comment ilikuwa juu ya heshima sio ndoa!hebu rudi kwenye quote!nadhani unashindwa kutofautisha ndoa na heshima......
Sijapenda kauli yako looh no wonder mkeo anakujibu hivyo una negative attitute towards women.badilika.
namhurumia sana huyo mwanamke unayemwita mkeo!ana kazi mfano hakuna!maskini dada wa watu!pole zako mamii popote ulipo!
"Na tumuumbe mtu kwa mfano wetu; akamuumba Adamu." Huyo ndo aliyeumbwa; na wanadamu ni wanaume tu! Wanawake ni nyongeza na ndo maana kwa kiswahili tuna Wana na Mabinti; Wana wakikua huwa WANAUME; mabinti wakiua huwa WANAWAKE!
WAJUA HILO? Ndo maana zamani kwenye sensa wanawake walikuwa hawahesabiwi; ukisasa ndo umeleteleza matatizo yanayotukumba wanaume wa siku hizi.
jamani tuwe wapole tu tusitukanane wala tusifike mbali lakini katika ndoa ndimo kuna matatizo mengi kuliko nje ya ndoa....
tangu mwanzo nilisita kuccoment kwenye sred nafc ilikataa japo nilipita mara kadhaa, now i realise why.mtazamo hao ulionao kwa wanawake ndio unaokutesa na like walivyonena wenzangu sion kwann uendelee kuish na watu unaowadharau na kuwaona hawana akil wala thaman kwako! Suit urself stay alone or marry of ur kind.
Tatizo mkiambiwa ukweli mnaanza vibwagizo vya ajabu. Narudia tena wanawake sio watu, sio binadamu, ni hatari kwa maisha ya waume zao.
Nenda Musoma mjini ndo utathibitisha kuwa ninachosema ni sahihi; kuna mtaa mmoja wenye nyumba ni wanawake tu - wote wajane!
Ya kwenye ndoa ni mengi mnno. Ukiona ndoa yenye amani ujue kuna mmoja anajifanya f.a.l.a au kafanywa hivyo pasipo yeye kujua.
sasa hapo hakuna amani ndugu yangu...tunaona kuna amani kwa nje lakini ingia kwenye ndoa ndio utaona hakuna ndoa yenye amani.....wengi wetu huwa tunajifanya ndoa zetu zinaamani ili kuonesha watu kuwa hatugombani lakini tuiingia chumbani ni mangumi na matusi
MwaJ; kuchart na watu ni obby yangu; kama nimekuudhi naomba unisamehe bibie;
Si kila ulionalo hapa JF linafaa au halifai; naamini yapo mengi ambayo yameandikwa kwenye uzi huu ambayo kwa namna moja ama nyingine yamenijenga na kuwajenga wasomaji wengine. HIYO NDO SABABU KUU.
Shaoa, watoto ninao, hivyo hata nikichukua uamuzi wa kumruhusu asepe sina hasara katika dunia hii; amri ya Mungu ya kuzaa na kuongezeka nimeishaitimiza.