Kauli ya Mbowe ilaaniwe na wapenda amani

Kauli ya Mbowe ilaaniwe na wapenda amani

mbna kitoga wenu alisema ukawa wakichukua nchi patakuwa kama libya na hamkupayuka? mnachunguza sana ya wapinzan kulko yenu?..tume ishasema hayo n maneno ya kisiasa, kaen mtulie
 
Shida ni Join date yako, huoni Kauli za kikwete Na mgombea wenu za vitisho unaona za Freeman tu...?? Mmenunua magari 700 ya vita ya nini??? Mmenunua Zile hardtop Na hilux za nini?? Kwanini mmetumia pesa nyingi Sana Katika uchaguzi Huu?? Ni kwakua mnauzalendo au kuna kitu mnajaribu kuficha kwa kuhofia wengine wakishika sola wataona madudu mliyofanya kwa miaka yote????
 
jana mwenyekiti wa chadema alitoa kauli moja akisema ili uchaguzi uwe huru na haki lazima tume ya uchaguzi imtangaze mgombea wa ukawa kuwa mshindi. Ukimwona kiongozi anatoa kauli kama hizo ni dhahili kuwa amefirisika na hana cha kuongea mbele ya wananchi ila kuhamasisha vurugu.
Ikumbukwe kuwa siyo mara ya kwanza kwa mbowe kuituhumu tume ya uchaguzi na maneno ya kejeli pia kuiona kana kwamba siyo taasisi huru ya utendaji haki hapa nchini.
Ikumbukwe kuwa pia alishawahi kusema rais kikwete atoe utaratibu wa kumwapisha mgombea wa ukawa ,ukiangalia kauli zote zimekaa kichochezi na si za kufanyia dhihaka hata kidogo
mbowe taifa letu ni zaidi ya urais na ulimi wako lazima uuchunge kwa sababu unaweza kusababisha kauli zenye kuhatarisha amani ya taifa letu.
tutenda na magufuli mpaka ikulu.
 
Mbowe na UKAWA jiandaeni kupigwa tu! Nami nasema wapigwe tu hamna namna
 
Serikali iko chini ya sheria. Sheria inaruhusu mwananchi kulinda kura wao ni kina nani kukataza wakwendreeeee
 
Maelite wa KLM walivyokuwa kwenye kampeni zao Moshi hawakuwataka watu wa KLM kulinda kura kama wanavyowaambia misukule yao ya Mikoa mingine, kama ilivyo pia kwenye maandamano ya chadema Mkoa huwo na Mji wake mzuri wa Moshi wenye mandhari nzuri umekuwa ukiepushwa na Maandamano na fujo zinazoshuhudiwa Mikoa mingine kama MB, MZ, KG, KG, Do ,MR, MT n.k maelite wa KLM wamekuwa wakichochea maandamano Geita, Mara, Bukoba na kwa geuza wakazi wa Mikoa hiyo misukule na Manyumbu jambo linalopeleka kuhathiriwa kwa miundombinu ya Mikoa hiyo, kuathiri shughuli za kibishara ambazo wakazi hao wanazihitaji ili waweze kuishi!
 
Peleka ujinga huko, mchochezi mkubwa wee. Mahakama kuu ishasema mita 200 ruksa.
 
Wajinga ndo waliwao ...wao hawafanyi alafu wanakwambia wewe nenda alafu unakubali, unakuwa zuzu.
 
Ulisikia lini maandamano ya chadema moshi au watu wa kilimanjaro wanalinda kura
 
Maelite wa KLM walivyokuwa kwenye kampeni zao Moshi hawakuwataka watu wa KLM kulinda kura kama wanavyowaambia misukule yao ya Mikoa mingine, kama ilivyo pia kwenye maandamano ya chadema Mkoa huwo na Mji wake mzuri wa Moshi wenye mandhari nzuri umekuwa ukiepushwa na Maandamano na fujo zinazoshuhudiwa Mikoa mingine kama MB, MZ, KG, KG, Do ,MR, MT n.k maelite wa KLM wamekuwa wakichochea maandamano Geita, Mara, Bukoba na kwa geuza wakazi wa Mikoa hiyo misukule na Manyumbu jambo linalopeleka kuhathiriwa kwa miundombinu ya Mikoa hiyo, kuathiri shughuli za kibishara ambazo wakazi hao wanazihitaji ili waweze kuishi!

kupata vitimbi vingine kama hiki, andika neno IT MASAKI tuma kwena namba 15002.
 
Maelite wa KLM walivyokuwa kwenye kampeni zao Moshi hawakuwataka watu wa KLM kulinda kura kama wanavyowaambia misukule yao ya Mikoa mingine, kama ilivyo pia kwenye maandamano ya chadema Mkoa huwo na Mji wake mzuri wa Moshi wenye mandhari nzuri umekuwa ukiepushwa na Maandamano na fujo zinazoshuhudiwa Mikoa mingine kama MB, MZ, KG, KG, Do ,MR, MT n.k maelite wa KLM wamekuwa wakichochea maandamano Geita, Mara, Bukoba na kwa geuza wakazi wa Mikoa hiyo misukule na Manyumbu jambo linalopeleka kuhathiriwa kwa miundombinu ya Mikoa hiyo, kuathiri shughuli za kibishara ambazo wakazi hao wanazihitaji ili waweze kuishi!

Kilimanjaro mtu aache biashara yake aende kulinda kura ya mtu au akaandamane maandamano ya vurugu? Sio kilimanjaro.Hawataki mahekalu yao yaguswe na jiwe kwenye fujop za maandamannon.k
Kilimanjaro hata kupiga kura wanaona kama muda wao unapotea wa kwenda kwenye biashara zao.Kilimanjaro ni wachapa kazi iwe mjini au vijijini hawezi kukaa eyti siku nzima kakodolea macho sanduku la kura labda awe ameajiriwa na kulipwa kwa kazi hiyo.

Ndio maana akina Mbowe mambo hayo wanayahamasisha wanapohutubia mikoa mingine walikolala siyo kilimanjaro

toka uchaguzi wa vyama vingi uanze hakujawahi fanyika maandamano ya vurugu kilimanjaro.Maandamano yote ni ARUSHA,MBEYA,MWANZA hasa kwa wasiojielewa
 
We utakuwa shabiki wa yule mgombea anayeitwa YAHAYA eee?? Mimi nipo Moshi usiongopee watu huyu mgombea wenu anapiga kampeni za mabavu sana cjui nani atamchagua kwa hulka aliyonayo. Nawahakikishia makamanda kuwa huyu mgombea wa CCM hapa moshi atashindwa vibaya. Hana sera eti mnichague mimi handsome.....hivi c ujinga huo??
Wewe gamba usipotoshe watu cc tulio Moshi tumemwona YAHAYA na fujo zake hapati kura ng'o kwani kura haziombwi kwa mabavu.
 
Mleta mada usipotee tar25 nipo hapo mtown huku hamnaga ccm mpk poli ni chadema yaan nijimbo pekee ambalo halijawai ongozwa na ccm tangu vyama vingi
 
Back
Top Bottom