wewe NAPE unamtindio wa ubongoNashukuru kumbe mnatembelea sanaaa FB wall yangu!!! Hii kwangu ni njema! karibuni sana wall ya Katibu Mwenezi wa CCM
sidhani kama akili yako iko sawa
sidhani kama unayoyasema unafikiri sawasaw
unatumiwa pasi kujijua
kuwa makini
wanaokutumia watakuacha njia panda ukiwa huna pa kwenda
usikurupuke..kila siku unaharibu hali ya hewa ya kisiasa