Kauli ya Nape Juu ya Arusha na Tafsiri Yangu

Kauli ya Nape Juu ya Arusha na Tafsiri Yangu

Napi umechanganyikiwa kijana,Ya Arumeru imekushinda,sembuse A Town, labda kama mnakuja kuuza Mashati yenu tu karibu Arusha uje utalii tena uweze na kuongeza mapato ya mji wetu.
 
Nashukuru kumbe mnatembelea sanaaa FB wall yangu!!! Hii kwangu ni njema! karibuni sana wall ya Katibu Mwenezi wa CCM

You have very little thinking in your mind,kwa kiongozi wa ngzi ya juu kama wewe kufyatuka upuuzi kama huo mimi ninakuona immature leader,matatizo yote ya Arusha yameletwa na CCM,tafakari ni ndogo sana Lema amekaa muda gani?je ni chama gani kilikuwa kinaongoza jimbo la Arusha na kwa miaka mingapi?
Ukiweza kutafakari hayo na kupata jibu ndio uangalie cha kusema kwenye public sio unaropoka kama mtu mwenye kuharisha bana.
Labda nikueleze kidogo tu japo najua wajua hili,matatizo ya nchi hii yameletwa na CCM kwa ubinafsi wa viongozi wake ukiwamo wewe,maana wewe ni kizazi cha hao wahalifu wa uchumi wa Tanzania.
 
Nape Nape unafiki huo utakua mwanangu na mbingu hutaingia. Hebu wahurumieni watanzania masikini jamani.. Unajiamini hivyo kwa faida ya nani? Uliwaona wale akina mama waliokuwa wanalia pale mahakamani. Unawafananisha na nani ktk ukoo wanu? Hebu jaribu kumuenzi Mzee Nauye.
Dada umeongea kwa uchungu...najua inatoka kabisa moyoni mwako hii......inauma yaani.....hakika hizi hila za ccm/ikulu zimewagusa wengi.....kinachosikitisha ni kuwa wanafanya hivi bila kusikilza kilio cha wapiga kura waliomchagua Lema kwa kura nyingi....kwa mtu makini...logic tu inatosha kuonyesha kuwa watu wa arusha hawakupiga kura kwa mashinikizo bali utashi wao....hili lingefaa tu kuwapa hawa ccm picha kuwa hawatakiwi arusha....lakini hili hawalioni....kwani matakwa yao ni ya mafisadi wachache walioko serikalini /ikulu wenye lengo la kujinufaisha kwa kupitia arusha.......kwa maana ya kujitengenezea mazingira muafaka kwa wao kufanya deal zao chafu kwa kupitia arusha...hili ndio lengo la haya mashinikizo kwenye maamuzi ya mahakama kuu....hamna kingine....arusha ikiwa CDM bado ni kikwazo kwao kufanikisha utekelezaji wa miradi yao ya kifisadi itakayohusisha sekta nzima ya utalii kwenye ukanda wa arusha mpaka serengeti.....ambako Jk mwenyewe anafanya juu chini kufanikisha ujenzi tata wa barabara kubwa ya lami ambayo imepigiwa kelele mpaka na UNESCO kwani itaharibu mazingira ya mbuga ni......ikumbukwe pia kuwa JK ameshaanza kuwekea kule Bilila lodge serengeti......na utalii wote ukanda wa arusha huanzia arusha mjini........jimbo la arusha kwa kifupi likiwa CDM ni kikwazo kwa JK na hila zake.......i wish Nape knows about this..if not involved personally......
 
Nape kama kuna kijana mwanasiasa alikuwa wa ccm alikuwa anaanzakuheshimika alikuwa ni wewe hasa kupambana na nec ila kwa hili la arusha ndugu yangu litakuaipisha mwana serous we tulia ila arusha napajua ni pabayaa sana nilikusikiliza pale makumira alafu nikalinganisha na ulivyo kubalikushindwa da we c umeanza kuota kitambi hukumbuki wenzako watanzaniawanalia we unacheka unaona sawa ila utaniambia
 
Lema might be rogue, but he's no fool on the march!!
Naamini katika uhuru wa mahakama na nikuikosea nidhamu mahakama kwa kuituhumu imeingiliwa katika uamuzi wake juu ya swala la Mheshimiwa Lema.
Pili kuhusu CCM kumuogopa Lema sidhani kama hii hoja ina mashiko may be CCM kuiogopa CHADEMA kama taasisi sawa cause Lema is not equal to CHADEMA and vice versa is true.
Pia ikumbukwe katika Jimbo la Arusha mjini CCM imekuwa ikitumia delay tactic katika swala la uchaguzi wa madiwani kwa kujificha nyuma ya waliokuwa madiwani wa CHADEMA wa kata za Kimandolu,Kaloleni,Themi,Kata ya Unga Limited kiti kiko wazi baada ya aliyekuwa diwani wake kwa tiketi ya CCM kufariki pamoja na kata ya Ndugu Bayo hivyo basi uamuzi wa busara kwa wanachadema kwa kujali maslahi ya wana Arusha kwa ujumla wake ni kutokukata rufaa ya uamuzi katika kesi ya ubunge ili ku speed up uamuzi katika kesi ya waliokuwa madiwani wake ili kusukuma gurudumu la maendeleo mbele kwani mwisho wa siku wananchi watawauliza wamefanya nini katika kipindi cha miaka mitano waliyopewa ridhaa ya kuliongoza jimbo na halmashauri na swala la kuwa na kesi mahakani kama kisingizio cha kutokuwaletea wananchi maendeleo kwa kuwa na kesi mahakamani halitakuwa na mashiko. Chadema's leadership tafadhali niwaombe kuachana na kesi zisizokuwa na ulazima ili kuwaletea wananchi wa Jimbo la Arusha mjini maendeleo.Ni matumaini yangu kama uchaguzi mdogo utafanyika na kampeni ya kistaarabu kufanyika na uchaguzi huru kuwepo CHADEMA ina ushawishi mkubwa katika kata zote zilizo wazi na Jimbo lote la Arusha kwa ukubwa wake hivyo basi kushinda kwake katika kata zote hizo na ubunge utakuwa utatuzi wa mgogoro wa muda mrefu wa swala la kiti cha umeya wa manispaa ya Arusha.
 
Ama kweli Nape ana upungufu wa fikra!Au anajaribu kuwarubuni wenye akili finyo km zake!CCM iko madarakani takribani 50 yrz inakuwaje hayo aliyoyataja kwenye wall yake yakose kufanyika nchi nzima yafanyike arusha kisa inatawaliwa chadema?Kweli ni mjinga samahani kwa kusema hivi!Kifupi aelewe watanzania wa sasa sio mbumbu!Aache ujinga na post za kizembe kwenye mtandao wa jamii km hawezi kutumia kichwa kufikiri kabla ya kuandika basi hatumie makalio yake kufikiri!
 
Ndugu, siasa imekugeuza mwehu. Nakuonea huruma,I know it's something above you,but again you let it in yourself. you made a wrong choice and you chose to live with it. It's going down with you,as a person I mean,not as a politician because you've never been a good politician anyway...

Jamani hivi we Nape una akili au Matope kichwani kwako sina hakika wakati unasoma akili zao na uwezo wako wa kufikiri ulikuwaje? Yani na akili zako zote hapo ndo umeishia kufikiri na kuandika upuzi kama huo mpuzi kweli wewe unaweza kulamba midomo tu, Mungu yupo Hakika tutashinda hi vita! Tumia akili Nape umiza kichwa Nape kufikiri du kazi kwelikweli
 
nape umechemka! maisha bora kwa @mtz,ajira kwa vjana,kasi ari na nguvu chakavu! rchuga itatoa kifi** kwa magamba na wanga wote.
 
Napen nakuambia hivi utalaaniwa maisha yako na utakufa kifo kibaya sana. kifo cha aibu. Hivi uliwaona wale kinamama pale mahakamani walivyokuwa wanalia kwa uchungu na kwambia chozi lao halitaenda hivi hivi litaondoka na wewe. watch out.
 
Nape ameandika hivi kwenye Wall yake ya Facebook



Nimejaribu Kusoma Katikati ya Mstari nimetfsiri/Nimegundua kwamba

1. Piga Ua Garagaza ilikuwa ni Lazima Lema ang'olewe Ubunge wa Arusha kwa Maana kwa Mujibu wa CCM Lema alikuwa anazuia Shughuli za Uchumi na Biashara ziendelee

2. CCM Ilipanga hukumu ile ila Nape hawezi kuweka kitu Kifuani aidha kwa Chuki au Chochote kile ameamua kuweka wazi siri yote. Ila Sishangai si hawa ndio walivujisha barua juu ya Utata wa Uraia wa Sioi

3. CCM wanamuogopa Lema na Wasingependa Agombee tena (Ili Kurudisha "Amani" na "Utulivu" Arusha) So CDM wajiandae kisheria Naamini Mapambano ya CCM/Serikali yake hayajaisha jana. Watakuwa wanasubiri Muda wa Lema kukata/kukubaliana na Rufaa upite wafungue kesi nyingine ya Pingamizi.

