Kauli za Kikwete na Sirro zinaashiria kuna tatizo kwenye kifo cha Dkt. Reginald Mengi..

Wana hisa hawawezi kukubali kirahisi,

Mama Twin atakonda ghafla, atatamani azikwe na picha yake! Maana kama hao wenye nchi yao wameanza ina maana kuna kamati ya siri inaendela kupindua meza, kapeti, kitanda, line za simu, email, route za safari za mama twin, na closed people wote! Hatobakia mtu salama.

Jasho litamtoka, muda ambao sisi huku tumelala. Naanza kamini kuwa the world is not fair.
 
Ingefaa zaidi huyo anayejiita mke wa marehemu Reginald Mengi na huyo basha wake Hussein wawekwe chini ya ulinzi wa jeshi la polisi kwa "usalama wao"....watanzania tusikubali kuufumbuia macho huu upumbavu unaodaiwa kufanya na huyo mwanamke.
Washawekwa hao, hawaendi popote shenzy. Ukisikia watu wanasema ngoja tuzike haina maana kuwa mambo ndyiyo yanaanza, tayari kuna kamati ya roho mbaya. Inafanya kazi yake hapo
 
Unaweza kuthibitisha ili polisi wafanyie kazi?

Mengi ana ndugu, wana akili na wanaijua sheria. Kama kuna tatizo, wao ndio watakaokwenda kwenye vyombo vya dola ili hatua zichukuliwe.

Watanzania tuna mambo mengi asee, muda wa kuingillia maswala ya familia za watu unatoka wapi?
Wanahisa wataanza kubeba mbeleko ya familia, money is talking when the mouth can't speak.
 
Mkuu unasahau biashara alianzisha Mama Mercy na Mengi ambao hao ni wazazi wa hao watoto
Jack yeye kaja kudandia gari kwa mbele mkuu anapaswa akae kwa kutulia kabisa
Embu chukua nafasi ya Regina na Abiel mama na baba yako wachume mali pamoja alafu baba akaoe mke mwingine kweli utakubali amiliki mali alizochuma mama na baba yako kirahisi tuu
Wale watoto wamefundishwa nidhamu ya pesa, wanafahamu kuwa ipo kwa mambo flani hawana mashauzi
 
Tuanzie Hapa,

Kwa afya ya Mengi ilivyokuwa, alistahili kusafiri Safari ndefu kwenda Vacation Dubai? Tena akiwa ametoka Zanzibar?
Wanasafiri wagonjwa kwenye machea kwenda India sembuse huyu ambae alikuwa mzima. Hoja yako haina mashiko. RIP Mengi
 
Nimetoka kumsikia Rais mstaafu Jakaya Kikwete akisema kuwa "Ukweli kuhusu kifo cha Mengi utajulikana baada ya mtoto wake na mdogo wake kuwasili, haya mengine tuyaache kwanza"

Kabla ya hapo tumemsikia IGP Sirro akisema kuwa tayari wamefungua jalada kukusanya tuhuma na kisha kufanya uchunguzi.

Ukweli ni kuwa ni mara yangu ya kwanza kusikia viongozi wakubwa wakisema hadharani mambo kama haya juu ya kifo. Ikumbukwe kuwa zimeibuliwa tuhuma nzito kutoka kwa Mange juu ya msiba wa Mengi.

Aidha mimi binafsi kama mdau nina ukaribu na moja wa marafiki wakubwa sana wa Regina Mengi na alinieleza waziwazi kuwa Regina Alienda Dubai baada ya kuwa na mashaka fulani fulani juu ya ukweli wa hali ya Mengi. Huenda likawepo jambo. Emb tusubiri ila sijawahi kuona haya yakizungumzwa na viongozi wakubwa tena ukiachilia mbali majuzi tulipata msiba wa Ruge na Mange aliibuka tena na tuhuma ila hazikusemwa popote tofauti kabisa na tukio tulilo nalo kwa sasa!
Hii movie tamu..ngoja niongeze popcorn
 
Huyo Mangi Kimambi hana jipya,yeye kila tukio anakuja na story.
Kwanini huo ushaidi hakuuweka wazi mapema,kama Jaky alikuwa na uhuusiano usio mzuri na Huyo Husein kwanini hakuuweka wazi?
Kwa jinsi huyu Dada anavyopenda kiki,yaani agundue Jack au mke wa mkubwa mmoja anamahusiano yeye shaka asiseme!??
Hana jipya,story anazotoa ni za kuchafuana tu.
Kilichojaa mtandaoni ni maneno tu,huyu kafanya hivi,vile,yule kasema,hakuna video,picha,wala audio
 
This is not exclusive to bongo.
Kama umeshawahi kuangalia Investigation Discovery utajua kwamba haya mambo yapo na ni ya kawaida sana.
Na hii ndo shida ya kuolewa na wazee. Hata kama Jackie hakuua ila hii fedheha ya kusingiziwa sii mchezo.
Jack ni bint mrembo, naamini kabisa kulikuwa na vijana wenye uwezo mzur tu kifedha, na ni mahandsome na maisha mazur waliomhitaji na akawatosa, akakimbilia kwa mzee huyu kisa ni billionare mtu ambaye ana konki la watu nyuma, kisa tamaa ya pesa....
unaolewaje na mwanaume anayekuzid miaka 40 jaman wakat unajua lifespan yake ipo down, kama sio tamaa ta pesa ni nin?

Huyu bint alienda kuchimba dhahabu kwenye msitu mnene, na lazima nyuki wamng'ate
 
Ingefaa zaidi huyo anayejiita mke wa marehemu Reginald Mengi na huyo basha wake Hussein wawekwe chini ya ulinzi wa jeshi la polisi kwa "usalama wao"....watanzania tusikubali kuufumbuia macho huu upumbavu unaodaiwa kufanya na huyo mwanamke.
Hakuna usahidi kudhibitisha hizo tuhuma,
Hatuwezi kuhukumu MTU kwa maneno tu,tena maneno ya third part.
Wekeni picha,audio,video zinazothibitisha uhusiano usio mzuri kati ya Jacky na Huyo Husein.
Kama hakuna ushahidi shut the https://jamii.app/JFUserGuide up.
Wengi mnao shabikia hizi story za kuonesha Jack hakuwa MTU mzuri,mlitamani nyie ndio muolewe na Mzee.
Kama Jacky alikuwa na mpango wa kumdhuru mzee,lazima ni plan iliyopangwa kwa kipindi hata cha mwezi mmoja nyuma,
Hapo kwake nyumbani,anaishi na watu wengi,wafanyakazi wa nyumbani,walinzi,wapishi,kwanini hiyo mipango haikuvuja?kwanini hatukuletewa hizo tetesi.
Jack ni mdada simple sana,ingekuwa ni Madame litha Paulsen,ningeweza kuamini kwa sababu huyu ni aggressive kidogo.
Kwa hari ya maisha ya wabongo wengi,sasa HV ni msongo wa mawazo tu,hari ya uchumi ni mbaya,wengi wanatafuta kitu cha kuwasahaulisha machungu ya maisha japo kidogo,amusement.sasa kimambi,she is just telling you what you want to hear.
 
Pole kwa familia, ndugu, jamaa na marafiki kufuatia msiba wa mzee wetu. Mungu aendelee kumpumzisha kwa amani Dkt. Reginald Mengi. Amen!

Tangu zitangazwe taarifa za ghafla za kifo chake, kumetokea taarifa tata zinazodai kifo chake kina mkono wa mtu. Taarifa hizi zinaongozwa na mwanaharakati Mange Kimambi ambaye amefika mbali zaidi kwa kumtaja mke wa marehemu, Jacky na kijana Hussein wa Element kuhusika.

Awali zilionekana kama taarifa za umbea tu na uzushi lakini kwa kadri zinavyoanza kuzungumzwa na watu nyeti, jumlisha na kucheleweshwa kwa mwili wa marehemu, lipo jambo!

IGP Sirro amesema mwili ukishazikwa, Jeshi la Polisi litaanza kufuatilia ukweli wa kinachozungumzwa mitandaoni.

Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete nae amesema tusubiri ndugu wa marehemu waliopo Dubai waje wafafanue. Kwamba, ukweli utajulikana wakishawasili nchini. Maana yake, lipo la kuzungumzwa!

Hizi sio kauli nyepesi. Kama wao hawakupuuza, basi kuna mtiti unaendelea huko ambao unaonekana kufichwa fichwa!

Huenda wengi wetu tulishaamua kupuuza vijimaneno vilivyojitokeza na kumuombea mzee apumzike kwa amani, lakini hizi kauli zilizotolewa leo na zinazoendelea kutolewa zinatengeneza shauku ya kujua kuna nini cha ziada?

Nadiriki kusema JK na IGP wanafahamu kitu.. Ngoja tuone!
Jamaa una akili sana.
 
Hakuna usahidi kudhibitisha hizo tuhuma,
Hatuwezi kuhukumu MTU kwa maneno tu,tena maneno ya third part.
Wekeni picha,audio,video zinazothibitisha uhusiano usio mzuri kati ya Jacky na Huyo Husein.
Kama hakuna ushahidi shut the **** up.
Wengi mnao shabikia hizi story za kuonesha Jack hakuwa MTU mzuri,mlitamani nyie ndio muolewe na Mzee.
Kama Jacky alikuwa na mpango wa kumdhuru mzee,lazima ni plan iliyopangwa kwa kipindi hata cha mwezi mmoja nyuma,
Hapo kwake nyumbani,anaishi na watu wengi,wafanyakazi wa nyumbani,walinzi,wapishi,kwanini hiyo mipango haikuvuja?kwanini hatukuletewa hizo tetesi.
Jack ni mdada simple sana,ingekuwa ni Madame litha Paulsen,ningeweza kuamini kwa sababu huyu ni aggressive kidogo.
Kwa hari ya maisha ya wabongo wengi,sasa HV ni msongo wa mawazo tu,hari ya uchumi ni mbaya,wengi wanatafuta kitu cha kuwasahaulisha machungu ya maisha japo kidogo,amusement.sasa kimambi,she is just telling you what you want to hear.
Nakazia
 
"Hide my Id" kwa tuhuma zake huenda ni kweli.Maana kama alisema Ndugu wa Dr.Mengi walienda/wapo Dubai mzee alipozidiwa,ni dhahiri huyu atakuwa na detail zaidi.Na kingine je? Mzee alienda Dubai kwa mapumziko au matibabu.Umma wanahitaji kujulishwa juu ya kilichotokea kwa ufasaha
 
Back
Top Bottom