Kauli ya Nape Juu ya Arusha na Tafsiri Yangu

Nashukuru kumbe mnatembelea sanaaa FB wall yangu!!! Hii kwangu ni njema! karibuni sana wall ya Katibu Mwenezi wa CCM
wewe NAPE unamtindio wa ubongo
sidhani kama akili yako iko sawa
sidhani kama unayoyasema unafikiri sawasaw
unatumiwa pasi kujijua
kuwa makini
wanaokutumia watakuacha njia panda ukiwa huna pa kwenda
usikurupuke..kila siku unaharibu hali ya hewa ya kisiasa
 
Nape ameandika hivi kwenye Wall yake ya Facebook

Nimejaribu Kusoma Katikati ya Mstari nimetfsiri/Nimegundua kwamba

1. Piga Ua Garagaza ilikuwa ni Lazima Lema ang'olewe Ubunge wa Arusha kwa Maana kwa Mujibu wa CCM Lema alikuwa anazuia Shughuli za Uchumi na Biashara ziendelee

2. CCM Ilipanga hukumu ile ila Nape hawezi kuweka kitu Kifuani aidha kwa Chuki au Chochote kile ameamua kuweka wazi siri yote. Ila Sishangai si hawa ndio walivujisha barua juu ya Utata wa Uraia wa Sioi

3. CCM wanamuogopa Lema na Wasingependa Agombee tena (Ili Kurudisha "Amani" na "Utulivu" Arusha) So CDM wajiandae kisheria Naamini Mapambano ya CCM/Serikali yake hayajaisha jana. Watakuwa wanasubiri Muda wa Lema kukata/kukubaliana na Rufaa upite wafungue kesi nyingine ya Pingamizi.

4. Kwa hali inavyoelekea itachukua Muda Mrefu sana kwa Arusha kupata Mbunge

Nape ni kijana F.A.L.A
 
Nashukuru kumbe mnatembelea sanaaa FB wall yangu!!! Hii kwangu ni njema! karibuni sana wall ya Katibu Mwenezi wa CCM

Acha ndoto za mchana ww gamba. jimbo la arusha ndio ngome kuu ya chadema. nan asiyejua kuwa ccm mlikuwa mnafanya ufisad kwa kupitia jimbo hil? na ss mnamtoa lema mkidhan litarud kwenu, iyo ni ndoto. angalizo langu ni bora nape uanze ku2bu maovu yako mapema kwn 2015 cjui utakimbilia wap, kwn ndio utakuwa ni mwaka wa kutoa hukumu kwa ufisad wenu. Nawachukia sn nyie magamba haswa JK.
 
Nape ameandika hivi kwenye Wall yake ya Facebook

Nimejaribu Kusoma Katikati ya Mstari nimetfsiri/Nimegundua kwamba

1. Piga Ua Garagaza ilikuwa ni Lazima Lema ang'olewe Ubunge wa Arusha kwa Maana kwa Mujibu wa CCM Lema alikuwa anazuia Shughuli za Uchumi na Biashara ziendelee

2. CCM Ilipanga hukumu ile ila Nape hawezi kuweka kitu Kifuani aidha kwa Chuki au Chochote kile ameamua kuweka wazi siri yote. Ila Sishangai si hawa ndio walivujisha barua juu ya Utata wa Uraia wa Sioi

3. CCM wanamuogopa Lema na Wasingependa Agombee tena (Ili Kurudisha "Amani" na "Utulivu" Arusha) So CDM wajiandae kisheria Naamini Mapambano ya CCM/Serikali yake hayajaisha jana. Watakuwa wanasubiri Muda wa Lema kukata/kukubaliana na Rufaa upite wafungue kesi nyingine ya Pingamizi.

4. Kwa hali inavyoelekea itachukua Muda Mrefu sana kwa Arusha kupata Mbunge

Nape anajifanya anamjua Mungu mnafiki mkubwa tuu... Angesema anamchukia Lema kwa kuwafumbua macho zaidi watu wa Arusha kitu ambacho CCM hawapendi
 
Mi simshangai Nape kuhusu uwezo wake maana hajawahi kuwa na uwezo mkubwa kiivyo kwani hata huo "Ukuu wa wilaya " na Uenezi kapewa tu ili kulindana na makundi yao kama kawaida....! Kwanza Nape amesoma Masters Mzumbe na wakati Form 4 alifanya vibaya hakuwa na vigezo vya kufanya masters Degree bila kuweka mambo sawa ya O level, Sasa mtu kama uwezo hata wa kufaulu vizuri mitihani ya O level mnadhani atakuwa na uwezo wa kuongoza Chama kongwe kama CCM ?
 
