Katuni inazungumza

Msanii

Platinum Member
Jul 4, 2007
22,592
29,715
Katuni ya msanii Marco Tibasima ikielezea yanayojiri kwenye ulingo wa siasa Tanzania....

Je, una maoni gani?

20220605_095920.jpg
 
Utaratibu wa Kuonjeshwa/Kulambishwa Asali unaendelea kwa Kasi ya 5G.

Hasa kwa wale waliokua na kidomodomo sana juu ya Watawala.
 
Inaonesha kuna watu wanapenda misuguano iendelee,
Inaonesha kuna wapinzani wanafaidika na kamata kamata, fungwa fungwa ya watu

Inaonesha wapinzani wengi walitaka Mbowe aendeleze msimamo ambao haumfaidishi mtu.

Mapatano ni kitu cha msingi sana
 
Namuona Kibata.. kukosa kazi maana hakutakuwa na kesi.
Namwandalia shamba la alizeti Singida aje tulime
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom