Kauli hii inanikera, nifanyeje?

Kauli hii inanikera, nifanyeje?

lol!wanaume wenzio wanaofaidi utamu wa wanawake wakisikia maneno kama haya huwa waagiza mug tu za kilauri wanakata kilaji na nyama choma huku wakimsifu Muumba kwa heri alizowajalia na baraka za kumiliki wanawake wa aina yetu!wapi Kaizer , Asprin, Mtambuzi The Boss, Dark City , HorsePower ,pacha wangu mtoto wa mama yangu SnowBall na wengine woote MNAOJIAMINI NI WANAUME WA UKWELI bila kumsahau mtani wangu watu8, Erickb52, kakaangu moto2012 na mashosti zangu WANAWAKE WA UKWELI gfsonwin, mke mwanzangu wa sirini cacico, FP dadangu uvi koki dada mkubwa? na wengine woote wa mrengo wa kulia
Mtu yeyote asiyeujua umuhimu na utamu wa mwanamke, ANA MATATIZO MAKUBWA SANA!!

Siku zote natamani ningekuwa mwanaume peke yangu duniani afu Mungu anipe nguvu ya kuwamiliki wanawake wote.....

Chezeya mautamu mwanamke akikupenda na ukamtimizia??

I Stand NOT to be CORRECTED!!:glasses-nerdy:
 
iharibu tu!mwenyewe ashaiharibu!angeenda vizuri tungemshauri vizuri tu lakini kwa mwendo huu wape tu za uso

sijaharibu jamani; tuendelee vyema tusipeane za uso - noma hiyo!
 
mtu yeyote asiyeujua umuhimu na utamu wa mwanamke, ana matatizo makubwa sana!!

Siku zote natamani ningekuwa mwanaume peke yangu duniani afu mungu anipe nguvu ya kuwamiliki wanawake wote.....

Chezeya mautamu mwanamke akikupenda na ukamtimizia??

I stand not to be corrected!!:glasses-nerdy:

hiyo kali m2 wangu! Wacha matamaa ndugu yangu; utamu unakuwa nawe mwenyewe; kwa mwanamke kinachotafutwa ni utelezi tu; acheni kujidanganya.
 
Tatizo mkiambiwa ukweli mnaanza vibwagizo vya ajabu. Narudia tena wanawake sio watu, sio binadamu, ni hatari kwa maisha ya waume zao.

Nenda Musoma mjini ndo utathibitisha kuwa ninachosema ni sahihi; kuna mtaa mmoja wenye nyumba ni wanawake tu - wote wajane!

kama wanawake si watu ulioa ili iweje? umezaliwa na nani? una akili kweli wewe???:frown:
 
niko kwenye mstari tangia hapo; ila inapotokea kero nikaijadiri humu; ikatokea wa kunijibu vibaya unataka nijibu nini? Kwa ujumla nawaheshimu wanawake sana tena sana.
mi nataka umheshimu mke wako kwanza !na uone tatizo alilonalo una nafasi ya kumsaidia sio kuja kutukana wanawake wote hapa kuwa ni ibilisi!huyo mkeo angekluwa ibilisi si angeshakuchoma kisu usiku!kwa aina ya mawazo unayopost hapa manake humtahmini huyo dada!ur just pretending!nani katika maumbile yuko kamili?nani ni mkamilifu?unajua mkeo amekuvumilia mambo mangapi ndani ya hiyo miaka 10.
umeshawahi kujiuliza kuwa nini kinamfanya atamke hiyo kauli/
umethubutu kujitafiti kuwa unampa sababu za kubaki hapo au kuondoka?
unatimiza wajibu wako kama mume zaidi ya kutoa dushelele na kuzaa watoto?
unamsikiliza kihisia?
unamuonyesha kuwa yeye ni wa thamani?
unampa sababu za kujivunia kuwa wewe ni mume wake?
 
lol!wanaume wenzio wanaofaidi utamu wa wanawake wakisikia maneno kama haya huwa waagiza mug tu za kilauri wanakata kilaji na nyama choma huku wakimsifu Muumba kwa heri alizowajalia na baraka za kumiliki wanawake wa aina yetu!wapi Kaizer , Asprin, Mtambuzi The Boss, Dark City , HorsePower ,pacha wangu mtoto wa mama yangu SnowBall na wengine woote MNAOJIAMINI NI WANAUME WA UKWELI bila kumsahau mtani wangu watu8, Erickb52, kakaangu moto2012 na mashosti zangu WANAWAKE WA UKWELI gfsonwin, mke mwanzangu wa sirini cacico, FP dadangu uvi koki dada mkubwa? na wengine woote wa mrengo wa kulia

Waache waendelee kufurahia utamu lakini ipo siku wataungana nami kwa kuwa wanawake wengi ni vigeugeu tu! Ila sijasema kwamba wanawake sio watamu; utamu wao naujua ila maudhi yao hasa ya mdomo ni noma.
 
Mtu yeyote asiyeujua umuhimu na utamu wa mwanamke, ANA MATATIZO MAKUBWA SANA!!

Siku zote natamani ningekuwa mwanaume peke yangu duniani afu Mungu anipe nguvu ya kuwamiliki wanawake wote.....

Chezeya mautamu mwanamke akikupenda na ukamtimizia??

I Stand NOT to be CORRECTED!!:glasses-nerdy:
MI NAPENDA WANAFUNZI WANGU WALIVO NA MAAKILI mwite hommie wako Kaizer na monitor wenu SnowBall nao waje washushe manondo ninayowapa darasani!ALA! mimi proud being ur MWALIMU bana!
 
Last edited by a moderator:
hiyo kali m2 wangu! Wacha matamaa ndugu yangu; utamu unakuwa nawe mwenyewe; kwa mwanamke kinachotafutwa ni utelezi tu; acheni kujidanganya.
hivi we kweli hiyo ndoa yako ina miaka 10?
 
mi nataka umheshimu mke wako kwanza !na uone tatizo alilonalo una nafasi ya kumsaidia sio kuja kutukana wanawake wote hapa kuwa ni ibilisi!huyo mkeo angekluwa ibilisi si angeshakuchoma kisu usiku!kwa aina ya mawazo unayopost hapa manake humtahmini huyo dada!ur just pretending!nani katika maumbile yuko kamili?nani ni mkamilifu?unajua mkeo amekuvumilia mambo mangapi ndani ya hiyo miaka 10.
umeshawahi kujiuliza kuwa nini kinamfanya atamke hiyo kauli/
umethubutu kujitafiti kuwa unampa sababu za kubaki hapo au kuondoka?
unatimiza wajibu wako kama mume zaidi ya kutoa dushelele na kuzaa watoto?
unamsikiliza kihisia?
unamuonyesha kuwa yeye ni wa thamani?
unampa sababu za kujivunia kuwa wewe ni mume wake?

salute mamito!umetema mapwenti 2
 
hiyo kali m2 wangu! Wacha
matamaa ndugu yangu; utamu unakuwa nawe mwenyewe; kwa mwanamke
kinachotafutwa ni utelezi tu; acheni kujidanganya.

Kama shida yako ni utelezi,kanunue lubricants ziko kibao na wala hazitakusumbua zikidai zina kwao. Kwa attitude hii towards women,hufai hata kuwa boyfriend. Kama kweli mna 10yrs kwenye ndoa mpongeze mkeo kwa UVUMILIVU.
 
Waache waendelee kufurahia utamu lakini ipo siku wataungana nami kwa kuwa wanawake wengi ni vigeugeu tu! Ila sijasema kwamba wanawake sio watamu; utamu wao naujua ila maudhi yao hasa ya mdomo ni noma.

tutafika tu taratibu!enhe sasa kama unayajua mautamu ya mkeo cha kuja kumnangisha hapa nini?
 
