Kauli ambazo wanawake wanapenda kuwaambia wanaume

......mpenzi wangu yuko marekani/ulaya anasoma!
......haiwezekani mtu mzima kama wewe uwe hauna mtoto/mke/mpenzi (ajabu ukimuangalia mwenyewe hana tofauti na Bi Kidude kiumri!).
 
Kutwa kucha napanda daladala mie, gari mwanaume huna, nyumba yenyewe ya kupanga tu lakini unavyokoroma usiku hata haya huna! Hela za kubadili mboga tu shida, looh mbona wantesa? Basi useme kunako majamboz wanpagawisha mtu mwenyewe una kibamia, looh!Kweli nimekuchoka!

Mkuu unaishi uswahili nini? khaaaaaa!
 
......mpenzi wangu yuko marekani/ulaya anasoma!
......haiwezekani mtu mzima kama wewe uwe hauna mtoto/mke/mpenzi (ajabu ukimuangalia mwenyewe hana tofauti na Bi Kidude kiumri!).
Mkuu hapo blue lolz....
 
......katika wanaume we nawe mwanaume! (yesuuuuu, nikiambiwa hii maneno naweza kuua aiseee)
 
  • Thanks
Reactions: EMT
baby halafu kuna kitu nataka kukwambia! au ah ah mmh eeh aah lakini basi.Ukisikia hivyo tu na wewe ipotezee fasta bz ukijifanya kubembeleza akwambie ujue ni mwiba huo.
 
baby halafu kuna kitu nataka kukwambia! au ah ah mmh eeh aah lakini basi.Ukisikia hivyo tu na wewe ipotezee fasta bz ukijifanya kubembeleza akwambie ujue ni mwiba huo.

Nyingine........Kwa nini ulikuwa hupokei simu yangu? Au ulikuwa unamega?
 
Wanawake wenye self-esteem ndogo hupenda kutoa kauli kama hizo kukudemoralize ili waweze kuboost ego zao. Nafikiri la muhimu zaidi ni wao kujiamini na kutopenda mambo makubwa kama kufantasize kuwa na jamaa mwingine mwenye pesa zaidi, lakini huwezi kujua Mungu anaweza akanijalia na mimi nikazipata wakati ulishakimbilia kwa mwengine. Si sahihi kwa mwanamke kutumia uzuri, urembo, muonekano, haiba au mvuto wake kama silaha. Kwa sababu average looking women hawana maneno sana, kama wale wanaopapatikiwa na kuhisi kuwa wana options nyingi.
 
Back
Top Bottom