Kauli ya Nape Juu ya Arusha na Tafsiri Yangu

kwa huo mwezi mliouona mmesahau kwamba ni hivi majuzi tu tulikua igunga na uzini?au mmesahau ya tarime tulivyolirudisha jimbo kiubweeeete!

kiufupi huyo mbunge wenue tumemuzima tu jimbo.2015 litarudi tena kwa kishindo nguvu mpya,hili ndio ccm chama kubwa,hata msinde viti kumi vya ubunge kwa mpigo bado hamuifikii hata nusu ya wabunge wa ccm,kushinda jimbo moja si hoja hata mrema na tlp yake wameshinda jimbo moja but ccm palepale
Duh...kweli kushabikia magamba inabidi akili uwe umezifungia kabatin[yaan uciwe na akili kabisa]. Yaan hata cdm ikichukua majimbo 10 huon tofaut..?
 
Nashukuru kumbe mnatembelea sanaaa FB wall yangu!!! Hii kwangu ni njema! karibuni sana wall ya Katibu Mwenezi wa CCM

Mnajisumbua sana,tena sana.Hapa hakati mtu rufaa alafu tunaingia ulingoni uchAguzi tena ndo mtakapoona tunavyowabwaga kwa kishindo,Na hii ndo itazidi kuwAongezea CDM umaarufu.Poleni magamba hamkuwaza mbali
 
Nape ameandika hivi kwenye Wall yake ya Facebook

Nimejaribu Kusoma Katikati ya Mstari nimetfsiri/Nimegundua kwamba

1. Piga Ua Garagaza ilikuwa ni Lazima Lema ang'olewe Ubunge wa Arusha kwa Maana kwa Mujibu wa CCM Lema alikuwa anazuia Shughuli za Uchumi na Biashara ziendelee

2. CCM Ilipanga hukumu ile ila Nape hawezi kuweka kitu Kifuani aidha kwa Chuki au Chochote kile ameamua kuweka wazi siri yote. Ila Sishangai si hawa ndio walivujisha barua juu ya Utata wa Uraia wa Sioi

3. CCM wanamuogopa Lema na Wasingependa Agombee tena (Ili Kurudisha "Amani" na "Utulivu" Arusha) So CDM wajiandae kisheria Naamini Mapambano ya CCM/Serikali yake hayajaisha jana. Watakuwa wanasubiri Muda wa Lema kukata/kukubaliana na Rufaa upite wafungue kesi nyingine ya Pingamizi.

4. Kwa hali inavyoelekea itachukua Muda Mrefu sana kwa Arusha kupata Mbunge

Kumbe.Ni masuala ya kiintelijensia zaidi na sio siasa... Lakn nadhani kama haki ikitendeka hali isingefika hapo na kusingekuwa na kuogopana.CCM tutendeeni haki wenyenchi yetu
 
Arusha people knowz! Majumba ya magamba yamejaa huko! Maviwanja ya magmba yamejaa huko, watu wanaona kwa macho yao!
 
kwa huo mwezi mliouona mmesahau kwamba ni hivi majuzi tu tulikua igunga na uzini?au mmesahau ya tarime tulivyolirudisha jimbo kiubweeeete!

kiufupi huyo mbunge wenue tumemuzima tu jimbo.2015 litarudi tena kwa kishindo nguvu mpya,hili ndio ccm chama kubwa,hata msinde viti kumi vya ubunge kwa mpigo bado hamuifikii hata nusu ya wabunge wa ccm,kushinda jimbo moja si hoja hata mrema na tlp yake wameshinda jimbo moja but ccm palepale

Igunga na Uzini sio reference ya arusha milele,
Tumechafukwa roho Arusha hatupelekwi kiivyo.
Chaguzi ndogo za mjini ni advantage kwa CHADEMA kwani hata walimwengu waliopo nje ya arusha watasisimka kwa kipigo cha mbwa mwizi tutakacho watandika CCM.
CCM inashinda maeneo ambayo raiya hawajajikomboa kifikra.
formula yetu ni, PIGA KURA, LINDA KURA.
Siasa za nyuma ya keybord zilikutokea puani Arumeru, sasa last time tulishinda kwa tofauti ya kura 19,000 ila safari hii itakuwa mara nane ya awali tutawaacha uchi mbele ya IKULU inayowabeba.
Sauti ya mnyonge inadondosha mpaka milima, nyie mna dola sisi tuna mungu, nyie mna Jaji wenu duniani sisi tuna jaji wetu mbinguni.
CCM mnapiga sarakasi na taulo by dmayola(JF member)
 
kibaraka huyu siku zake zinahesabika. Angalau ndo tulikuwa tunamwona mwenye akili kidogo ila kwa kauli naeza sema akili za katibu mwenezi huyu ana akili ndogo kama kuku wa kisasa asitake kucheza na sisi huyu analeta dharau kwa kuwa amepakatiwa na Mafisadi?? Poor Nape ur dayz ar numbered!!
 
Nashukuru kumbe mnatembelea sanaaa FB wall yangu!!! Hii kwangu ni njema! karibuni sana wall ya Katibu Mwenezi wa CCM

Nape wewe ni mnafiki, hukumu ya Lema uliitoa mapema mpaka mahakama ikakupiga stop, ni muda mrefu sana ulisema mnajiandaa na uchaguzi wa marudio, ulijuaje kesi mtashinda? Nakubaliana na waliosema cc ndo imetoa maamuzi ya kesi na siyo jaji

kwani hujui ukiwa magamba lazima uwe mnafiki kama si mchawi
 
Nape ni sasa gani unazoziendesha?
wala ufanani nazo kabisa

Hivi unataka kutuambia uhuoni ukweli wowote katika hili?

wewe ni kijana, jenga imani yako kwa vijana wenzio ambao kwa sasa ndio muhimili wa Taifa na ndio wapiga kura wakubwa

ni ushauri wa bure tu

Nape ni mzigo CCM, badala ya kuwavuta vijana CCM anazidi kuwakimbiza kwa kauli zake! Nimepita kwenye hiyo FB page, vijana wamempa za uso! Nape anatakiwa ajifunze kwa Makamba na Zitto namna ya kutumia social media effectively! Social medea hazina watu wenye muda na vijembe! Vijembe apeleke Temeke kwenye majukwaa!
 
TUNA WATALII WASIOJUA KUCHAMBUA MAMBO. HAWAJUI KWA NINI MAANDAMNO? Hata wall street yapo
 
Nashukuru kumbe mnatembelea sanaaa FB wall yangu!!! Hii kwangu ni njema! karibuni sana wall ya Katibu Mwenezi wa CCM

wewe ni Nape huwa ni BUMBUMBU sana kwani huwa ni mpropokaji na mmbea wala hupitwi na jambo lolote, nashangaa sana CCM kumuweka mtu kama ww mwenye tabia za kike, pili wewe nape ni mshirikina sana na uwepo wako kisiasa kujiamni unategemeana na imani uliyo nayo juu ya yule mganga wa kienyeji wa Bagamoyo anayekudanganyaga hadi ukatumia fedha nyingi kumjengea nyumba yake mafisa- moro. Alafu siku hiz huwa unapita makinisani bila hata aibu wala uoga, umesaliti imani yako ya kikristo kwa kuendekeza ushirikina na mbaya zaidi umetusaliti sisi vijana wenzako kwa kukumbatiana na mafisadi kwenye chama chako na kutumia mahakam kunyonya haki za wenzenu.
MI NAAPA MWISHO WENU UMEKARIBIA NA KWA JINSI MNAVYOZIDI KUTUJAZA HASIRA IPO SIKU TUTAWADHALILISHA KWANI NYIE CCM MMEKOSA KABISA ADABU KWENYE HAKI NA UTU WA WENZENU.
 
