Kauli mbiu ya CHADEMA nguvu ya Umma na wabunge 23

Sijui ingekuaje CDM wangeshinda urais kwenye kikao cha bunge...

CDM wangekuwa na wabunge wao 23 na rais halafu wapinzani wangekuwa na wabunge 216 sasa hizo bajeti zijui zingepitishwaje na wabunge 23
 
wewe unatumia nini mkufikiri? Umma unao ujua wewe unataka uwe na idadi gani ya watu? Ina maana kwamba mtu akimpigia kura mgombea ubunge wa ccm atampigia pia mgombea urais wa ccm? Jipanue kidogo usitupie humu mstari pila kufikiri
 
umezoea ccm ambao wanafanya mambo kwa hisia. hata kama kitu cha kishenzi wanakikumbatia ndio maana unasema hivyo
 
kauli ya masaburi haikukosewa
Wana JF.
Mpaka sasa hivi sijajua itikadi na falsafa ya CDM. ni chama cha siasa kisicho na nadharia inayoelezeka wazi..

Ni sawa kabisa ni shirika lisilo la kiserikali NGO ninachoweza kusema viongozi wa CDM waache kupotosha wanachi kuwa CDM ni nguvu ya Umma.

CDM ina wabunge wa kuchaguliwa 23 tu kati ya wabunge 239. Bara 189 na Visiwani 50 Pemba 18 Unguja 32..

Sasa hii kauli mbiu ya CDM kuwa ni chama cha nguvu ya Umma inatoka wapi?

Tumeona maandamano ya CDM yasiokuwa na tija kwa taifa zaidi ya kugawana posho za maandamano kimsingi ni ufujaji pesa zetu wananchi ruzuku..

Viongozi wa CDM msiwapotoshe wananchi huwezi kuchukuwa nchi na wabunge 23 ukiwa na uwezo mkubwa wa kufikiri utaona huu ni umbumbu wa fikra..

Cha kushangaza zaidi CDM wanaenda mbali zaidi na kusema walishinda kiti cha urais, utashinda vipi urais na wabunge 23
 
Pro-CDM JF wanalialia tu, wanashindwa kujenga hoja za msingi..

Nguvu ya umma ya CDM ni nini?
 
Wana JF.
Mpaka sasa hivi sijajua itikadi na falsafa ya CDM. ni chama cha siasa kisicho na nadharia inayoelezeka wazi..

Ni sawa kabisa ni shirika lisilo la kiserikali NGO ninachoweza kusema viongozi wa CDM waache kupotosha wanachi kuwa CDM ni nguvu ya Umma.

CDM ina wabunge wa kuchaguliwa 23 tu kati ya wabunge 239. Bara 189 na Visiwani 50 Pemba 18 Unguja 32..

Sasa hii kauli mbiu ya CDM kuwa ni chama cha nguvu ya Umma inatoka wapi?

Tumeona maandamano ya CDM yasiokuwa na tija kwa taifa zaidi ya kugawana posho za maandamano kimsingi ni ufujaji pesa zetu wananchi ruzuku..

Viongozi wa CDM msiwapotoshe wananchi huwezi kuchukuwa nchi na wabunge 23 ukiwa na uwezo mkubwa wa kufikiri utaona huu ni umbumbu wa fikra..

Cha kushangaza zaidi CDM wanaenda mbali zaidi na kusema walishinda kiti cha urais, utashinda vipi urais na wabunge 23

Kwani mkuu unajuwa majimbo mangapi cdm wamezulumiwa na magamba kwa kuibiwa kura? Au unapost chochote bila kufikiri wala kufanya research
 
Mkuu, ebu tuwekee research zako ulizofanya tuone hayo majimbo CDM walioibiwa kura
 
waambie hao mambumbumbu wanaoamini kuwa slaa alishinda urais 2010. just emagine rais anaongoza serikali yenye wabunge 48.hapa wengine ndo wanakuwa mawaziri then unapeleka bajeti bungeni ili ijadiliwe na kupitishwa.sasa hapa me napata wakati mgumu sana kutambua anaewezesha bajeti kupita hapa ni serikali(cdm) au upinzani(wakiwemo wabunge zaidi ya 200 wa ccm)?hv huwa inatokea nini bajeti ikikataliwa?si ni kawaida ya wapinzani kusema siungi mkono bajeti 100%?jamani me naomba mtu mwenye kopi ya ilani (sio katiba) ya cdm ailete hapa jamvini au atuelekeze inapatikana wapi tuitafute....sio member wa chama chochote cha siasa but naamini katika mabadiliko....
 
Wana JF.
Mpaka sasa hivi sijajua itikadi na falsafa ya CDM. ni chama cha siasa kisicho na nadharia inayoelezeka wazi..

Ni sawa kabisa ni shirika lisilo la kiserikali NGO ninachoweza kusema viongozi wa CDM waache kupotosha wanachi kuwa CDM ni nguvu ya Umma.

CDM ina wabunge wa kuchaguliwa 23 tu kati ya wabunge 239. Bara 189 na Visiwani 50 Pemba 18 Unguja 32..

Sasa hii kauli mbiu ya CDM kuwa ni chama cha nguvu ya Umma inatoka wapi?

Tumeona maandamano ya CDM yasiokuwa na tija kwa taifa zaidi ya kugawana posho za maandamano kimsingi ni ufujaji pesa zetu wananchi ruzuku..

Viongozi wa CDM msiwapotoshe wananchi huwezi kuchukuwa nchi na wabunge 23 ukiwa na uwezo mkubwa wa kufikiri utaona huu ni umbumbu wa fikra..

Cha kushangaza zaidi CDM wanaenda mbali zaidi na kusema walishinda kiti cha urais, utashinda vipi urais na wabunge 23

Ha ha haaaaa hii imekaa vizuri sana na imewamaliza cdm wote. Nadhani hiyo sio nguvu ya umma , ni nguvu uma (kifaa cha kulia)
 
Back
Top Bottom