huyo nap... ni shoga tu kwani nani asiemjua...maskini juzi nimemuona SERENA na demu wetu angejua kwamba yule sio kiwango chake angeachana nae yule dada kazoe mashine za wanaume na sio za mashoga wasioweza kukuza msuli wa ****.
 
katika sehemu zinawaumiza ccm+mafisadi ni arusha wamewekeza kimizengwe kila mahali wamejenga mpaka sehemu za wazi.ndiyo sãbabu hata maamuzi ya madiwani waliofukuzwa wa chadema mahakama wanapiga danadana kutoa hukumu.yaani wanachotaka arusha isiwe na viongozi wa kuchaguliwa ila wabaki wa kuteuliw wakuu wa wilaya+mkoa.kwa sasa hatuna mbunge wala madiwani wale waliopinga kufukunzwa.ndo ki2 walichotaka.ila 2nasubiria uchaguzi mpya 2tawaonyeshe rangi. Hata wafanye nini arusha.ccm hawataiweza cdm
umesema kweli kabisa.....hawa mafisadi wa ccm wanachotaka ni kuishika arusha kwa kila hali....yaani arusha ni potential kubwa sana kwa mafisadi wa ccm akiwemo JK...infact JK inamuuma sana jimbo la arusha mjini kushikwa na CDM.....maana hata JK ana mipango ya kuwekeza arusha.....infact ameshaanza na kule Bilila lodge serengeti.....ambako alikuwa na hisa na kempiski....na ndio sababu JK naserikali yake wanan'gan'gania ujenzi wa barabara ya lami toka arusha mpaka musoma kupitia mbugani seringeti bila kujali uharibifu wa mbuga....lengo lake ni kuongeza uwekezaji wa kifisadi ukanda woote wa arusha akishirikiana na contacts zake alizojijengea nje ya nchi....Tukumbuke arusha ndio centre ya utalii TZ....hivyo yoyote anaekuja TZ kutembelea serengeti laima aanzie arusha.....haya mambo lazimawatu wayaone kwa kutizama bigger picture.....haya mashinikizo ya mahakama yanatoka juu...ikulu...hili halina mjadala...wanajua wanachotaka na hawatajali raia wa arusha wanataka nini....kwao mafisadi raia wa chini si chochote kwao.....na wanaomlilia Lema ni raia wa chini....CDM inabdi wafanye kila liwezekanalo walirudishe jimbo maana hawa ccm hawajali kitu.......this is just my take...
 
Je Kwa nini CCM wanamuogopa Lema? Well Hili linahitaji Mjadala wake na Very Soon Nitalianzishia Thread. Kimsingi CCM wanamuogopa Lema Kuliko Mbunge Yeyote yule wa CDM!
 
nape ni kilaza..eti uchumi upande..toka tupate uhuru uchumi hawajaupandisha sembuse leo ndio waupandishe?
 
kweli Watanzania tunaongozwa na watu wasiokuwa na uwezo wa uongozi, mtu mmoja kama Lema anaweza kuwa chanzo chz Vurugu kwa mji kama Arusha/ Makao makuu ya EAC ? hainiingi akilini
 
Nape ameandika hivi kwenye Wall yake ya Facebook

Nimejaribu Kusoma Katikati ya Mstari nimetfsiri/Nimegundua kwamba

1. Piga Ua Garagaza ilikuwa ni Lazima Lema ang'olewe Ubunge wa Arusha kwa Maana kwa Mujibu wa CCM Lema alikuwa anazuia Shughuli za Uchumi na Biashara ziendelee

2. CCM Ilipanga hukumu ile ila Nape hawezi kuweka kitu Kifuani aidha kwa Chuki au Chochote kile ameamua kuweka wazi siri yote. Ila Sishangai si hawa ndio walivujisha barua juu ya Utata wa Uraia wa Sioi

3. CCM wanamuogopa Lema na Wasingependa Agombee tena (Ili Kurudisha "Amani" na "Utulivu" Arusha) So CDM wajiandae kisheria Naamini Mapambano ya CCM/Serikali yake hayajaisha jana. Watakuwa wanasubiri Muda wa Lema kukata/kukubaliana na Rufaa upite wafungue kesi nyingine ya Pingamizi.

4. Kwa hali inavyoelekea itachukua Muda Mrefu sana kwa Arusha kupata Mbunge

Naamini katika uhuru wa mahakama na nikuikosea nidhamu mahakama kwa kuituhumu imeingiliwa katika uamuzi wake juu ya swala la Mheshimiwa Lema.
Pili kuhusu CCM kumuogopa Lema sidhani kama hii hoja ina mashiko may be CCM kuiogopa CHADEMA kama taasisi sawa cause Lema is not equal to CHADEMA and vice versa is true.
Pia ikumbukwe katika Jimbo la Arusha mjini CCM imekuwa ikitumia delay tactic katika swala la uchaguzi wa madiwani kwa kujificha nyuma ya waliokuwa madiwani wa CHADEMA wa kata za Kimandolu,Kaloleni,Themi,Kata ya Unga Limited kiti kiko wazi baada ya aliyekuwa diwani wake kwa tiketi ya CCM kufariki pamoja na kata ya Ndugu Bayo hivyo basi uamuzi wa busara kwa wanachadema kwa kujali maslahi ya wana Arusha kwa ujumla wake ni kutokukata rufaa ya uamuzi katika kesi ya ubunge ili ku speed up uamuzi katika kesi ya waliokuwa madiwani wake ili kusukuma gurudumu la maendeleo mbele kwani mwisho wa siku wananchi watawauliza wamefanya nini katika kipindi cha miaka mitano waliyopewa ridhaa ya kuliongoza jimbo na halmashauri na swala la kuwa na kesi mahakani kama kisingizio cha kutokuwaletea wananchi maendeleo kwa kuwa na kesi mahakamani halitakuwa na mashiko. Chadema's leadership tafadhali niwaombe kuachana na kesi zisizokuwa na ulazima ili kuwaletea wananchi wa Jimbo la Arusha mjini maendeleo.Ni matumaini yangu kama uchaguzi mdogo utafanyika na kampeni ya kistaarabu kufanyika na uchaguzi huru kuwepo CHADEMA ina ushawishi mkubwa katika kata zote zilizo wazi na Jimbo lote la Arusha kwa ukubwa wake hivyo basi kushinda kwake katika kata zote hizo na ubunge utakuwa utatuzi wa mgogoro wa muda mrefu wa swala la kiti cha umeya wa manispaa ya Arusha.
 
Nashukuru kumbe mnatembelea sanaaa FB wall yangu!!! Hii kwangu ni njema! karibuni sana wall ya Katibu Mwenezi wa CCM

Sikushangai kwa akili mbovu kama hii nape kwani hata vijana wako humu jf(ritz,rejao&co.)ni reflection ya mawazo yako mgando!Mtaendelea kupata vichapo mfululizo toka chadema mpaka pale mtakapoacha kutumia MALUSINDE kufikiri.Foolish mwili mzima.
 
Nashukuru kumbe mnatembelea sanaaa FB wall yangu!!! Hii kwangu ni njema! karibuni sana wall ya Katibu Mwenezi wa CCM

we mwenyewe unafikilia kwa kutumia masabuli, kwani kutembelea kwenye wall yako si watu wanataka kuona umeweka upuuzi gani wa magamba wenzio, wala hawatembei kujifunza chochote especial me
 
nashukuru kumbe mnatembelea sanaaa fb wall yangu!!! Hii kwangu ni njema! Karibuni sana wall ya katibu mwenezi wa ccm

huwa tunapita kuangalia komedi zenu nyie majirani zetu ccm coz mnaishi mabonden 2nacheki kama mafuriko ya m4c yamekumba au vipi. Leo nimeona paa limeng'oka in short jiran mko naked baada ya sarakas za arusha

chadema dhaifu ni bora kuliko ccm imara
 
Wanasiasa jamii ya Nape, January & Co ni wavivu wa kufikiri na mambumbu wa siasa, wanaume wanapambana wanashinda bila mbeleko za wazazi wao, mitandao ya kichama, rushwa n. k. halafu wajinga wachache wanawanyang'anya mafanikio ya mezani halafu viumbe wajinga wachache wanajitokeza kuchekelea...

Mtu kama January ana tofauti gani na Anna Makinda sababu wote walipita bila 'kupingwa' halafu wanaanza kujichekesha wanaume wanapohujumiwa na mahakama za kizalimu zilizosheheni rushwa na kulamba Ikulu viatu, siwezi kuwatofautisha hawa na wabunge wa viti maalumu.

Ujinga mtupu, subirieni kipigo cha pili...
 
Back
Top Bottom