Kindeena
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 9,930
- 17,690
hapa nimenusa harufu ya zengwe kwa huyu binti,,huwezi ukaanza kufuatilia homicide baada ya mazishi kufanyika,ushahidi utabase kwa maneno ya mtandaoni na msibani?,au ndo binti anasukiwa zengwe la moneylaundry
Homicide hubase kwenye postmortem report na siyo mwili.
Mwili ukichachunguzwa unazikwa.
Postmortem ndiyo kila kitu.
Na hata ikitokea kuna sample au ushahidi umesahaulika, mahakama unaweza kuagiza kwamba kaburi lifukuliwe na mwili ufanyiwe utafiti tena.