Kauli ya Mnyika, Inakatisha tamaa...

Kauli ya Mnyika, Inakatisha tamaa...

Halafu mtu kama wewe unaweza kuwa umemaliza chuo kikuu! Na bado unaamini katika upotofu kuwa mbunge wa chama tawala hawezi kuisema serikali yake! Ndugu, wale wazee wa vijijini ambao hawajaenda shule watakuwa na mawazo gani kama wewe ubongo wako umejaa matope namna hii?

Ishu ni kwamba Mnyika hajawahi kupinga uovu wowote ndani ya chama chake hicho sasa kiwe madarakani ndo akitikise?? No way, he knows yeye ni mpinzani tu... Na kaona mbali aisee..
 
sasa mkuu kama ataitikisa hata serikali ya chama chake mwenyewe huoni kama kashaona weakness kubwa katika serikali watakayoiunda hata kabla hawaingia madarakani?
Kwa hiyo anayeahidi kusafisha mafisadi naye aache kwa kuwa anakuwa anataja weakness kubwa katika serikali atakayoiunda hata kabla hajaingia madarakani?
 
Wewe utakuwa na akili za wabunge wa CCM mnaogopa kuisema serikali yenu wenyewe...
 
Anamaanisha yoyote maana kazi ya mbunge ni kuisimamia serikali haijalishi ya chama chake au la
 
Hata kama ukawa wataingia madarakani, kazi ya mbunge ni kuikosoa na kuibana serikali hata kama ni ya chama chake.
 
John Mnyika, Mgombea ubunge kwa tiketi ya Chadema jana alitoa kauli ambayo kidogo ilitufanya wachache tufikirie tofauti na dhamira kuu ya UKAWA kuwaondoa CCM.

Mnyika alisema, wananchi wa Ubungo na Kibamba wafikirie juu ya uwepo wake na Kubenea ndani ya bunge utakavyoitikisa serikali...
Kwa kauli hii inamaanisha kuwa Mnyika haamini kama Ukawa watachukua nchi!!
Au alimaanisha wataitikisa serikali yao wenyewe watakaoiunda?

It means hawaamini kama Serikali ya CCM itatoka madarakani, wakati sisi wananchi wa kawaida tushaliona anguko kubwa la Chama cha Mapinduzi.

nyie wananch wa kawaida ni wajinga sana .mnyika ni mwelevu sana ameliona hilo
 
John Mnyika, Mgombea ubunge kwa tiketi ya Chadema jana alitoa kauli ambayo kidogo ilitufanya wachache tufikirie tofauti na dhamira kuu ya UKAWA kuwaondoa CCM.

Mnyika alisema, wananchi wa Ubungo na Kibamba wafikirie juu ya uwepo wake na Kubenea ndani ya bunge utakavyoitikisa serikali...
Kwa kauli hii inamaanisha kuwa Mnyika haamini kama Ukawa watachukua nchi!!
Au alimaanisha wataitikisa serikali yao wenyewe watakaoiunda?

It means hawaamini kama Serikali ya CCM itatoka madarakani, wakati sisi wananchi wa kawaida tushaliona anguko kubwa la Chama cha Mapinduzi.

Viongozi wa Ukawa wanajua kushinda uchaguzi huu itakuwa kwa bahati nasibu tu.

Kwanza viongozi wote wa Chadema walijua kwa dhati hakuna mwenye uwezo wa kupambana na Magufuli na kumshinda. Ndio maana wote (pamoja na Silaa) wakashirikiana kuiba wagombea huko CCM. Wangekuwa wanaamini wanaubavu wa kuishinda CCM wasingehangaika. Mnyika alikuwepo kwenye hivyo vikao. Anajua hali halisi.

Pili nguvu waliyoitegemea kuingia na Lowassa....wale mamilioni..hawakuingia kihivyo...na wale vigogo wameamua kulinda pensheni zao za ugambani.

Mnyika na wenzie wanajua kuwa dili limegeuka. Kila mmoja anapigania uhai wake wa kisiasa hivi sasa.

Hiyo ni mbali na majukumu ya kikatiba ya mbunge ya kutunga sheria na kuisimamia serikali.
 
Wewe ndo unakatisha tamaa!unataka wabunge wa UKAWA nao wawe kama wale wa 'Ndiyooo' hata pale serikali yao inapokuwa imekosea?au unadhani serikali ya UKAWA itaundwa na malaika kwamba hakuna watakapokuwa wanakosea!
 
John Mnyika, Mgombea ubunge kwa tiketi ya Chadema jana alitoa kauli ambayo kidogo ilitufanya wachache tufikirie tofauti na dhamira kuu ya UKAWA kuwaondoa CCM.

Mnyika alisema, wananchi wa Ubungo na Kibamba wafikirie juu ya uwepo wake na Kubenea ndani ya bunge utakavyoitikisa serikali...
Kwa kauli hii inamaanisha kuwa Mnyika haamini kama Ukawa watachukua nchi!!
Au alimaanisha wataitikisa serikali yao wenyewe watakaoiunda?

It means hawaamini kama Serikali ya CCM itatoka madarakani, wakati sisi wananchi wa kawaida tushaliona anguko kubwa la Chama cha Mapinduzi.

Roho ya anguko iko juu ya mgombea wa ukawa. hata angegombea kupitia CCM asingeshinda.
 
Hata Lowasa akichukua nchi atakosolewa na wabunge wake.
 
Tatizo mi ccm inafikiri ukishakuwa mbunge wa sisiem unatakiwa kuitetea serikali na ndio maana watu wana hasira na ccm kwa matendo ya wabunge wao waliyoyafanya bungeni...
 
Kazi ya bunge ni kuisimamia serikali, tatizo mmeathilika kisaikolojia na jinsi wabunge wa ccm walivyoendesha mambo yao bungeni, hawakujua wajibu wao kama wabunge walichojua ni kuitikia "ndiyooo". Mnyika yuko sawa, jitafakari wewe mtoa mada
 
chukulia!! Mnyika Waziri wa Nishati,
Kubenea, Waziri wa habari!!
au Manaibu waziri!!
wanaitikisaje serikali yao wenyewe?
 
chukulia!! Mnyika Waziri wa Nishati,
Kubenea, Waziri wa habari!!
au Manaibu waziri!!
wanaitikisaje serikali yao wenyewe?

Uwaziri ni swala jingine, wagombea ubunge wanapiga kampeni kama wabunge na siyo kama mawaziri watarajiwa. Ikitokea Rais akamteua mbunge (Mnyika, Kubenea) kuwa waziri linakuwa swala jingine. Lakini "spirit" ya Mnyika itaendelezwa na wabunge wenzao ambao hawatakuwa mawaziri. Kazi ya Bunge ni kuisimamia Serikali, bila kujali ni ya chama gani! Na wabunge kwa ujumla wao wanatakiwa kutekeleza wajibu huo, kujipambanua kwa misingi ya vyama ni kupoteza mwelekeo kama Mhimili unaojitegemea.
 
Back
Top Bottom