Sumba-Wanga
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 5,349
- 1,224
Kama Mbwai ni mbwai, timua huko usiniwekee usiku....
Mbona mimi sijawahi kuambiwa maneno kama haya??
Mbona mimi sijawahi kuambiwa maneno kama haya??
ata mimi sijakutana nayo, lakini yapo.
ukiniacha ntapata zaidi yako babu
kwani lazima tukiingia chumbani uni do leo?hapo unapimwa kama una kifua cha kuvumilia au ww ni wa kumega na kusepa,,,mara nyingi hii huwa ni ngumu kumeza,ilishanitokea live lodge palikuwa hapatoshi