Kauli ya Diamond katika mtazamo chanya

Kauli ya Diamond katika mtazamo chanya

raiswenu

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2018
Posts
995
Reaction score
1,720
Mnaambiwa mwache kulalamika mfanye kazi malalamika tena😀, mbona nyie watu hamweleweki, Kila awamu nyie ni kulalamika tu.

Tukiachana na awamu ya Nyerere na Mwinyi ambayo sina kumbukumbu sahihi, awamu ya mkapa mmelalamika, awamu ya Kikwete mmelalamika, awamu ya Magufuli ndiyo kabisa🤣🤣, mlimwita kila aina ya majina baba yule. Aliwapigania kwa kila namna, wanaopiganiwa sasa😀😀. Mwisho wa siku akajifia zake(Nasikia kuna watu walifanya sherehe🤣). Ila kabla hajaondoka akawaachia neno "mtanikumbuka".

Then mama akaingia kazini, cha kushangaza hata mwaka haukupita mkaanza tena kulalamika🤣🤣, mara mama anakopa sana, mara Abdul kafanyaje. Hata hamjui mnataka nini.

Fanyeni kazi.
Hata kama mpate rais mzalendo kiasi gani, tabia ya kulalamika hamtaacha.
Na inawezekana kuwa ni jambo la hatari kuwa kiongozi mzalendo kwenye nchi ambayo wananchi hawaelewi wanataka nini? Akitokea mtu au kikundi cha watu kikawamanipulate, dakika hiyohiyo wanakugeuka.

Wenzenu wakipata rais mzalendo wako tayari kufa kwa ajili yake. Wakati nyinyi mnamkebehi na kumlalamikia. Kwa kifupi kujifanya mtetezi wa Mtanzania wa kizazi hiki ni kujitia matatizoni (Mifano mnayo).

KWA NINI MPO HIVI?
1. Watanzania wengi hawana fikra tunduizi (Critical thinking), huwa wanalipuka tu.

2. Uwoga na Kujipendekeza hii tabia mnayo sana tu. Mnasifia hata pasipotakiwa kusifiwa, mnawa manipulate hata vingozi wenu wanashindwa kujua wapi wako sahihi wapi hawako sahihi.

3. Tabia ya kuongea bila kufanya utafiti.

4. Elimu isiyoendana na mahitaji ( ni ngumu kutofautisha msomi na asiye msomi).

5. Malezi - uaminifu, ukweli, uwazi, usawa na uzalendo nitabia, na tabia inatengenezewa misingi tangu ukiwa mdogo. Tujiulize kama watoto wetu tunawafundisha haya tangu wakiwa wadogo.

MATOKEO YAKE SASA😀
1. Tunazalisha kizazi cha watu wanaojipendekeza muda wote😀 aka machawa( taaluma mpya hii)

2. Kizazi cha watu wanaolalamika muda wote.

3. Viongozi ambao hawajui wanataka nini. Nao wanalalamika😀

BADILIKENI
 
Nchi za watu wanaojitambua sio walalamikaji,diamond alikuwa tayari kaingia kwenye shida na wafuasi wake.
Lakini sababu anawajua Ng'ombe wake wala hana wasi wasi anaweza akawafokea na kusitokee lolote.
 
