Jackbauer
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 6,038
- 2,199
Wana Chadema nguvu ya umma ni nini?
nadhani umejionea mwenyewe maana ya peoples power huko arumeru.
Wana Chadema nguvu ya umma ni nini?
Wana JF.
Mpaka sasa hivi sijajua itikadi na falsafa ya CDM. ni chama cha siasa kisicho na nadharia inayoelezeka wazi..
Ni sawa kabisa ni shirika lisilo la kiserikali NGO ninachoweza kusema viongozi wa CDM waache kupotosha wanachi kuwa CDM ni nguvu ya Umma.
CDM ina wabunge wa kuchaguliwa 23 tu kati ya wabunge 239. Bara 189 na Visiwani 50 Pemba 18 Unguja 32..
Sasa hii kauli mbiu ya CDM kuwa ni chama cha nguvu ya Umma inatoka wapi?
Tumeona maandamano ya CDM yasiokuwa na tija kwa taifa zaidi ya kugawana posho za maandamano kimsingi ni ufujaji pesa zetu wananchi ruzuku..
Viongozi wa CDM msiwapotoshe wananchi huwezi kuchukuwa nchi na wabunge 23 ukiwa na uwezo mkubwa wa kufikiri utaona huu ni umbumbu wa fikra..
Cha kushangaza zaidi CDM wanaenda mbali zaidi na kusema walishinda kiti cha urais, utashinda vipi urais na wabunge 23

watu wengine bwana,wakishavimbiwa sasa inakua tabu[/QU hana jipya gamba huyo

haji anachoongea.Mimi nilidhani wana wabunge 48..
Kumbe mmewapunguza wamebaki 23!!
hii imetokea lini mkuu???
Mnapoteza muda na hawa wapumbavu ? Nilijua wanasoma mada za moto hawagusi ila wanategea kuja na pumba kama hizi .Can learn how to ignore these loosers jamani tujenge heshima ya mijadala ya maana ? Maana wao na Chadema tu ndiyo walivyo ambiwa wakiwa ukutani .