Kauli ya Mnyika, Inakatisha tamaa...

Kauli ya Mnyika, Inakatisha tamaa...

Kumbukumbu zangu nakumbuka Mnyika alikuwa kinara wakupinga kuongezeka kwa majimbo ya uchaguzi na fujo juu kwenye kikao, huku tena ameenda kugombea kwenye jimbo jipya; hawa jamaa sidhani kama wanajua saa zingine kila wanachopinga.
Jimbo jipya kwako wewe ila mnyika ni ndani ya mipaka yake aliyokuwa akifanyia kazi
 
Jimbo jipya kwako wewe ila mnyika ni ndani ya mipaka yake aliyokuwa akifanyia kazi
Typical kwa kukana kauli na misimamo yao ya awali kwa kutumia viji sababu kwani wakati anapinga; sishangai kama wameweza badilisha msimamo wao by trading a hero like Dr.Slaa na fisadi kama Lowassa. Si hata huko pia wamekuja na viji sababu sikuzote naamini mtu mnafiki anaga msimamo.
 
John Mnyika, Mgombea ubunge kwa tiketi ya Chadema jana alitoa kauli ambayo kidogo ilitufanya wachache tufikirie tofauti na dhamira kuu ya UKAWA kuwaondoa CCM.

Mnyika alisema, wananchi wa Ubungo na Kibamba wafikirie juu ya uwepo wake na Kubenea ndani ya bunge utakavyoitikisa serikali...
Kwa kauli hii inamaanisha kuwa Mnyika haamini kama Ukawa watachukua nchi!!
Au alimaanisha wataitikisa serikali yao wenyewe watakaoiunda?

It means hawaamini kama Serikali ya CCM itatoka madarakani, wakati sisi wananchi wa kawaida tushaliona anguko kubwa la Chama cha Mapinduzi.

Unless awe waziri, ataendelea kuwa mwakilishi wa wananchi kwe serikali ya ukawa huko bungeni so yuko sahihi tu mkuu
 
Rabboni, uwe unasoma na kuelewa majukumu na mgawanyo wa kazi baina ya serikali, bunge na mahakama. Ukishaelewa hivyo, huwezi kuleta hoja nyepesi kama hii.
 
Last edited by a moderator:
Jimbo la ubungo liligawanywa kupata majimbo mawili. Ubungo na kibamba. Sasa amekimbia au jina la jimbo tu limebadilika?

then Mnyika kama vile hakuridhia sana kugawanywa kwa jimbo la Ubungo, kama alivyosema jana.
 
John Mnyika, Mgombea ubunge kwa tiketi ya Chadema jana alitoa kauli ambayo kidogo ilitufanya wachache tufikirie tofauti na dhamira kuu ya UKAWA kuwaondoa CCM.

Mnyika alisema, wananchi wa Ubungo na Kibamba wafikirie juu ya uwepo wake na Kubenea ndani ya bunge utakavyoitikisa serikali...
Kwa kauli hii inamaanisha kuwa Mnyika haamini kama Ukawa watachukua nchi!!
Au alimaanisha wataitikisa serikali yao wenyewe watakaoiunda?

It means hawaamini kama Serikali ya CCM itatoka madarakani, wakati sisi wananchi wa kawaida tushaliona anguko kubwa la Chama cha Mapinduzi.

Blaza unaonekana wewe sio muelewa na utakuwa umetumwa na CCM nimekusoma.
 
John Mnyika, Mgombea ubunge kwa tiketi ya Chadema jana alitoa kauli ambayo kidogo ilitufanya wachache tufikirie tofauti na dhamira kuu ya UKAWA kuwaondoa CCM.

Mnyika alisema, wananchi wa Ubungo na Kibamba wafikirie juu ya uwepo wake na Kubenea ndani ya bunge utakavyoitikisa serikali...
Kwa kauli hii inamaanisha kuwa Mnyika haamini kama Ukawa watachukua nchi!!
Au alimaanisha wataitikisa serikali yao wenyewe watakaoiunda?

It means hawaamini kama Serikali ya CCM itatoka madarakani, wakati sisi wananchi wa kawaida tushaliona anguko kubwa la Chama cha Mapinduzi.
Labda anamaanisha serikali ya UKAWA. Au kaitaja?
 
hatutumi wabunge wakaitetee serikali bali wakaikosoe serikali.. yupo sahihi
 
Umemjibu vizuri sana. Sijui kwanini watu hawaelewi jinsi gani serikali inaendeshwa. Very basic knowledge lakini watu hawanayo kabisa.

Kweli "ujinga" bado ni adui mkubwa wa maendeleo.