Mnaambiwa mwache kulalamika mfanye kazi malalamika tena😀, mbona nyie watu hamweleweki, Kila awamu nyie ni kulalamika tu.
Tukiachana na awamu ya Nyerere na Mwinyi ambayo sina kumbukumbu sahihi, awamu ya mkapa mmelalamika, awamu ya Kikwete mmelalamika, awamu ya Magufuli ndiyo kabisa🤣🤣, mlimwita kila aina ya majina baba yule. Aliwapigania kwa kila namna, wanaopiganiwa sasa😀😀. Mwisho wa siku akajifia zake(Nasikia kuna watu walifanya sherehe🤣). Ila kabla hajaondoka akawaachia neno "mtanikumbuka".
Then mama akaingia kazini, cha kushangaza hata mwaka haukupita mkaanza tena kulalamika🤣🤣, mara mama anakopa sana, mara Abdul kafanyaje. Hata hamjui mnataka nini.
Fanyeni kazi.
Hata kama mpate rais mzalendo kiasi gani, tabia ya kulalamika hamtaacha.
Na inawezekana kuwa ni jambo la hatari kuwa kiongozi mzalendo kwenye nchi ambayo wananchi hawaelewi wanataka nini? Akitokea mtu au kikundi cha watu kikawamanipulate, dakika hiyohiyo wanakugeuka.
Wenzenu wakipata rais mzalendo wako tayari kufa kwa ajili yake. Wakati nyinyi mnamkebehi na kumlalamikia. Kwa kifupi kujifanya mtetezi wa Mtanzania wa kizazi hiki ni kujitia matatizoni (Mifano mnayo).
KWA NINI MPO HIVI?
1. Watanzania wengi hawana fikra tunduizi (Critical thinking), huwa wanalipuka tu.
2.Uwoga na Kujipendekeza hii tabia mnayo sana tu. Mnasifia hata pasipotakiwa kusifiwa, mnawa manipulate hata vingozi wenu wanashindwa kujua wapi wako sahihi wapi hawako sahihi.
3. Tabia ya kuongea bila kufanya utafiti.
4. Elimu isiyoendana na mahitaji ( ni ngumu kutofautisha msomi na asiye msomi).
5. Malezi - uaminifu, ukweli, uwazi, usawa na uzalendo nitabia, na tabia inatengenezewa misingi tangu ukiwa mdogo. Tujiulize kama watoto wetu tunawafundisha haya tangu wakiwa wadogo.
MATOKEO YAKE SASA😀
1. Tunazalisha kizazi cha watu wanaojipendekeza muda wote😀 aka machawa( taaluma mpya hii)
2. Kizazi cha watu wanaolalamika muda wote.
3. Viongozi ambao hawajui wanataka nini. Nao wanalalamika😀
BADILIKENI
USA watu wanalalamika itakuwa Tanzania

Na matendo ya hawa watu ni haki yetu kulalamika
 
Aliekupa jukumu la kushauri watu wafanye kazi ni nani kwamba unawalisha kuwavalisha na kuwapa sehemu ya kulala ,mpaka na wewe ulalamike kuwa watu hawafanyi kazi?
Mimi silalamiki, ni mtazamo tu.
 
Mimi silalamiki, ni mtazamo tu.
Kazi watu wafanya ndio maana unaona hakuna anae kuomba chakula makazi au mavazi , huko kulalamika watu hawafanyi kazi ni kujiona kwamba wewe ndio unafanya kazi kuliko wengine , na huwenda hao unao ona wanalalamika wala hauwazi kwa chochote labda masikio makubwa tu .
 
Mnaambiwa mwache kulalamika mfanye kazi malalamika tena😀, mbona nyie watu hamweleweki, Kila awamu nyie ni kulalamika tu.

Tukiachana na awamu ya Nyerere na Mwinyi ambayo sina kumbukumbu sahihi, awamu ya mkapa mmelalamika, awamu ya Kikwete mmelalamika, awamu ya Magufuli ndiyo kabisa🤣🤣, mlimwita kila aina ya majina baba yule. Aliwapigania kwa kila namna, wanaopiganiwa sasa😀😀. Mwisho wa siku akajifia zake(Nasikia kuna watu walifanya sherehe🤣). Ila kabla hajaondoka akawaachia neno "mtanikumbuka".

Then mama akaingia kazini, cha kushangaza hata mwaka haukupita mkaanza tena kulalamika🤣🤣, mara mama anakopa sana, mara Abdul kafanyaje. Hata hamjui mnataka nini.

Fanyeni kazi.
Hata kama mpate rais mzalendo kiasi gani, tabia ya kulalamika hamtaacha.
Na inawezekana kuwa ni jambo la hatari kuwa kiongozi mzalendo kwenye nchi ambayo wananchi hawaelewi wanataka nini? Akitokea mtu au kikundi cha watu kikawamanipulate, dakika hiyohiyo wanakugeuka.

Wenzenu wakipata rais mzalendo wako tayari kufa kwa ajili yake. Wakati nyinyi mnamkebehi na kumlalamikia. Kwa kifupi kujifanya mtetezi wa Mtanzania wa kizazi hiki ni kujitia matatizoni (Mifano mnayo).

