Yule mwenye miwani nyuma ya Mbowe ni nani?
Na upande wa pili mpango mzima ni kuteka, kutesa na kuua wapinzani ili kufyekelea mbali upinzani yaani Bokoharam anasubiri.
Ester BulayaHuwa nawachanganya kati ya Esta Matiko na yule aligombea na Wassira
Ester Bulaya
Nadhani ndio huyo nilikuwa namuulizia, wanawake wapo wawili tu hapo..huyo mwingine ni HalimaSure, huyo ni yupi now?
Nadhani ndio huyo nilikuwa namuulizia, wanawake wapo wawili tu hapo..huyo mwingine ni Halima
Mpenzi wa Halima..Yule mwenye miwani nyuma ya Mbowe ni nani?
Baby umeanza lini uchokoziMpenzi wa Halima..
Nyie watoto wa kike kuitana wapenzi si kawaida..Baby umeanza lini uchokozi
Nashangaa eti Don Clericuzio anashindwa kuwatofautisha wakati Matiko yuko Chadema siku nyingi na Bulaya kahamia juzi tu hapa tulikuwa tunamuona bungeni anachangia kama mwanasisiemuYeah..Ni Bulaya
Ni kweliNyie watoto wa kike kuitana wapenzi si kawaida..
Nashangaa eti Don Clericuzio anashindwa kuwatofautisha wakati Matiko yuko Chadema siku nyingi na Bulaya kahamia juzi tu hapa tulikuwa tunamuona bungeni anachangia kama mwanasisiemu
Mimi Matiko sijamkariri ila Bulaya ndio namjua vyemaWote naonaga ni warembo, hivyo inanichanganya kuwatofautisha.
Sure..Nashangaa eti Don Clericuzio anashindwa kuwatofautisha wakati Matiko yuko Chadema siku nyingi na Bulaya kahamia juzi tu hapa tulikuwa tunamuona bungeni anachangia kama mwanasisiemu