Kauli za wanawake zinazoboa

Kauli za wanawake zinazoboa

Hizo kauli hutumiwa na wanawake wa kiswazi sana, yani wale ambao hata shule walikimbia umande,wao hawajishughulishi na chochote in short wapo wapo tu, sasa wewe mpaka uanze mahusiano na watu kama hao wastarabu unakua huwaoni??

ngoja nikutafute mstaarabu mwenzangu
 
Shangingi
Malaya
Kicheche
Mademu
Maharage ya mbeya
Madada poa,
we ****,
Yaaani mengi mengi
duuu ...kumbe hili nalo ni jina lenu...mimi mwanzo nilijua ni jina la kiungo chenu muhimu sana
kumbe ni jina la binadamu. duuuu poleni sana.
Noamba unipe tena mwendelezo wa orodha ya majina kuna kitu nataka kufanya juu ya haya
majina mabaya msiyo yapenda.
 
nitakuorodheshea baadae nikitulia
 
Hili nlikua silijui mimi nashukuru maana mtaani kwetu wanasema maana ya demu ni tambara bovu ,kumbe maana yake halisi kutoka huko kwenye kingereza ni tofauti kabisa na nilivyo aminishwa
Hata mimi nilikua nafaham kama wewe duuu thnks jf
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom