Kauli mbiu ya CHADEMA nguvu ya Umma na wabunge 23

wanawadanganya wapuuzi, sisi tushawajua kitambo watabaki kusuasua hukohuko milimani
 
Wana JF.
Mpaka sasa hivi sijajua itikadi na falsafa ya CDM. ni chama cha siasa kisicho na nadharia inayoelezeka wazi..

Ni sawa kabisa ni shirika lisilo la kiserikali NGO ninachoweza kusema viongozi wa CDM waache kupotosha wanachi kuwa CDM ni nguvu ya Umma.

CDM ina wabunge wa kuchaguliwa 23 tu kati ya wabunge 239. Bara 189 na Visiwani 50 Pemba 18 Unguja 32..

Sasa hii kauli mbiu ya CDM kuwa ni chama cha nguvu ya Umma inatoka wapi?

Tumeona maandamano ya CDM yasiokuwa na tija kwa taifa zaidi ya kugawana posho za maandamano kimsingi ni ufujaji pesa zetu wananchi ruzuku..

Viongozi wa CDM msiwapotoshe wananchi huwezi kuchukuwa nchi na wabunge 23 ukiwa na uwezo mkubwa wa kufikiri utaona huu ni umbumbu wa fikra..

Cha kushangaza zaidi CDM wanaenda mbali zaidi na kusema walishinda kiti cha urais, utashinda vipi urais na wabunge 23

kushinda uchaguzi kwa nchi kama Tz na baadhi ya nchi za Afrika does not justify kwamba chama chenu kinapendwa. Ukitaka kujua the 'descriptive defination' ya nguvu ya umma angalia nchi kama Tunisia na Misri ambako watu waliwakataa viongozi madhalimu wa mataifa hayo muda mfupi tu baada ya chaguzi zilizowapatia kura nyingi. Hivyo barrot box decisions which were accompanied by rigging of election & corrupt practices done by magambas ndio inajustify nguvu ya umma.
 
dea is zero correlation bt the no ya wabunge na kutoa raisi, coz rais hachaguliwi na wabunge, unatokea wap ww hujui hili mpaka leo
 
Back
Top Bottom