Kauli ya Warioba kuwa Iddi Amin aliua Watanzania wachache kuliko serikali ya Samia; Jeshi lijitazame sana

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2018
Posts
16,817
Reaction score
62,027
Nimemsikiliza Mheshimiwa Warioba, amesema kuwa vijana wetu waliouawa na Iddi Amin ni wachache kuliko watanzania waliouawa na utawala wa samia kwa kutumia majeshi yetu.

Taarifa ya jambo hili imenitafakarisha sana, kunihuzunisha sana na kushangazwa sana kuona kuwa majeshi yetu yanaweza kufanya uharamia, mauaji na ukatili wa kutisha dhidi ya wananchi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa kiwango hiki.

Kwa mauaji haya, ni upi uhalali kwa jeshi kuendelea kuitwa jeshi la wananchi wa Tanzania, upo wapi uhalali huu?.
Kama Majeshi yanaua watanzania kuliko Iddi Amin, hayo majeshi yanwezaje kujipride kuwa ni majeshi ya wananchi?.

Kinachotafakarisha zaidi ni kuwa kauli ya ulinganifu huo kuwa adui aliua vijana wetu wachache kuliko watanzania waliouawa na majeshi yetu imetolewa na aliyewahi kuwa makamu wa rais, waziri mkuu na mwanasheria mkuu wa serikali. Hili jambo linashtusha mno!.

Mimi siku zote nimekuwa proud na majeshi yetu, hasa operesheni ya kumng'oa nduli Idd Amin dada, siku zote nimejisikia fahari kuwasoma makamada walioendesha vita hiyo wakiwa makao makuu na wale waliokuwa field akina jenerali Mwita Marwa, Selasie Mayunga, Imran Kombe, Musuguri, na wengineo wengi . Sasa leo Waziri mkuu mstaafu anaposema Amin hakufanya mauaji kama haya yaliyofanywa na majeshi ya sasa nachanganyikiwa kabisa nasema kweli akina Mayunga, Marwa na Msuguri wangekuewepo leo wangeruhusu haya mambo kutokea?. Bila shaka huko walipo makaburini mashujaa wetu hawa wanajipinduapindua kwa uchungu kushuhudia silaha walizoziinua kumpiga adui leo hii zimegeuzwa kuwapiga watanzania!.

Labda ndiyo maana Watazania wanapocomment katika page za mtandaoni za Jeshi la Wananchi, wanatoa kauli kali za kuonyesha kuchukia, kupiga vijembe.Hii yote naamini ni katika kuonyesha hali ya kukata tamaa. Hii yote huenda ni kwa sababu ya uchungu wa mauaji ya kutisha ya wananchi wasio na rungu, wala wembe!.

Na kimsingi ni kosa gani ambalo wananchi hawa walilifanya hadi wastahili kupigwa risasi za kivita na kuuawa kinyama namna ile?:

1. Wapo wengi tu waliuawa walikuwa hata hawamo katika masuala ya maandamano wao walikuwa mitaani na shughuli zao za kijamii ikiwemo kujitafutia riziki wameuawa bila haki.

2. Wapo wananchi waliandamana kutaka mambo ya utekaji yakome, wanataka chaguzi huru na haki ili waweze kuweka viongozi wao madarakani kwa mujibu wa katiba na wao hawakusalimika na risasi na mauaji holela.

3. Wapo waliouawa mitaani mwao, majumbani mwao ambao hawakuwamo kabisa katika ishu za maandamano. Hawa walifanya kosa gani hadi wastahiki kuuawawa?

