Kauli ambazo wanawake wanapenda kuwaambia wanaume | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kauli ambazo wanawake wanapenda kuwaambia wanaume

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Boflo, Mar 12, 2012.

 1. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #1
  Mar 12, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  [FONT=&amp]
  [/FONT]

  [FONT=&amp]Katika utafiti wangu nimegundua kuwa kuna maneno ambayo asilimia kubwa ya Wanawake wanapendelea sana kuwaambia Wanaume.[/FONT]
  [FONT=&amp]Nitataja Baadhi….[/FONT]
  [FONT=&amp]1 [/FONT][FONT=&amp]Kwa kuwa umepata ulichokuwa unakitaka...sasa unaniona sina maana tena.[/FONT]
  2- [FONT=&amp]Wewe unataka kunichezea tu. Hauna malengo na mimi[/FONT]
  3- [FONT=&amp]Ni kipi hasa kinachokufanya uniringie?[/FONT]
  4- [FONT=&amp]Nataka unipe pesa leo, lazima nisolve hii problem leo siwezi kusubiri kesho.[/FONT]
  5- [FONT=&amp]Wakati ulipokuwa hauko na mimi ulikuwa ukimmega nani?
  6-[/FONT]
  Katika Wanaume na wewe Mwanamme? Una nini hasa cha kunishtua?
  7- [FONT=&amp]……………………………………………… Endeleza List


  [/FONT]
   
 2. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #2
  Mar 12, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  -Usione vinangaa vimeundwa....hapo yatakiwa hela ya saluni
   
 3. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #3
  Mar 12, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  mwanaume gani wewe huna mbele wala nyuma kama mche wa mbuni
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Mar 12, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Wanaume hujawaona!
   
 5. Foundation

  Foundation JF-Expert Member

  #5
  Mar 12, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 1,458
  Likes Received: 256
  Trophy Points: 180
  Boyfriend wangu wa zamani alikuwa ananijali(hapo umechokwa tayari), Kwani nikit.... itakuwa na alama hii,
   
 6. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #6
  Mar 12, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  umesema kweli........

  nyingine....Mwanamme utakuwa wewe?? Wanaume wana Ma Benzi na majumba mazuri
   
 7. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #7
  Mar 12, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,547
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Naona umefanya hapa ni kisima cha nye.....e
   
 8. Lisa Rina

  Lisa Rina JF-Expert Member

  #8
  Mar 12, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 1,771
  Likes Received: 2,043
  Trophy Points: 280
  "Kwanza hauni do vizuri"
   
 9. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #9
  Mar 12, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,404
  Trophy Points: 280
  Boflooooooooooooooo!!
   
 10. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #10
  Mar 12, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  heshima kwako mkubwa....
   
 11. Babuu blessed

  Babuu blessed JF-Expert Member

  #11
  Mar 12, 2012
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Akiwa anatikisa kiberiti,iwe ndio mwanzo na mwisho wa mimi na wewe kujuana.
   
 12. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #12
  Mar 12, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  nyingine.......Boyfriend wangu wa zamani alikuwa anani do....mpaka unajisikia hasa......na chest yake ilikuwa nzuri
   
 13. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #13
  Mar 12, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  hivi maneno yote hayo.....saa hiyo mkiwa mmetufanyaje...?..maana ki ukweli kwa maneno tunayo....
   
 14. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #14
  Mar 12, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Mwanaume mzima unabeep, mi ntafanyaje sasa?
   
 15. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #15
  Mar 12, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Au utasikia anasema, kama hutaki kunisaidia shida zangu, niambie nitafute mwanamme mwingine?
   
 16. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #16
  Mar 12, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  kuna mengi mmeyasahau....malizeni kuorodhesha yote....then tuwakumbushe.....
   
 17. Kibua

  Kibua Member

  #17
  Mar 12, 2012
  Joined: Jan 3, 2012
  Messages: 87
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 25
  Mwanaume gani wewe..mwanaume suruali..hata nanii yako ndogo..tena nimesema unikome.!
   
 18. Lazarus

  Lazarus JF-Expert Member

  #18
  Mar 12, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 370
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  Ukitaka kujua unapigwa sound ya hela utasikia" Baby nikuambie kitu.............. au Unajua nini Baby...............
   
 19. WALIMWEUSI

  WALIMWEUSI JF-Expert Member

  #19
  Mar 12, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 2,058
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Kutwa kucha napanda daladala mie, gari mwanaume huna, nyumba yenyewe ya kupanga tu lakini unavyokoroma usiku hata haya huna! Hela za kubadili mboga tu shida, looh mbona wantesa? Basi useme kunako majamboz wanpagawisha mtu mwenyewe una kibamia, looh!Kweli nimekuchoka!
   
 20. Twande

  Twande JF-Expert Member

  #20
  Mar 12, 2012
  Joined: Dec 31, 2009
  Messages: 543
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Napenda mnavotupa attention anyway. . .

  By the way naomba kujua jibu ya hapo "kwa kuwa umepata ulichotaka" wanaume ni kweli mkishamaliza nia zenu manabadilika? lol.
   
Loading...