4. Kwa hali inavyoelekea itachukua Muda Mrefu sana kwa Arusha kupata Mbunge

Hawa jamaa hasira yao imekuja labda baada ya issue ya twiga kusanuka na huenda hizo dil zilikua zinafanyika bila cc wala nyasi kujua so baada ya kununuka wameona watengue ubunge ili mkuu wa mkoa, mbunge na mkuu wa wilaya wawe wao ili dil kama hz zikinuka zizimwe mazima
 
Nashukuru kumbe mnatembelea sanaaa FB wall yangu!!! Hii kwangu ni njema! karibuni sana wall ya Katibu Mwenezi wa CCM

You are too low Nape! Achana na siasa sababu huziwezi. Taaluma yako ni nini hasa? Si ukafanye kazi nyingine uliyosomea..!? Kama ulisomea siasa basi hukufaulu au hukuelewa au ulichakachua kufaulu! Hoja zako ni za kawaida sana, huna upeo wala uelewa wa kiongozi/mwanasiasa! Hivi kweli thread kama hii ndivyo ambavyo mtu kama Zitto au January (pamoja na kwamba ni gamba mwenzio) angeweza kujibu utumbo kama ulivyoeleza hapo juu!

You are a looser! A gonna for that matter!
 
Nashukuru kumbe mnatembelea sanaaa FB wall yangu!!! Hii kwangu ni njema! karibuni sana wall ya Katibu Mwenezi wa CCM
Amini amini nakwambia..jinsi CCM mnavozidi kukupambana na CDM kwa tumia mbinu chafu eti kwa sababu mna dola ndio mnavozidi kuchukiwa na kupoteza umaarufu kwa wananchi; matokeo yake ni CDM kuzidi kupendwa na kutumainiwa kama nuru ya ukombozi wa wanyonge kutoka mikononi mwa serikali ya kifisadi.
Njia pekee ya kuushinda upinzani ni kuboresha maisha ya wananchi, kutenda haki, na kuwashughulikia viongozi mafisadi, vinginevyo CCM RIP.
 
nape una akili mbovu nilidhani lusinde ndo zoba naona we ni zaidi yake
 
Nashukuru kumbe mnatembelea sanaaa FB wall yangu!!! Hii kwangu ni njema! karibuni sana wall ya Katibu Mwenezi wa CCM

Lema ajazuia shughuli za utalii hapa Arusha ila amezuia tamaa za wana ccm wenye tamaa za kumiliki mali za wantanzania, hii wajua wazi si kitu cha kuficha lakini najua ukiwa mwana siasa kwa wakati huu wa kula uliwe upande wa cc, unatakiwa kutetea maovu, nimeona wabunge wengi walio wapambanani upande wa cc wamekuwa vipofu kwa maslai ya wananchi. Wewe kama Nape, ulipo ingia ulikuwa na msimamo wa kusafisha chama chako, lakini naona muelekeo wako hauna tofauti na wa CC wengine wanaingia kwa nguvu ya kutetea sera njema za chama, kisha wao hujiona ni bora kuliko sera za chama, Watz wamechoka na wakichoka zaidi mtajua nyie ndio waaribu amani No1 kwa uroho wa kuwazulumu Watz.
 
Ndugu yangu Nape huoni kama unacheka usoni mwako huku nafsi yako ikilia?. Mbona ulionekana kuwa mtetezi mzuri wa walalahoi hivi karibuni lkn kwa sasa unatumia nafasi yako kama ajira na si wito. Naomba unijibu maswali yafuatayo bro:-
1. Ni lazima uwe mwana CCM?
2. Kama Mwl. Nyerere angelikuwa hai hadi leo, Ungekuwa kundi lipi?
3. Uko tayari kufa kwa maslahi ya nchi au chama?
I hope unabusara na uwezo mkubwa ila unatumiwa vibaya
 
Duuh, kama ningekuwa mimi Nape, nisingetoa hiyo comment.....
 
Nashukuru kumbe mnatembelea sanaaa FB wall yangu!!! Hii kwangu ni njema! karibuni sana wall ya Katibu Mwenezi wa CCM

ninakwambia mpo ndotoni,kamwe atuwapi kura popote tanzania,jiandaeni na staili zenu zote ziwe za kuiba kula,ziwe za matus lakn arusha hamuipati we njoo na maneno ya kiswahl hap
 
hapa nadhani asilaumiwe mtu,kila mtu ana hisia zake kuhusu lema kuvuliwa ubunge.

Maneno hya Nape hayana shida kwa sababu yeye ni katibu mwenezi wa CCM hivyo yuko kazini

Mnyika nae kwa upande wake anaweza kumjibu au kutoa msimamo wake na wa chama.
 
Back
Top Bottom