Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,560
- 7,914
uvumilivu umemshindaKuna alivyokula, naona mifupa mezani
AlionjaKuna alivyokula, naona mifupa mezani
Mbona hili paja aliloletewa lina manyoya sio kuku niniAlionja
Hili nalo neno. Haiwezekani hatua ichukuliwe baada ya ngome imeisha,mnenguaji bora ni yule anayeondoka jukwaani wakati bado anahitajika kabla hajachokwa
inaonekana alianza vizuri kipindi kile na nyama nzuri ila kwasasa samia amebadilikaMbona hili paja aliloletewa lina manyoya sio kuku nini
Amekula mapaja ya kutosha,Kuna alivyokula, naona mifupa mezani