Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 57,243 Reaction score 90,301 Jul 3, 2025 #1 Amesema, 1. Sasa amewaruhusu watu wengine wakashike nafasi yake ya ubunge wa Ruangwa. 2. Wagombea wote wa ubunge waliojitokeza ni wazaliwa wa Ruangwa, wana uwezo wa kuleta maendeleo. 3.Hatua yake ya kuacha ubunge wa Ruangwa imeongozwa na Mungu.
Amesema, 1. Sasa amewaruhusu watu wengine wakashike nafasi yake ya ubunge wa Ruangwa. 2. Wagombea wote wa ubunge waliojitokeza ni wazaliwa wa Ruangwa, wana uwezo wa kuleta maendeleo. 3.Hatua yake ya kuacha ubunge wa Ruangwa imeongozwa na Mungu.
Kazanazo JF-Expert Member Joined Aug 16, 2023 Posts 5,557 Reaction score 8,193 Jul 3, 2025 #2 Katumia busara tumuache apumzike asije kuwa kama yule bata
Tindo Platinum Member Joined Sep 28, 2011 Posts 69,455 Reaction score 122,735 Jul 3, 2025 #3 Kazanazo said: Katumia busara tumuache apumzike asije kuwa kama yule bata Click to expand... Hiyo busara ilikuwa wapi wiki iliyopita alipotangaza kugombea tena?
Kazanazo said: Katumia busara tumuache apumzike asije kuwa kama yule bata Click to expand... Hiyo busara ilikuwa wapi wiki iliyopita alipotangaza kugombea tena?
Kazanazo JF-Expert Member Joined Aug 16, 2023 Posts 5,557 Reaction score 8,193 Jul 3, 2025 #4 Tindo said: Hiyo busara ilikuwa wapi wiki iliyopita alipotangaza kugombea tena? Click to expand... Mtu mwenye busara hushaurika sio sawa na yule bata alishauriwa hadi na press conference lakini akang'ang'ania kugombea mwisho wa siku chalii
Tindo said: Hiyo busara ilikuwa wapi wiki iliyopita alipotangaza kugombea tena? Click to expand... Mtu mwenye busara hushaurika sio sawa na yule bata alishauriwa hadi na press conference lakini akang'ang'ania kugombea mwisho wa siku chalii
K konalipin JF-Expert Member Joined May 16, 2025 Posts 649 Reaction score 870 Jul 3, 2025 #5 Tindo said: Hiyo busara ilikuwa wapi wiki iliyopita alipotangaza kugombea tena? Click to expand... Mwite tu Jina la staha ingawa alizingua sana.Machawa walimfanya ashipaze shingo akavunjika
Tindo said: Hiyo busara ilikuwa wapi wiki iliyopita alipotangaza kugombea tena? Click to expand... Mwite tu Jina la staha ingawa alizingua sana.Machawa walimfanya ashipaze shingo akavunjika
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 165,751 Reaction score 184,583 Jul 3, 2025 #6 Kila la kheri zake... Cc: Mahondaw