Kauli za wanawake zinazoboa

Kauli za wanawake zinazoboa

Duuh huyu ndio wewe binti?

87313.jpg
 
Kivipi? Kwahio kitochi sio simu sahihi kumpa mwanamke/msichana? Kama ndio uwezo ulipoishia? Sio kila mtu anaweza kununua iphone 6
Inategemea hicho kitochi unampa nan....
 
Dame is a noble title the equivalent of sir. The same way you can call your man' my knight in shining amour' he can call you his dame which is same as knight(sir)

Hivi kumbe asili ya neno demu ndio limepatikana huku ? Kiswahili kipana kweli kweli
 
Eti dame inamaana ya "sir"duuu ina maana tunaitwa mwanaume ingali ni mwanamke (where is my dictionary hii lugha iliyokuja na meli duu ni shiiida)
Ndugu yangu si amesema ni equivalent ? Kosa lake liko wapi ?? Sijaona aliposema unaitwa mwanaume ingali wewe ni mwanamke
 
Mnawaokotaga mtaa gani wa hivyo mana hata kwa Kaka zangu sijawahi wasikia.
 
Wakati unataka kututoa ngeu unadhani tutakuwa tunakuangalia tu
Unajibiwa unachodeserve
 
Eti dame inamaana ya "sir"duuu ina maana tunaitwa mwanaume ingali ni mwanamke (where is my dictionary hii lugha iliyokuja na meli duu ni shiiida)
You misunderstood my point. Dame is to a woman while knight is to a man. Therefore a knight is addressed as sir while dame is addressed as madam. For example: Dame Judy Dench. ( the lady who plays the role of M, James Bond's boss in James bonds films)
 
Yeah Kiswahili Kama lugha nyingine ile yoyote ili kukua inatohoa maneno kutoka lugha zingine
Hili nlikua silijui mimi nashukuru maana mtaani kwetu wanasema maana ya demu ni tambara bovu ,kumbe maana yake halisi kutoka huko kwenye kingereza ni tofauti kabisa na nilivyo aminishwa
 
Inamaana yeye hata kununua nokia ya tochi hawezi?
 
Ukimnunulia kitochi akikuambia yy mlinzi siku nyengine mnunulie toys ya simu kabisa
 
Namba moja imenichekesha sanaaaaa ( kiukweli hayamhusu kabisa)
 
Wanawake ndo wanaongoza kuitwa majina ya ajabu ajabu hapa duniani, sie ndo tungepaswa tulalamike, mkuki kwa ngurue sio, kajifungie ndani ulale km unakereka
 
Wanawake ndo wanaongoza kuitwa majina ya ajabu ajabu hapa duniani, sie ndo tungepaswa tulalamike, mkuki kwa ngurue sio, kajifungie ndani ulale km unakereka
Yataje majinahayo ili tuyajue sote , maana isije kuwa mengine ndiyo huwa
mnajiita au mnapendwa muitwe....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom