Uchaguzi 2020 Kauli za Mgombea CCM Dkt. Magufuli kuhusu umwagaji wa damu zina maana gani?

MKIRU, Ben Saanane, Azory, Akwilina, Maiti za coco beach kwenye sandaru, kutekwa, kupotezwa et etc etc. hasya yote hayakutokea huko nyuma isipokuwa kwako ....
Ni kweli huko nyuma hakukuwahi kuwa na mauaji ya namna yoyote ile,hata wewe ukiua sasahivi atakuwa kaua Magufuli.
 
Tuwaulize labda Chadema wanaomficha dereva wa Lissu ili asitoe ushahidi wa tukio zima.gari kipigwa rasisi zaidi ya 16 lakini dereva haijampata hata moja.
Kwani alikuwa target ya wapigaji? Mbona huelewi tu hii simple logic? Risasi hupiga ilikolengwa na Haina kona! Ccm mmejaa mazuzu yasiyojiuliza Bali kuitikia vibwagizo visivyo na maana!
 
"Baba wa Taifa ametawala kwa miaka 20+, Mwinyi miaka 10, Mkapa miaka 10, Kikwete miaka 10 hatukumwaga damu. Na mimi katika miaka 5 niliyotawala sikumwaga damu! Amani na usalama wa Watanzania ni kitu kikubwa, usiombe vita ni mbaya." -- Dkt. John Magufuli akiwa Kawe jana tarehe 14.

Nini maana ya kauli hii? Damu inamwagikaje yaani? Kwamba akiishia miaka mitano kutakuwa na umwagaji damu?

Tujadili kwa kina sana
Mtu mwenye akili timamu huwezi kuuliza swali kama hili.
 
"Baba wa Taifa ametawala kwa miaka 20+, Mwinyi miaka 10, Mkapa miaka 10, Kikwete miaka 10 hatukumwaga damu. Na mimi katika miaka 5 niliyotawala sikumwaga damu! Amani na usalama wa Watanzania ni kitu kikubwa, usiombe vita ni mbaya." -- Dkt. John Magufuli akiwa Kawe jana tarehe 14.

Nini maana ya kauli hii? Damu inamwagikaje yaani? Kwamba akiishia miaka mitano kutakuwa na umwagaji damu?

Tujadili kwa kina sana
Kuna damu za watu wengi zimemwagika katika utawala huu na zipo juu ya watawala hawa.
 
Back
Top Bottom