fikirikwanza
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 7,452
- 3,073
John Mnyika, Mgombea ubunge kwa tiketi ya Chadema jana alitoa kauli ambayo kidogo ilitufanya wachache tufikirie tofauti na dhamira kuu ya UKAWA kuwaondoa CCM.
Mnyika alisema, wananchi wa Ubungo na Kibamba wafikirie juu ya uwepo wake na Kubenea ndani ya bunge utakavyoitikisa serikali...
Kwa kauli hii inamaanisha kuwa Mnyika haamini kama Ukawa watachukua nchi!!
Au alimaanisha wataitikisa serikali yao wenyewe watakaoiunda?
It means hawaamini kama Serikali ya CCM itatoka madarakani, wakati sisi wananchi wa kawaida tushaliona anguko kubwa la Chama cha Mapinduzi.
Sorry wewe ndo kichwa chako hakitumii akili, yeye naomba ubunge na kazi ya mbunge sio kutetea serikali yake ni kutetea wananchi. Shida iko wapi hata kama UKAWA itakuwa ndo serikal Mbunge makini atatetea wananchi tuuuu