lol!wanaume wenzio wanaofaidi utamu wa wanawake wakisikia maneno kama haya huwa waagiza mug tu za kilauri wanakata kilaji na nyama choma huku wakimsifu Muumba kwa heri alizowajalia na baraka za kumiliki wanawake wa aina yetu!wapi Kaizer , Asprin, Mtambuzi The Boss, Dark City , HorsePower ,pacha wangu mtoto wa mama yangu SnowBall na wengine woote MNAOJIAMINI NI WANAUME WA UKWELI bila kumsahau mtani wangu watu8, Erickb52, kakaangu moto2012 na mashosti zangu WANAWAKE WA UKWELI gfsonwin, mke mwanzangu wa sirini cacico, FP dadangu uvi koki dada mkubwa? na wengine woote wa mrengo wa kulia

Siwezi kuongeza kitu hapa mdogo wangu Snowwhite,

Ukiwafahamu vizuri hawa ndugu zetu wa mama mwingine...haki ya nani utawafaidi sana.....!!

Atakukabidhi kila kitu chake......siyo mwili tu...hata accounts zote including alizofungua mawinguni....!!

Ukipata hiyo bahati...wewe kila siku ni kuimba tu....Duuu...Mungu akupe nini tena???

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
kama shida yako ni utelezi,kanunue lubricants ziko kibao na wala hazitakusumbua zikidai zina kwao. kwa attitude hii towards women,hufai hata kuwa boyfriend. Kama kweli mna 10yrs kwenye ndoa mpongeze mkeo kwa uvumilivu.

halula!
 
Siwezi kuongeza kitu hapa mdogo wangu Snowwhite,

Ukiwafahamu vizuri hawa ndugu zetu wa mama mwingine...haki ya nani utawafaidi sana.....!!

Atakukabidhi kila kitu chake......siyo mwili tu...hata accounts zote including alizofungua mawinguni....!!

Ukipata hiyo bahati...wewe kila siku ni kuimba tu....Duuu...Mungu akupe nini tena???

Babu DC!!
MWAMBIENI HUYU!anakuja anachafua chafua tu CV za kike hapa,alah!
 
mi nataka umheshimu mke wako kwanza !na uone tatizo alilonalo una nafasi ya kumsaidia sio kuja kutukana wanawake wote hapa kuwa ni ibilisi!huyo mkeo angekluwa ibilisi si angeshakuchoma kisu usiku!kwa aina ya mawazo unayopost hapa manake humtahmini huyo dada!ur just pretending!nani katika maumbile yuko kamili?nani ni mkamilifu?unajua mkeo amekuvumilia mambo mangapi ndani ya hiyo miaka 10.
umeshawahi kujiuliza kuwa nini kinamfanya atamke hiyo kauli/
umethubutu kujitafiti kuwa unampa sababu za kubaki hapo au kuondoka?
unatimiza wajibu wako kama mume zaidi ya kutoa dushelele na kuzaa watoto?
unamsikiliza kihisia?
unamuonyesha kuwa yeye ni wa thamani?
unampa sababu za kujivunia kuwa wewe ni mume wake?

snowhite; nashukuru sana tena sana! yote ulonishauri nitayafanyia kazi japo ni kama marudio;
majibu ya wanawake wengi kwenye migogoro ya kimahusiano wakiulizwa kwa nini unaendelea kuwepo - huwa wanadai kulea watoto;

Walonipa ushauri mzuri nawashukuru,
walonitukana nawashukuru pia;
tulokuwa pamoja katika kuainisha mapungufu ya wanawake nawashukuru pia;
mloweka utani kwenye serious issue; nawashukuru pia;

Mungu muweza yote awatie nguvu muendelee kuitenda kazi ya Bwana kwani Yesu alisema wawili watatu wanapokusanyika Mungu yuko katikati yao. Naamini kimawazo tulikuwa wengi hapa kwenye uzi huu na mengi tumeshauriana. Niwatakie kila la kheri wakati nikijongea maeneo ya Chanya Hotel Nyakato jijini Mwanza niweze kupata samaki wa kuchoma. Nitarudi online muda si mrefu.
 