Tehtehteh hapo hamna cha kuelewa wala cha serikali inaendeshwaje.. Ukweli ni kwamba Mnyika anajua wazi kuwa hawana ubavu wa kuitoa ccm madarakani na hata psycholojia yake imeshaathiliwa na hali ya upinzani hivyo hawezi kuwaza kwenda ikulu... Kama anashindwa kumtikisa mbowe ndani ya chama hata pale anapofanya madudu ataweza wapi kuitikisa serikali iliyoundwa na chama chake hicho ambacho kiongozi ni huyo huyo dikteta mbowe?? Hapo ni dhahir anawaza kuitikisa ccm kwa maana kwamba itaendelea kuwa madarakani... Jambo ambalo hata ninyi (ma nyumbu) mnalitambua sawia ila mnavunga tu... Teh teh Endeleeni kutekenyana tu..
 
Kazi ya mbunge sio kutetea serikali Bali wananchi.Mnyika yupo vizuri.anajua fika ccm imeshaondoka,kilichobaki ni kuapishwa serikali mpya ya mh Edward LOWASA.

Tehtehteh Endeleeni kutekenyana tu ila mjue nafsi huwa haiongopi na itaendelea kuwaumbua tu..... Nafsini mnajua wazi kuwa ninyi ni wapinzani daima ila cha ajabu mnaforce vinywa vyenu kunena tofauti... Poleni sana na GARASA lenu..
 
Kubenea naye nasikia kasema akipata Ubunge atawataja waliochota pesa za escrow bungeni, kama anaamini serikali itakuwa ya UKAWA nilitaraji aseme watawashughurikia maana si itakuwa serikali yao, au akitutajia sisi ndo tufanye nini wakati wanaenda kuchukua serikali?

Tehtehteh ndo majanga hayo sasa, hao wanasumbuliwa na homa ya upinzanimonia... Teh teh..
 
Yap yap uko sahihi hata kama nichama chako kiko madarakani lazima upige kelele
 
wewe nadhani ni ccm damu damu ndo maana hata kufikiria huwezi,je kazi ya bunge ni nini...si kusimamia serikali au kwa kuwa wabunge wa ccm walikuwa hawafanyi hivyo ukaona ndo serikali ya ukawa itakuwa sawa na ccm
John Mnyika, Mgombea ubunge kwa tiketi ya Chadema jana alitoa kauli ambayo kidogo ilitufanya wachache tufikirie tofauti na dhamira kuu ya UKAWA kuwaondoa CCM.

Mnyika alisema, wananchi wa Ubungo na Kibamba wafikirie juu ya uwepo wake na Kubenea ndani ya bunge utakavyoitikisa serikali...
Kwa kauli hii inamaanisha kuwa Mnyika haamini kama Ukawa watachukua nchi!!
Au alimaanisha wataitikisa serikali yao wenyewe watakaoiunda?

It means hawaamini kama Serikali ya CCM itatoka madarakani, wakati sisi wananchi wa kawaida tushaliona anguko kubwa la Chama cha Mapinduzi.
 
Sorry wewe ndo kichwa chako hakitumii akili, yeye naomba ubunge na kazi ya mbunge sio kutetea serikali yake ni kutetea wananchi. Shida iko wapi hata kama UKAWA itakuwa ndo serikal Mbunge makini atatetea wananchi tuuuu

Tehtehteh acha kutafuta MANENO hapo ishu iko wazi kabisa kuwa mnyika anajua wazi atakuwa mpinzani imara after oct 25... Ujue huwa tunatikisa nguzo ama jengo ili kuliangusha so unataka kusema mnyika(anaposema ataitikisa serikali) atakuwa tayar kuangusha serikali ya chama chake mwenyewe?? Tehtehteh...
 
Hakuna ubaya mkuu kwa hiyo kauli. Hapo alikuwa na maana kwamba hao mawaziri wa serikali ya UKAWA lazima wajipange sawasawa kukabiliana na hoja za akina Mnyika na Kubenea endapo wenyewe hawatateuliwa kuwa mawaziri. Kumbuka hata ccm kwenyewe walipokuwa madarakani kulikuwa na mibunge ilikuwa inaitikisa serikali ya yenyewe!!

Tehtehteh
 
Wengine mnakuwa na akili zilizooza ,sasa kama chake chama ndio kinaongoza dola ,mnataka awe kama miccm kazi iwe kupiga makofi hata kama jambo halina faida ? mambo yenu hayo ya kujaza bunge hayana faida ,maana tunawaona mkisinzia vigogo wanapitisha dili,mkisituka mnapiga makofi ,aloo kweli tunahitaji kuing'oa CCM. mupaka watu iko na kufikiria bungeni ni kuunga mkono chama chako tu .bado mna mahesabu ya kulindana ila muda si mlefu mawazo ya mabadiliko yatawafungua akili.

Hapa Mabadiliko tu kazi baadae.

Kama Anashindwa kupinga mambo ya hovyo ndani ya chama tu ataanzia wapi kuipinga serikali ya chama chake hicho hicho.. Tehtehteh msidhan sote ni manyumbu aisee...
 
Back
Top Bottom