Kauli mbiu ya "KAA" Clouds Tv anasemwa nani?

Ruge akili zake bwana, jamaa ni nyoka haswaa, anasema watoto wa roma watakula nini anasahau vipaji vingapi kaviua na kuvibania kisa redio yake inayotoa tenda za burudan kuwanyima show na airtime wasanii wengi tu na tena wengine walihojigi tu juu ya maslai yao.

Et zamani tulikua tunapiga hadi asubuhi, kwaio kama zamani mlikua mnavunja sheria na hamkukamatwa basi muachwe muendelee kuvunja sheria?

Hapo anataka huruma tu na apate kundi la watu wengi nyuma yake, badala yake kashaaribu pote na too bad nae alijiingiza kwenye mambo ya siasa na hapendwi sanaa na wapinzani wa nchi hii so hakuna wa kumtetea.

Rest in Peace Clouds.
 
Wakuu habari zenu,

Nimejaribu kufikiria sana ila sijapata jibu nikaona si mbaya nikaleta kwenu wakuu wangu ili tushee idea. Mimi sijalielewa kabisa hili tangazo la cloud's tv kwamba kataa kuwa kaa, elimu yao hasa ni nini? Au kuna watu wanajaribu kuwaamsha wamelala, au linahusiana na bashite?

Karibuni naomba kueleweshwa.
 
Wakuu habari zenu, nimejaribu kufikilia sana ila cjapata jibu nkaona c mbaya nikaleta kwenu wakuu wangu ili tushee idea, mm cjalielewa kabisa hili tangazo la cloud's tv kwamba kataa kuwa kaa, elimu yao hasa n nn? Au kuna watu wanajarbu kuwaamusha wamelala, au linahusiana na bashite? Karbuni naomba kueleweshwa.
Wala sijakuelewa, lakini waliolisikia na kulielewa watakuelewesha.
 
wamewapiga madogo bashite na kile kituo shindani cha tv na radiooo....
 
Lina eleweka, humu utaeleweshwa ila hautofafanuliwa kiundani,
pia hiyo slogan inawagharim adui hapigwi vijenge mfate ana kwa ana mmalizane, sasa watrajutraaa
 
Mbona clouds wametoa mifano mingi sana kuhusiana na hilo tangazo? Tupeane deal tache kuwa kama Kaa.......
 
Jamani tupo hatuja uelewa msamiati huo, fungukeniiiiiiiiiiiiiiiii. Ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi, najua nimewazidi kwa mengi lakini hili tujuzeni bhanduguu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom