Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 29,515
- 42,646
Mi simjuiupo serious humjui kaa???
Mi simjuiupo serious humjui kaa???
Kama wewe unaliona hilo kuwa ni Fumbo basi ni wewe mwenyewe unaetakiwa kulifumbuaJambo wakuu ,Nimekua nikifuatilia matangazo ya clouds fm na wamekua na msemo maarufu kwa wiki hizi mbili ukihamasisha watu wasiwe kama mdudu kaa na ukifuatilia maudhui yake unaona kama kuna mtu anasemwa kulingana na tabia za mdudu kaa pleas mtuambie hy mdudu kaa ninani ili mumsaidie kuliko kuzunguka zunguka
Umeadimika, njoo nkuoneshe huyo Kaa....Mi simjui
Ila burudani zote zinazoambatana na kelele mwisho ni saa 6 palepale sema tu huwa inachukuliwa poa hivyo wasilalamike...mfano kuna mikoa mingine hata harusi tu mwisho saa 6 kamili kila kitu kimekwisha (Iringa hii) lakini walipewa nafasi ya kutumbuiza usiku kucha (kama ingetokea mwenye mkoa akawaambia utaratibu wetu mwisho saa 6 nako wangesema wamebaniwa)Bashite aache ujinga kwenye hiĺi kumbe lile tangazo kuwa makelele mwisho saa 6 ni kukomoana kwa watu hajui anajiharibia publicity kubwa kwenye jamii.
Kaandika wapi?Rugemalira Mutahaba anaandika...
Nimefikiria sana. Nahisi ni wajibu wangu kuandika kwenu wasanii maana Jana tulikuwa na kikao kirefu cha kupanga mikakati ya show, na Leo minong'ono iko kila mahali kutokana na alichosema RC asubuhi. Ukiniuliza tunafanya nn?? Nitasema sina jibu. Ukiniuliza najisikiaje nitakwambia roho inauma sana....sio kwa hiyo kauli ila nikiwaza hii chuki dhidi yangu kwann inaumiza wengine. Namuwaza mtoto wa Roma, Ivan, mtoto wa barnaba, mamaake na Darasa, ndugu, jamaa na wazazi wanaofaidika na kipato cha kazi yenu ya Sanaa. Tutapunguza nusu ya wasanii kwenye ratiba, najiuliza wanadhani wanamkomoa Ruge kweli?????? Kwann wasinichukue wakaniweka ndani siku 2 au 3 wasuuze mioyo yao kuliko kugusa maisha ya watu wadogo wanaotafuta. Miaka 17 ya kuhangaika Muziki wa Tanzania usimame wenyewe na upate heshima wenyewe ndo mwaka huo huo sanaa inavuliwa nguo. Kwa hiyo kwa miaka 16 ya wasanii wa nje tulipiga mpaka asubuhi Leo tumebaki wa Tanzania wenyewe, tunaambiwa hatustahili hii heshima. Mi nawaomba wote hata kama tutapewa one hour, we will perform hata kwa dakika 5 each and Historia itaandikwa. Kizingiti kisichokuua kinakufanya uwe imara zaidi. Mi nitaendelea kupigania sanaa ya Bongo....hata matamasha yakifungiwa tutarekodi na kuuza muziki.
HatareRugemalira Mutahaba anaandika...

Haha nakuja mbiooo........Umeadimika, njoo nkuoneshe huyo Kaa....
Povu!Rugemalira Mutahaba anaandika...

kwani sheria inasemaje?mbona na wewe unakua kama kaa?Bashite aache ujinga kwenye hiĺi kumbe lile tangazo kuwa makelele mwisho saa 6 ni kukomoana kwa watu hajui anajiharibia publicity kubwa kwenye jamii.
ANGEMALIZIA NA KUANDIKA HAPO MWISHO KWAMBA NITAENDELEA KUWANYONYA MPAKA MWISHORugemalira Mutahaba anaandika...
Nimefikiria sana. Nahisi ni wajibu wangu kuandika kwenu wasanii maana Jana tulikuwa na kikao kirefu cha kupanga mikakati ya show, na Leo minong'ono iko kila mahali kutokana na alichosema RC asubuhi. Ukiniuliza tunafanya nn?? Nitasema sina jibu. Ukiniuliza najisikiaje nitakwambia roho inauma sana....sio kwa hiyo kauli ila nikiwaza hii chuki dhidi yangu kwann inaumiza wengine. Namuwaza mtoto wa Roma, Ivan, mtoto wa barnaba, mamaake na Darasa, ndugu, jamaa na wazazi wanaofaidika na kipato cha kazi yenu ya Sanaa. Tutapunguza nusu ya wasanii kwenye ratiba, najiuliza wanadhani wanamkomoa Ruge kweli?????? Kwann wasinichukue wakaniweka ndani siku 2 au 3 wasuuze mioyo yao kuliko kugusa maisha ya watu wadogo wanaotafuta. Miaka 17 ya kuhangaika Muziki wa Tanzania usimame wenyewe na upate heshima wenyewe ndo mwaka huo huo sanaa inavuliwa nguo. Kwa hiyo kwa miaka 16 ya wasanii wa nje tulipiga mpaka asubuhi Leo tumebaki wa Tanzania wenyewe, tunaambiwa hatustahili hii heshima. Mi nawaomba wote hata kama tutapewa one hour, we will perform hata kwa dakika 5 each and Historia itaandikwa. Kizingiti kisichokuua kinakufanya uwe imara zaidi. Mi nitaendelea kupigania sanaa ya Bongo....hata matamasha yakifungiwa tutarekodi na kuuza muziki.
Unamuonea huruma?Bashite aache ujinga kwenye hiĺi kumbe lile tangazo kuwa makelele mwisho saa 6 ni kukomoana kwa watu hajui anajiharibia publicity kubwa kwenye jamii.
Wewe na nani?Tumechoka na Clouds kama tulivyoichoka CCM, huu ndio wakati wa Madiliko kama tunavyoihitaji Chadema, ni wakati wa kuhamia EF-M - Makonda RARA NAO MBERE KWA MBERE!