JEKI
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 4,845
- 2,966
sasa cha ajabu ni nini mimi naona amemanisha wote majembe na tunataka watu kama hao bungeni
kwa hiyo unakubali serikali itakuwa ya ccm? kama ni serikali yao vipi aitikise?
sasa cha ajabu ni nini mimi naona amemanisha wote majembe na tunataka watu kama hao bungeni
John Mnyika, Mgombea ubunge kwa tiketi ya Chadema jana alitoa kauli ambayo kidogo ilitufanya wachache tufikirie tofauti na dhamira kuu ya UKAWA kuwaondoa CCM.
Mnyika alisema, wananchi wa Ubungo na Kibamba wafikirie juu ya uwepo wake na Kubenea ndani ya bunge utakavyoitikisa serikali...
Kwa kauli hii inamaanisha kuwa Mnyika haamini kama Ukawa watachukua nchi!!
Au alimaanisha wataitikisa serikali yao wenyewe watakaoiunda?
It means hawaamini kama Serikali ya CCM itatoka madarakani, wakati sisi wananchi wa kawaida tushaliona anguko kubwa la Chama cha Mapinduzi.

Mnyika akifanikiwa kurudi bungeni, Akatoe sadaka ya shukrani kwanza kanisani kwake, maana amekalia kuti bovu.
huyu mgombea wenu wa ubungo asahau kabisa, maana yeye ndio tunahasira naye sana ya kutudanganya wananchi, tena wengine wengi tunamchukia mamvi kwa sababu ya magazeti yake, alikuwa mwandishi wa habari pekee kutuaminisha wananchi kuwa Lowasa ni fisadi, leo anataka aniaminishe otherwise? asahau kupata ubungo.
John Mnyika, Mgombea ubunge kwa tiketi ya Chadema jana alitoa kauli ambayo kidogo ilitufanya wachache tufikirie tofauti na dhamira kuu ya UKAWA kuwaondoa CCM.
Mnyika alisema, wananchi wa Ubungo na Kibamba wafikirie juu ya uwepo wake na Kubenea ndani ya bunge utakavyoitikisa serikali...
Kwa kauli hii inamaanisha kuwa Mnyika haamini kama Ukawa watachukua nchi!!
Au alimaanisha wataitikisa serikali yao wenyewe watakaoiunda?
It means hawaamini kama Serikali ya CCM itatoka madarakani, wakati sisi wananchi wa kawaida tushaliona anguko kubwa la Chama cha Mapinduzi.
Mkuu inaonekana umeathiriwa saana na namna wabunge wa ccm wanavyofanya kazi wakiwa bungeni. Na kusahau majukumu ya mbunge kwamba ni:
1) Kuisimamia serikali.
2) Kushauri serikali.
3)Kuitwanga masuali magumu serikali.
4) Kuelezea shida na kero zinawakabili wananchi wao wanawawakilisha.
Pamoja na mambo mengine meeengi. Hayo ndio majukumu ya mbunge yoyote yule bila kujali kama anatoka chama tawala au upinzani.
John Mnyika na Kubenea wanayajua vyema majukumu yao kama wabunge na wataisimamia vyema serikali ya UKAWA hata kama wao wanatoka UKAWA.
Mkuu, hiyo serikali ya UKAWA kama Mnyika hatakuwa waziri ni nani atakuwa waziri sasa!!
Lowassa ndiye anayejua nani atakuwa Waziri katika serikali yake.
Ccm kuitoa madarakani sio rahsi hvyoooo
Huwezi kuitoa ccm madarakani hata siku moja

Hueleweki wewe maana katika nyanja za bungeni makali ya Mnyika hayana shaka. Na katika taaluma ya habari za uchunguzi Kubenea hana mpinzani. Akifikisha bungeni hizo taarifa, srikali lazima itatikisika