Kauli ya Mbowe ilaaniwe na wapenda amani

Kauli ya Mbowe ilaaniwe na wapenda amani

Kauli ya mwenyekiti wa CHADEMA mheshimiwa Mbowe ya kuwataka wapiga kura kupiga kura na kulinda kura zao ni ya uchochezi kwa kuwa serikali imeshatoa maelekezo na sheria ya uchaguzi iko wazi.

Lakini pia sheria nyingine kuhusu ulinzi na usalama zinakataza watu kukusanyika bila kubali kuwa ni kosa la jinai hivyo binafsi simuelewi Mbowe dhamira yake hasa katika hili ni nini.

Kweli huyu ni kiongozi wa kuaminiwa anayetaka kuchochea vurugu kwa kuwa vyama vyenye wagombea ni vingi.Je, iweje kila chama kiwaamuru wafuasi wake kukusanyika mita200 kulinda kura zao.Je, hali itakuwaje?

Busara itumike katika hili tupige kura turudi majumbani tuachane na ushabiki.

Mbowe keshahamisha mabilioni yake nje ya nchi aliyolipwa kwa kuiuza chadema, alichobakiza ni kutoroka tu siku tifu likianza, anawaacha wakizubaa na maumivu kibaao ya huyoo! Akili za kuambiwa changanya na zako.
 
Kwa nini msiishauri ccm iwe na huruma na wananchi baada YA miaka yote kutudhulumu kutunyanyasa na kutupuuza????! Mmeona ya Ukawa machafu ya ccm hamuyaoni acheni hizo. Mbowe ni mwananchi anayo haki ya kutetea kile anaamini ni kwa manufaa ya wananchi

Mbowe hatakaa kulinda kura. Jumapili au Jumatatu akiona hali tete anaenda zake Dubai alipotanguliza nyumba ndogo tayari. Mtamwona Salum Mwalim anahangaika huku!
 
Kauli ya mwenyekiti wa CHADEMA mheshimiwa Mbowe ya kuwataka wapiga kura kupiga kura na kulinda kura zao ni ya uchochezi kwa kuwa serikali imeshatoa maelekezo na sheria ya uchaguzi iko wazi.

Lakini pia sheria nyingine kuhusu ulinzi na usalama zinakataza watu kukusanyika bila kubali kuwa ni kosa la jinai hivyo binafsi simuelewi Mbowe dhamira yake hasa katika hili ni nini.

Kweli huyu ni kiongozi wa kuaminiwa anayetaka kuchochea vurugu kwa kuwa vyama vyenye wagombea ni vingi.Je, iweje kila chama kiwaamuru wafuasi wake kukusanyika mita200 kulinda kura zao.Je, hali itakuwaje?

Busara itumike katika hili tupige kura turudi majumbani tuachane na ushabiki.
Hivi unaongelea sheria gani na Mbowe aliongelea sheria gani? Tukio la uchaguzi ni tukio muhimu saana, na ndio maana lina chombo kinachosimamia tukio zima, lakini pia lina sheria yake ambayo inasimamia na kuongoza tukio zima. Sasa tujadili kauli ya mh. Mbowe tukiwa na ufahamu wa sheria ya uchaguzi, vinginevyo itakuwa tunajipotezea muda wa kufanya mambo muhimu.
 
Kauli ya mbowe kusimama mita 200 IPO kisheria na hata Jana mW/k Wa tume jaji Lubuva amesema kisheria inaruhusiwa hofu yako ni kitu gani jombaaa?
 
Sheria ipi imevunjwa?itaje hapa hlf hatutakaa mita 200,mbn kama mna maslahi sana kwa taifa msivunje mikataba ya gesi?mbn kuna sheria zingine mnavunja kwa maslahi yenu?inakuwaje mnatumia mabilioni ya shilingi kama kweli mnapendwa na kukubalika?kwnn mnavunja sheria kama kwl lowassa atapata 25%
 
jana mwenyekiti wa chadema alitoa kauli moja akisema ili uchaguzi uwe huru na haki lazima tume ya uchaguzi imtangaze mgombea wa ukawa kuwa mshindi. Ukimwona kiongozi anatoa kauli kama hizo ni dhahili kuwa amefirisika na hana cha kuongea mbele ya wananchi ila kuhamasisha vurugu.
Ikumbukwe kuwa siyo mara ya kwanza kwa mbowe kuituhumu tume ya uchaguzi na maneno ya kejeli pia kuiona kana kwamba siyo taasisi huru ya utendaji haki hapa nchini.
Ikumbukwe kuwa pia alishawahi kusema rais kikwete atoe utaratibu wa kumwapisha mgombea wa ukawa ,ukiangalia kauli zote zimekaa kichochezi na si za kufanyia dhihaka hata kidogo
mbowe taifa letu ni zaidi ya urais na ulimi wako lazima uuchunge kwa sababu unaweza kusababisha kauli zenye kuhatarisha amani ya taifa letu.
 
Mbowe anaonekana kuwa ni mtu mwenye kuweweseka na hana nia njema na taifa hili
 
jana mwenyekiti wa chadema alitoa kauli moja akisema ili uchaguzi uwe huru na haki lazima tume ya uchaguzi imtangaze mgombea wa ukawa kuwa mshindi. Ukimwona kiongozi anatoa kauli kama hizo ni dhahili kuwa amefirisika na hana cha kuongea mbele ya wananchi ila kuhamasisha vurugu.
Ikumbukwe kuwa siyo mara ya kwanza kwa mbowe kuituhumu tume ya uchaguzi na maneno ya kejeli pia kuiona kana kwamba siyo taasisi huru ya utendaji haki hapa nchini.
Ikumbukwe kuwa pia alishawahi kusema rais kikwete atoe utaratibu wa kumwapisha mgombea wa ukawa ,ukiangalia kauli zote zimekaa kichochezi na si za kufanyia dhihaka hata kidogo
mbowe taifa letu ni zaidi ya urais na ulimi wako lazima uuchunge kwa sababu unaweza kusababisha kauli zenye kuhatarisha amani ya taifa letu.

mbowe anataka kuleta vita, haki ya mungu tutamkabili mpuuzi huyo
 
mbowe angalia sana usije ukajutia maneno yako, tutakungonga hadharani mbweha wewe. Tuachie nchi yetu ikiwa salama, usitake kutuongoza au kupata nafasi kwa lazima.
 
kaul za kikwete kuwa watakao kusanyika hawatavumiliwa na wapga kura wako milion 23 znamaanisha nin?...tufanye mambo yawe pasu kwa pasu, kama tume ya uchaguz iliposema NI MANENO YA KAMPENI NA WAOMBA KURA.. unamkumbuka yule wa ccm aliesema ukawa ikichukua nchi patakuwa kama libya..
sishangai tume ishatoa jib
 
hivi wewe form four leaver mbowe na kilaza mwana sanaa lowassa mnataka nini katika tanzania yetu??? Mkafie mbali gaidi wewe.
 
Back
Top Bottom