Katuni: Kinachoendelea Kambi ya Upinzani

Basi nitakuwa natumia hiyo formula kuwatofautisha.

Kwa hiyo mmempuuza mleta mada, badala ya kujadili mazuri aliyoleta mnajadili urembo wa Matiko na Bulaya?
Anyway, ukiona watu wanajadili D na C wakati wewe umeweka A mezani ijadiliwe ujue ulichoweka kina walakini.
 
Katuni ni lugha ya picha, kila mmoja anaijadili kwa alivyoielewa.

Na huwa kuna tafsiri kwamba ulivyoielewa wewe ndivyo inavyo maanisha.

Sisi tumeielewa kwa mfumo huo.
 
Akili za maccm
tapatalk_1549513557387.jpeg
 
wana siasa mna vituko sana......wazee wa sound, vitendo hakuna
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom