Kauli ambazo wanawake wanapenda kuwaambia wanaume

Duh, nimecheka sana kwa kweli!

Hiyo ya baby, au basi tu. Yaani wanaipenda mno.
 
Babu zima kutoa mimacho kwa wasichana wadogo umri wa bintiyo!! eeembu huko twende!! huyu babu vipi? huoni hata haya!>?
 
Wewe unaendesha VX, mimi naendesha Benz utaniambia nini wewe mwanaume?
 
Sio siku zote. Mie nakupa mifano hai ya hapa hapa JF. Afrodenzi aliambiwa macho yake yanavutia akajibu
Vicheko kibao


Good. topic closed for we both agree. if you know how to break one's heart gently I need ur help in my thread.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Mi naogopa sijawai. utaniumiza..(shughuli yake sasa ukshafaniksh, utakuta kuuubwa breki ni p.u.m.b.u)
 
Good. topic closed for we both agree. if you know how to break one's heart gently I need ur help in my thread.

Which thread?
"Kama vipi bora kila mtu akae kivyake vyake". Hapo unaitafuta talaka kwa udi na uvumba. lol
Mna maneno nyie..
 
Back
Top Bottom