USA watu wanalalamika itakuwa TanzaniaMnaambiwa mwache kulalamika mfanye kazi malalamika tena😀, mbona nyie watu hamweleweki, Kila awamu nyie ni kulalamika tu.
Tukiachana na awamu ya Nyerere na Mwinyi ambayo sina kumbukumbu sahihi, awamu ya mkapa mmelalamika, awamu ya Kikwete mmelalamika, awamu ya Magufuli ndiyo kabisa🤣🤣, mlimwita kila aina ya majina baba yule. Aliwapigania kwa kila namna, wanaopiganiwa sasa😀😀. Mwisho wa siku akajifia zake(Nasikia kuna watu walifanya sherehe🤣). Ila kabla hajaondoka akawaachia neno "mtanikumbuka".
Then mama akaingia kazini, cha kushangaza hata mwaka haukupita mkaanza tena kulalamika🤣🤣, mara mama anakopa sana, mara Abdul kafanyaje. Hata hamjui mnataka nini.
Fanyeni kazi.
Hata kama mpate rais mzalendo kiasi gani, tabia ya kulalamika hamtaacha.
Na inawezekana kuwa ni jambo la hatari kuwa kiongozi mzalendo kwenye nchi ambayo wananchi hawaelewi wanataka nini? Akitokea mtu au kikundi cha watu kikawamanipulate, dakika hiyohiyo wanakugeuka.
Wenzenu wakipata rais mzalendo wako tayari kufa kwa ajili yake. Wakati nyinyi mnamkebehi na kumlalamikia. Kwa kifupi kujifanya mtetezi wa Mtanzania wa kizazi hiki ni kujitia matatizoni (Mifano mnayo).
KWA NINI MPO HIVI?
1. Watanzania wengi hawana fikra tunduizi (Critical thinking), huwa wanalipuka tu.
2.Uwoga na Kujipendekeza hii tabia mnayo sana tu. Mnasifia hata pasipotakiwa kusifiwa, mnawa manipulate hata vingozi wenu wanashindwa kujua wapi wako sahihi wapi hawako sahihi.
3. Tabia ya kuongea bila kufanya utafiti.
4. Elimu isiyoendana na mahitaji ( ni ngumu kutofautisha msomi na asiye msomi).
5. Malezi - uaminifu, ukweli, uwazi, usawa na uzalendo nitabia, na tabia inatengenezewa misingi tangu ukiwa mdogo. Tujiulize kama watoto wetu tunawafundisha haya tangu wakiwa wadogo.
MATOKEO YAKE SASA😀
1. Tunazalisha kizazi cha watu wanaojipendekeza muda wote😀 aka machawa( taaluma mpya hii)
2. Kizazi cha watu wanaolalamika muda wote.
3. Viongozi ambao hawajui wanataka nini. Nao wanalalamika😀
BADILIKENI
Kazi watu wafanya ndio maana unaona hakuna anae kuomba chakula makazi au mavazi , huko kulalamika watu hawafanyi kazi ni kujiona kwamba wewe ndio unafanya kazi kuliko wengine , na huwenda hao unao ona wanalalamika wala hauwazi kwa chochote labda masikio makubwa tu .Mimi silalamiki, ni mtazamo tu.
Uwezo mdogo wa akili ni incurable disease, kwa kulalamika hakuhusiani na uvivu wa kufanya kazi bali watu hulalamika wanapoona mambo yanayoweza kuwekwa sawa hayawekwi sawa.Mnaambiwa mwache kulalamika mfanye kazi malalamika tena😀, mbona nyie watu hamweleweki, Kila awamu nyie ni kulalamika tu.
Tukiachana na awamu ya Nyerere na Mwinyi ambayo sina kumbukumbu sahihi, awamu ya mkapa mmelalamika, awamu ya Kikwete mmelalamika, awamu ya Magufuli ndiyo kabisa🤣🤣, mlimwita kila aina ya majina baba yule. Aliwapigania kwa kila namna, wanaopiganiwa sasa😀😀. Mwisho wa siku akajifia zake(Nasikia kuna watu walifanya sherehe🤣). Ila kabla hajaondoka akawaachia neno "mtanikumbuka".
Then mama akaingia kazini, cha kushangaza hata mwaka haukupita mkaanza tena kulalamika🤣🤣, mara mama anakopa sana, mara Abdul kafanyaje. Hata hamjui mnataka nini.
Fanyeni kazi.
Hata kama mpate rais mzalendo kiasi gani, tabia ya kulalamika hamtaacha.
Na inawezekana kuwa ni jambo la hatari kuwa kiongozi mzalendo kwenye nchi ambayo wananchi hawaelewi wanataka nini? Akitokea mtu au kikundi cha watu kikawamanipulate, dakika hiyohiyo wanakugeuka.
Wenzenu wakipata rais mzalendo wako tayari kufa kwa ajili yake. Wakati nyinyi mnamkebehi na kumlalamikia. Kwa kifupi kujifanya mtetezi wa Mtanzania wa kizazi hiki ni kujitia matatizoni (Mifano mnayo).
KWA NINI MPO HIVI?
1. Watanzania wengi hawana fikra tunduizi (Critical thinking), huwa wanalipuka tu.
2. Uwoga na Kujipendekeza hii tabia mnayo sana tu. Mnasifia hata pasipotakiwa kusifiwa, mnawa manipulate hata vingozi wenu wanashindwa kujua wapi wako sahihi wapi hawako sahihi.
3. Tabia ya kuongea bila kufanya utafiti.
4. Elimu isiyoendana na mahitaji ( ni ngumu kutofautisha msomi na asiye msomi).
5. Malezi - uaminifu, ukweli, uwazi, usawa na uzalendo nitabia, na tabia inatengenezewa misingi tangu ukiwa mdogo. Tujiulize kama watoto wetu tunawafundisha haya tangu wakiwa wadogo.
MATOKEO YAKE SASA😀
1. Tunazalisha kizazi cha watu wanaojipendekeza muda wote😀 aka machawa( taaluma mpya hii)
2. Kizazi cha watu wanaolalamika muda wote.
3. Viongozi ambao hawajui wanataka nini. Nao wanalalamika😀
BADILIKENI
Kwani mmeanza kulalamika leo? Malalamiko yenu yalishawahi kubadilisha chochote? Hoja yangu ni kwamba " Kwa Mtanzania kulalamika ni tabia" , sehemu ya kutenda nyinyi ni kulalamika tu. Brother malalamiko hayabadilishi chochote. Mnalalamikia kila kitu.Watanzania wanatekwa na kupotea serikali ipo kimya tusilalamike.
Uchaguzi unahujumiwa tusilalamike
Wapinzani wanabambikiwa kesi tusilalamike
Bandari inauzwa tusilalamike
Masai hawana makazi huko Ngorongoro tukae kimya
Watoto shule hazina madawati, hospital hazina madawa tukae kimya
Mtoto wa Rais ananunua magari ya anasa ya billion 100 Kwa ufisadi
Kodi zetu wale wao
laZima tulalamike Rais laZima awe mtumishi wa Watanzania, sio kutoa mabilion na tender kubwa Kwa mtoto wake
Andika point zako inatosha watu kuelewa, Hakuna haja ya kujaza emoji.Kwa hiyo ujumbe umeharibika kisa emoji 🤣🤣🤣🤣, unalalamikia emoji au muemojishaji? Punguzeni kulalamika
Limpunga linaweka picha ya Traore halafu lenyewe linacheka cheka ovyoLishoga nini sasa unacheka chekea kwa emoji ili iweje au unadhani kuweka picha ya traore ndo tutakuona mwamba