Hapana aisee, Jeshi linao wajibu wa kuwaomba radhi Watanzania, na liseme kwa nini Kuna mauaji mengi hivi yalitokea, wao walikuwa wapi?. Na kwa kuwa operesheni ya kumng'oa Amin ilikuwa ni ya kijeshi, na kwa kuwa operesheni ya October 29 ilikuwa ni ya kijeshi (Ndiyo maana tulimuona mkuu wa majeshi kwenye TV akieleza kinachofanyika) basi tunalitaka jeshi litoe kauli kuhusu kauli hii ya waziri mkuu mstaafu kuwa watanzania waliouawa na majeshi yetu katika maandamano inazidi idadi ambayo mvamizi, nduli iddi Amin aliifanya kwa vijana wetu mwaka 1978.

c.c CDF JWTZ

Msikilize Mzee Warioba hapa akilisema jambo hili

Nimemsikiliza Mheshimiwa Warioba, amesema kuwa vijana wetu waliouawa na Iddi Amin ni wengi kuliko watanzania waliouawa na utawala wa samia kwa kutumia majeshi yetu.

Labda ndiyo maana Watazania wanapocomment katika page za mtandaoni za Jeshi la Wananchi, wanatoa kauli kali za kuonyesha kuchukia, kupiga vijembe.Hii yote naami, na kuonyesha hali ya kukata tamaa. Hii yote huenda ni kwa sababu ya uchungu wa mauaji ya kutisha ya wananchi wasio na rungu, wala wembe!.

Na kimsingi ni kosa gani ambalo wananchi hawa walifanya?:

Rekebisha uzi wako.
 
rekebisha
 
Idadi hulinganishwa kwa namba.
Kuweka ukweli, uwazi na kumaliza mjadala kwa weledi, serikali na vyombo vya ulinzi na usalama vijaze nafasi zilizo wazi hapa;

1. Idadi ya waliouwawa kwenye vurugu za wakati wa uchaguzi na siku chache baada ya uchaguzi ni.................

2. Idadi ya waliouwawa wakati wa Vita kati ya Tanzania na nduli idd amini ni................

Bila hivi wote tutabishana kama majuha, tukiongozwa na serikali na vyombo vya dola vyenye uwezo na nguvu za kisheria za kutoa takwimu hizo.
Kuna changamoto kubwa ya fikra kwa wengi.
 
Nimemsikiliza Mheshimiwa Warioba, amesema kuwa vijana wetu waliouawa na Iddi Amin ni wengi kuliko watanzania waliouawa na utawala wa samia kwa kutumia majeshi yetu.

Taarifa ya jambo hili imenitafakarisha sana, kunihuzunisha sana na kushangazwa sana kuona kuwa majeshi yetu yanaweza kufanya uharamia, mauaji na ukatili wa kutisha dhidi ya wananchi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa kiwango hiki.

Kwa mauaji haya, ni upi uhalali kwa jeshi kuendelea kuitwa jeshi la wananchi wa Tanzania, upo wapi uhalali huu?.
Kama Majeshi yanaua watanzania kuliko Iddi Amin, hayo majeshi yanwezaje kujipride kuwa ni majeshi ya wananchi?.

Kinachotafakarisha zaidi ni kuwa kauli ya ulinganifu huo kuwa adui aliua vijana wetu wachache kuliko watanzania waliouawa na majeshi yetu imetolewa na aliyewahi kuwa makamu wa rais, waziri mkuu na mwanasheria mkuu wa serikali. Hili jambo linashtusha mno!.

Mimi siku zote nimekuwa proud na majeshi yetu, hasa operesheni ya kumng'oa nduli Idd Amin dada, siku zote nimejisikia fahari kuwasoma makamada walioendesha vita hiyo wakiwa makao makuu na wale waliokuwa field akina jenerali Mwita Marwa, Selasie Mayunga, Imran Kombe, Musuguri, na wengineo wengi . Sasa leo Waziri mkuu mstaafu anaposema Amin hakufanya mauaji kama haya yaliyofanywa na majeshi ya sasa nachanganyikiwa kabisa nasema kweli akina Mayunga, Marwa na Msuguri wangekuewepo leo wangeruhusu haya mambo kutokea?. Bila shaka huko walipo makaburini mashujaa wetu hawa wanajipinduapindua kwa uchungu kushuhudia silaha walizoziinua kumpiga adui leo hii zimegeuzwa kuwapiga watanzania!.