Nape sidhani kama huo ndo uwezo wako wa kuchambua mamabo!! Yaani suala la watalii kupungua na amani na maisjha kuyumba vinausihana nini na Mbunge wa Arusha?? Hata kama ni kweli vitu hivyo ulivyovitaja je ni Arusha peke yake?? maisha ni magumu kila kona ya Tanzania!! Nasikitika sana kijana mwenzetu umeamua kuacha kutumia akili zako kwani naamini bado unazo na kuendeleza siasa za maji taka ambazo hazina ushaidi wa kisayansi.......Siku zako zinahesabika sana nadani ya siasa za Tanzania.....huvyo kama kijana mwenzako nakushauri kuanza kutumia muda wako mwingi kwenye kuandaa maisha yako ya baadae....Poor you Nape!!!
 
Nashukuru kumbe mnatembelea sanaaa FB wall yangu!!! Hii kwangu ni njema! karibuni sana wall ya Katibu Mwenezi wa CCM

Wewe ni public figure kwa hiyo utakachofanya/kusema iwe ni kwenye mwanga/giza itakuwa ni habari.
 
Niko kwenye industry ya utalii sikujua kama Lema alikua kikwazo ..daah kweli maendeleo yatakua kazi kama ndio mawazo ya NAPE ambaye huko CCM ndio kichwa chao ..wammbie wakasome uchumi na Arusha haitegemei CCM iwaletee maendeleo ..
 
Nape hivi huko CCM kuna nini? mbona kila wa huko hamnazo? mbona hamna uwezo wa kujadili jambo?
sasa ni nini umepost hapo? Umekuwa na majibu kama WEMA SEPETU.
ULAANIWE WEWE NA HAO MAFISADI UNAOWATUMIKIA.!!!! KABLA YA KUSHUKA KABURINI UTAKULA HAYA MANENO YAKO!
 
Nashukuru kumbe mnatembelea sanaaa FB wall yangu!!! Hii kwangu ni njema! karibuni sana wall ya Katibu Mwenezi wa CCM
We ni haja kubwa tu! mzandiki, kigeugeu, muuaji. Rwanda walianza hivi hivi ! watawala kwaona wataliwa wapuuzi . Mlivyotufanya mandondocha inatosha sasa
 
Nashukuru kumbe mnatembelea sanaaa FB wall yangu!!! Hii kwangu ni njema! karibuni sana wall ya Katibu Mwenezi wa CCM

Dhulma sio zio nzuli gamba wewe kwanza ur days are numbered ngoja ifike 2015 kama haujaja kusafisha choo kwangu
 
nashukuru kumbe mnatembelea sanaaa fb wall yangu!!! Hii kwangu ni njema! Karibuni sana wall ya katibu mwenezi wa ccm

wewe huna lolote,tunataka mlete mvunje bank arusha mjini na bado tutawanyea kimba kavu!
 
Nashukuru kumbe mnatembelea sanaaa FB wall yangu!!! Hii kwangu ni njema! karibuni sana wall ya Katibu Mwenezi wa CCM

Sawa hoja uliyoitoa ni kwamba maendeleo ya Arusha yalikuwa yanakwamishwa na Lema ama..Haiingii akilini kusikia swala la maendeleo linakwamishwa na mtu mmmoja na sio mipango mikakati isiyokuwsa endelevu na isiyotekelezeka.Ninavyojua mji wa Arusha yenyewe hata bila kiongozi ni kitovu cha maendeleo tosha kabisa.CCM kwa miaka yote wamekuwa ni blaa blaa.Wana mradi wa World Bank ambao huo ni mkopo utakaolipwa kwa kodi za Watanzania, sasa sifikiri kwa mapato ya Arusha ni dhahiri kuwa Maendeleo ya Arusha hayakwamishwi na Lema ila ni mipango mikakati mibovu na utendaji wa CCM na Serikali yake kwa miaka 50 iliyopopita...
 
Back
Top Bottom