Nikupe akili? Mimi huwa nyumbani likitokea bifu hua nakaa kimya kabisa. No matter nani kalianzisha hua najifanya mjinga kabisa, nakaa kimya sema utakavyo but kesho au keshokutwa katikati ya utani hua nakuchomekea kitu ili tuyamalize. Kwa mfano about two last weeks tulitofautiana kidogo japo hadi sasa sijui source ya ugomvi; nilichokifanya nilikaa kimya kabisa hadi kesi ikageuzwa kuwa nina kiburi simjibu akiongea. Still nilikaa kimya ila siku iliyofuata nikamtekenya basi na mambo yakaishia hapo.
au katikati ya ugomvi lazima usiku niombe kidogo hata kama haikua ratiba au nimechoka but nitafanya tu ili kumuonyesha nampenda na kumjali.

Jingine; heri wewe anasema hivyo mimi kila siku kunishutumu kuwa HG amenizoea sana na hua akimfokea hua eti nakaaa kimya. Yaani anataka akimfokea HG basi na mimi niungane nae!!!!!! Wewe ungeweza kuvumilia? Mimi hua nakaaa kimya.
 
Kuna mengi katika maisha ya ndoa zaidi ya watoto, haijalishi ni ndoa ya kanisani au msikitini,kama huna hawala ila mazingira yote yanayokuzunguka yanaonesha hivyo unategemea nini toka kwa mwenza wako?

Maisha ya ndoa ni magumu sana hasa kwa vile nyie mmekutana huku mkiwa mmelelewa katika mazingira tofauti hivyo kuoneshana tabia tofauti ni jambo la kawaida na yafaa ukawa mvumilivu kwa mwenzio,na kama unaona hukosei basi kaa nae chini na zungumza nae jambi hili na mtafikia muafaka maana kwangu mimi si rahisi mwanamke kukwambia ana kwao na kusiwe na sababu inayomfanya aseme maneno hayo.
Mkuu sikuungi mkono kwenye RED ila naomba uelewe kuna wanawake wa namna hiyo haswa wale wanaohisi ni most beatiful na kwamba wewe mumewe ulibahatika sana kumpata na pia anajihisi kwa viwango vyake vya kudhani vya uzuri aliyakiwa aolewa na yule na si huyu. Anajaribu akifikiri akirudi kwao atapata the dream husband kumbe kule anaenda kudoda ile mbaya.
MKUU KAMA NI MCHAGGA ANAKWAMBIA HIVYO HUYO ANAKUTISHIA KWANI WAKISHAOLEWA IKATOKEA AMERUDI HOME KWA SABABU ZA UGOMVI WA NDOA HUWA WAZEE HAWACHELEWESHI HUKAA NA KUMREJESHA KWA MUMEWE KABLA HATA WIKI HAIJAPITA KWANI KWAO INAJULIKANA NA NDIVYO ILIVYO KUWA ALISHAAGA NA HAWATAKI KUKAA NA MZIGO WA MTU.
 
Nikupe akili? Mimi huwa nyumbani likitokea bifu hua nakaa kimya kabisa. No matter nani kalianzisha hua najifanya mjinga kabisa, nakaa kimya sema utakavyo but kesho au keshokutwa katikati ya utani hua nakuchomekea kitu ili tuyamalize. Kwa mfano about two last weeks tulitofautiana kidogo japo hadi sasa sijui source ya ugomvi; nilichokifanya nilikaa kimya kabisa hadi kesi ikageuzwa kuwa nina kiburi simjibu akiongea. Still nilikaa kimya ila siku iliyofuata nikamtekenya basi na mambo yakaishia hapo.
au katikati ya ugomvi lazima usiku niombe kidogo hata kama haikua ratiba au nimechoka but nitafanya tu ili kumuonyesha nampenda na kumjali.

Jingine; heri wewe anasema hivyo mimi kila siku kunishutumu kuwa HG amenizoea sana na hua akimfokea hua eti nakaaa kimya. Yaani anataka akimfokea HG basi na mimi niungane nae!!!!!! Wewe ungeweza kuvumilia? Mimi hua nakaaa kimya.

Duh! siondoki naona wenye ushauri mzuri mnaanza kujitokeza kwa kasi.

Ya HG noma hiyo!
 
Back
Top Bottom