Labda ndiyo maana Watazania wanapocomment katika page za mtandaoni za Jeshi la Wananchi, wanatoa kauli kali za kuonyesha kuchukia, kupiga vijembe.Hii yote naamini ni katika kuonyesha hali ya kukata tamaa. Hii yote huenda ni kwa sababu ya uchungu wa mauaji ya kutisha ya wananchi wasio na rungu, wala wembe!.

Na kimsingi ni kosa gani ambalo wananchi hawa walilifanya hadi wastahili kupigwa risasi za kivita na kuuawa kinyama namna ile?:

1. Wapo wengi tu waliuawa walikuwa hata hawamo katika masuala ya maandamano wao walikuwa mitaani na shughuli zao za kijamii ikiwemo kujitafutia riziki wameuawa bila haki.

2. Wapo wananchi waliandamana kutaka mambo ya utekaji yakome, wanataka chaguzi huru na haki ili waweze kuweka viongozi wao madarakani kwa mujibu wa katiba na wao hawakusalimika na risasi na mauaji holela.

3. Wapo waliouawa mitaani mwao, majumbani mwao ambao hawakuwamo kabisa katika ishu za maandamano. Hawa walifanya kosa gani hadi wastahiki kuuawawa?

Hapana aisee, Jeshi linao wajibu wa kuwaomba radhi Watanzania, na liseme kwa nini Kuna mauaji mengi hivi yalitokea, wao walikuwa wapi?. Na kwa kuwa operesheni ya kumng'oa Amin ilikuwa ni ya kijeshi, na kwa kuwa operesheni ya October 29 ilikuwa ni ya kijeshi (Ndiyo maana tulimuona mkuu wa majeshi kwenye TV akieleza kinachofanyika) basi tunalitaka jeshi litoe kauli kuhusu kauli hii ya waziri mkuu mstaafu kuwa watanzania waliouawa na majeshi yetu katika maandamano inazidi idadi ambayo mvamizi, nduli iddi Amin aliifanya kwa vijana wetu mwaka 1978.

c.c CDF JWTZ
Warioba kapata wapi takwimu hizo?
 
Na bado bila aibu jeshi linaendelea kuuwa, kila siku tunaona watu wakitekwa na kuchukuliwa na watu wanaojitambulisha polisi na hakuna hatua zozote zinazochukuliwa wala kuwajibishwa kwa Viongozi
 
Mkuu unatakiwa kujua kuwa hili jeshi si la wananchi ni jeshi la kutetea na kulinda rasilimali za nchi iliziwanufaishe mafisadi na madalali wa nchi.

Tanzania ni nchi pekee isiyo na jeshi wala usalama wa taifa wa kulinda rasilimali kwa manufaa ya taifa.
Kuna kauli ya HP kipindi akiwa hai alikuwa anapenda kulitumia kuwa makundi ya wezi wa rasilimali za taifa huwa wanafikia hatua wanapiga kopi kama ni Chama, Jeshi, Serikali, Usalama nk na yanaonekana kwa macho ya juu kama yapo kitaifa kumbe ni jina tu ili yawe na uhalali na watu wasiona ujuzi wasiweze kuyatenganisha.

Kwasasa nchi hii ni mali ya kikundi fulani au watu fulani wao ndiyo wanaamua nani afanywe nini kwa wakati gani.

Uzalendo kwao ni kufuata matakwa yao na wao ndo wana guarantee huo uzalendo. Wewe utamwona HP, Lissu nk kuwa wazalendo lakini wao watamwona anayetetea watu kuuawa ilikuwa ni sahihi ndo mzalendo kwao.
Tupo pabaya sana kama taifa na hatuna wa kutuokoa mpk Mungu Ainslie kati tu maana hivyo vyombo ni copy tu pale hatuna kila kitu. Unapokuwa na watu wa vyombo ambao kila mmoja wao ana bei yake ujue hauna taifa imara hapo.
 
Back
Top Bottom