linahonga"
Wadada hizi sio kauli nzuri acheni kama kuacha ni ngumu mwaka ujao mtatoka ngeu.
He he he sikutishi babu we, hata wewe ukiniletea masikhara bakira zitakuhusu, haya kaka nitakuja pmbado hujanitisha, wewe baadae nipm tu ukitulia, sawa mdada
Mapepepoa poa nitafurahi sana kupata hiyo orodha
, kuna kitu nita kiandaaa kutokana na hayo majina mabaya mnayoitwa kina dada wote duniani.
Duuu...pole sana , sasa katika majina yote haya uliyoyataja , wewe[QUOTE="habari ya hapa, post: 14985738, member: 114221"
Mapepe
Changu
we uloshindikana
aiseee mengine utapata kwa wengine
Sijawahi kutumia jina la kumuita mwanamke dem.Utakuwa na wewe hiyo kauli huwa unaitumia sana.