- Thread starter
- #81
Thread yako ni sawa na kukombeleza ukoko.
Huna hoja
hapo ndiyo umeandika nini sasa?
Thread yako ni sawa na kukombeleza ukoko.
Huna hoja
Mnyika anadaiwa maji ubungo kakimbia kaenda kibamba
John Mnyika, Mgombea ubunge kwa tiketi ya Chadema jana alitoa kauli ambayo kidogo ilitufanya wachache tufikirie tofauti na dhamira kuu ya UKAWA kuwaondoa CCM.
Mnyika alisema, wananchi wa Ubungo na Kibamba wafikirie juu ya uwepo wake na Kubenea ndani ya bunge utakavyoitikisa serikali...
Kwa kauli hii inamaanisha kuwa Mnyika haamini kama Ukawa watachukua nchi!!
Au alimaanisha wataitikisa serikali yao wenyewe watakaoiunda?
It means hawaamini kama Serikali ya CCM itatoka madarakani, wakati sisi wananchi wa kawaida tushaliona anguko kubwa la Chama cha Mapinduzi.

Anza kwanza kwa kujiuliza kazi za bunge ni nini? Nafikiri mfumo tuliokuwa nao umetudumazaJohn Mnyika, Mgombea ubunge kwa tiketi ya Chadema jana alitoa kauli ambayo kidogo ilitufanya wachache tufikirie tofauti na dhamira kuu ya UKAWA kuwaondoa CCM.
Mnyika alisema, wananchi wa Ubungo na Kibamba wafikirie juu ya uwepo wake na Kubenea ndani ya bunge utakavyoitikisa serikali...
Kwa kauli hii inamaanisha kuwa Mnyika haamini kama Ukawa watachukua nchi!!
Au alimaanisha wataitikisa serikali yao wenyewe watakaoiunda?
It means hawaamini kama Serikali ya CCM itatoka madarakani, wakati sisi wananchi wa kawaida tushaliona anguko kubwa la Chama cha Mapinduzi.
John Mnyika, Mgombea ubunge kwa tiketi ya Chadema jana alitoa kauli ambayo kidogo ilitufanya wachache tufikirie tofauti na dhamira kuu ya UKAWA kuwaondoa CCM.
Mnyika alisema, wananchi wa Ubungo na Kibamba wafikirie juu ya uwepo wake na Kubenea ndani ya bunge utakavyoitikisa serikali...
Kwa kauli hii inamaanisha kuwa Mnyika haamini kama Ukawa watachukua nchi!!
Au alimaanisha wataitikisa serikali yao wenyewe watakaoiunda?
It means hawaamini kama Serikali ya CCM itatoka madarakani, wakati sisi wananchi wa kawaida tushaliona anguko kubwa la Chama cha Mapinduzi.
CCM imewalemaza akili hata hamjui nini kazi za Bunge. Mnadhani Bunge ni sehemu ya Serikali. Poleni sana, hamuwezi kumuelewa Mnyika.John Mnyika, Mgombea ubunge kwa tiketi ya Chadema jana alitoa kauli ambayo kidogo ilitufanya wachache tufikirie tofauti na dhamira kuu ya UKAWA kuwaondoa CCM.
Mnyika alisema, wananchi wa Ubungo na Kibamba wafikirie juu ya uwepo wake na Kubenea ndani ya bunge utakavyoitikisa serikali...
Kwa kauli hii inamaanisha kuwa Mnyika haamini kama Ukawa watachukua nchi!!
It means hawaamini kama Serikali ya CCM itatoka madarakani, wakati sisi wananchi wa kawaida tushaliona anguko kubwa la Chama cha Mapinduzi.
Kumbukumbu zangu nakumbuka Mnyika alikuwa kinara wakupinga kuongezeka kwa majimbo ya uchaguzi na fujo juu kwenye kikao, huku tena ameenda kugombea kwenye jimbo jipya; hawa jamaa sidhani kama wanajua saa zingine kila wanachopinga.
Hapana ila kwanini usifikirie mbele kabla ya kupinga kitu; angebaki basi walau ata ubungo tungeishimu misimamo yake lakini kwenda kwenye jimbo jipya yeye mwenyewe kwahivyo alikuwa anapinga kwa misingi gani in the first place. Sio wabunge wote wa CDM walipinga lakini yeye alikuwa mstari wa mbele kwenye vyombo vya habari surely unategemea mwanasiasa anaepinga kwa utashi wake basi ana simamia kanuni zilezile.Kwa hyo kwa kuwa ni jimbo jipya ulitegemea wapewe zawadi tu ccm?
Hivi wewe una ubongo au makamasi? Kazi ya Mbunge ni kuisimamia serikali haijalishi ni ya chama chako ama sio chakoJohn Mnyika, Mgombea ubunge kwa tiketi ya Chadema jana alitoa kauli ambayo kidogo ilitufanya wachache tufikirie tofauti na dhamira kuu ya UKAWA kuwaondoa CCM.