KWA NINI MPO HIVI?
1. Watanzania wengi hawana fikra tunduizi (Critical thinking), huwa wanalipuka tu.

2. Uwoga na Kujipendekeza hii tabia mnayo sana tu. Mnasifia hata pasipotakiwa kusifiwa, mnawa manipulate hata vingozi wenu wanashindwa kujua wapi wako sahihi wapi hawako sahihi.

3. Tabia ya kuongea bila kufanya utafiti.

4. Elimu isiyoendana na mahitaji ( ni ngumu kutofautisha msomi na asiye msomi).

5. Malezi - uaminifu, ukweli, uwazi, usawa na uzalendo nitabia, na tabia inatengenezewa misingi tangu ukiwa mdogo. Tujiulize kama watoto wetu tunawafundisha haya tangu wakiwa wadogo.

MATOKEO YAKE SASA😀
1. Tunazalisha kizazi cha watu wanaojipendekeza muda wote😀 aka machawa( taaluma mpya hii)

2. Kizazi cha watu wanaolalamika muda wote.

3. Viongozi ambao hawajui wanataka nini. Nao wanalalamika😀

BADILIKENI
Uwezo mdogo wa akili ni incurable disease, kwa kulalamika hakuhusiani na uvivu wa kufanya kazi bali watu hulalamika wanapoona mambo yanayoweza kuwekwa sawa hayawekwi sawa.
Kwa wale wenye exposure wanaelewa kuwa critics wapo dunia nzima na wanaheshimiwa na kukubalika.
Ni mbumbumbu wasio na ufahamu kama hawa madogo wanaoimbaimba wasiofahamu umuhimu wa whistleblowers katika jamii au kudhani wanapoainisha mambo ambayo hayaendi sawa na yanapaswa kurekebishwa eti ni uvivu wa kufanya kazi.
 
Kwani huyo Diamond yeye alikua anaongelea watu kulalamikia kwenye jambo lipi hasa?
Coz naona ame generalize tu kuhusu watu kulalamika,
Angekua specific kua hao watu wasilalamike kwenye jambo lipi hasa? japo hapo kidogo angeeleweka,

Sidhani kama kuna nchi yeyote ile hapa Duniani ambayo haina watu wanaolalamika,issue ni kwamba watu hao wanalalamika kwenye jambo lipi? je watu hao wapo sahihi kulalamika kwenye jambo hilo au hawapo sahihi? coz hata yeye kuna mambo alilalamika pia,hasa baada ya baadhi ya nyimbo zake kufungiwa.
 
Watanzania wanatekwa na kupotea serikali ipo kimya tusilalamike.
Uchaguzi unahujumiwa tusilalamike
Wapinzani wanabambikiwa kesi tusilalamike
Bandari inauzwa tusilalamike
Masai hawana makazi huko Ngorongoro tukae kimya
Watoto shule hazina madawati, hospital hazina madawa tukae kimya
Mtoto wa Rais ananunua magari ya anasa ya billion 100 Kwa ufisadi
Kodi zetu wale wao
laZima tulalamike Rais laZima awe mtumishi wa Watanzania, sio kutoa mabilion na tender kubwa Kwa mtoto wake
 
Kwani usingeweza kuandika bila kutumia emoji zote hizo?
Ujumbe unaweza kuwa mzuri, Lakini kutumia emoji kama hivyo hapana.
 
Kwani mmeanza kulalamika leo? Malalamiko yenu yalishawahi kubadilisha chochote? Hoja yangu ni kwamba " Kwa Mtanzania kulalamika ni tabia" , sehemu ya kutenda nyinyi ni kulalamika tu. Brother malalamiko hayabadilishi chochote. Mnalalamikia kila kitu.
 
Kwani usingeweza kuandika bila kutumia emoji zote hizo?
Ujumbe unaweza kuwa mzuri, Lakini kutumia emoji kama hivyo hapana.
Kwa hiyo ujumbe umeharibika kisa emoji 🤣🤣🤣🤣, unalalamikia emoji au muemojishaji? Punguzeni kulalamika
 
Back
Top Bottom