Kauli za Kikwete na Sirro zinaashiria kuna tatizo kwenye kifo cha Dkt. Reginald Mengi..

Mzee Mengi alikua 70+, alikua na kisukari na aliwahi kupata stroke, mlitaka apumzike akiwa na miaka mingapi kwa Hali hiyo. Hata uongeaji wake ulikua wa tabu. Anatafutwa mchawi nani kwa vitu vya wazi kabisa

?
 
hapa nimenusa harufu ya zengwe kwa huyu binti,,huwezi ukaanza kufuatilia homicide baada ya mazishi kufanyika,ushahidi utabase kwa maneno ya mtandaoni na msibani?,au ndo binti anasukiwa zengwe la moneylaundry

Hata kama sio yeye anahusika..looks like jamii ishatoa hukumu ...very sad.
 
Wachaga hawana utu kwenye pesa, washjua marehem kampa nafas kubwa mkewe na watoto wake wameanza tengeneza zengwe ili huyu mjane asipate kitu, Mungu anaona hata wao pia hawatokuwa salama kama huyu bint atakutwa na baya kwenye hili
Acha kuleta habari za kikabila hapa Mkuu bhna... Wachaga Hatupumui?
 
Kwa kweli ..amejitafutia balaa kubwa sana " Jela ina muita ...labda umuhonge jiwe papuchi huwenda akanusurika ...lakini jiwe alikuwa na mahusiano ya karibu na marehemu sidhani kama atahadaika na kulifumbia macho hili .....

Naona wazi kuna bonge moja la kesi litaibuka nakuitikisa nchi kama ilivyo kuwa kwa kifo cha kanumba na kesi ya mauaji ya Elizabeth Michael (lulu)

AMA KWELI TAMAA MBAYA
Eti alipigiwa simu Dubai na watoto wa marehemu kuulizia hali yake inaendeleaje....akasema mzee yuko fresh, wasiwe na wasiwasi kumbe watu wako njiani wanakuja wamefika wakamkuta mzee ICU...sijui kweli hizi stori ni za kweli!
 
Hivi ule mwendo wa Mengi recently ni kitu cha kushangaa ukisikia moyo umesimama?hizi ni mbinu tu za kummwaga dada wa watu kwenye mirathi
Moyo kusimama ni mengine na ya kuanguka akiwa peke yake chumbani ni mengine
 
Back
Top Bottom