Katuni: Hawa ndio wanaomhujumu Rais Magufuli

View attachment 343829

Idhaa ya habar ya ujerumani DW imepost hii katuni ya Rais wetu John Pombe Magufuli kama nae anajipu kichwani.

Watanzania tunatakiwa tuungane kwa nguvu ili kupinga hizi hujuma zinazofanywa na watu tofauti kama hawa wanazofanya kwa Rais wetu ambae ameonesha nia ya kulikomboa hili taifa lililoharibiwa vibaya na wahuni.

Inasemekana na inasikitisha kusikia aliechora hii katuni ni mtanzania anaeitwa Gado aliyefukuzwa kazi Nation Media ya Kenya ndio anaetumiwa na vyombo vya magharibi kama DW ya ujerumani.

Na ikumbukwe kuwa ujerumani alikuwa anaunga mkono upinzani kwenye uchaguzi wa 2015.

Naomba watanzania tuungane pamoja kupinga vitu kama hivi vinavyomdhalilisha Rais wetu alieonesha nia ya kuwasaidia nchi yake.

Naomba TCRA mchunguze mambo kama haya na muangalie Sheria za Uhuru wa mitandao zinasemaje kwenye mambo kama haya ili wahusika wawajibishwe kwa hujuma na matusi kama haya kwa Watanzania.
Sioni kilichokosewa hapo. Ni ukweli mtupu. Embu rejea alivyoziuza zile nyumba za serikali kimabumashi.
 
Kwani Rais Hawezi Kuwa Jipu? Mbona Marais Wengi Tu Afrika Ni Majipu?
 
Jina lako lina mzee ila wewe ni box tupu, hamna waziri anayefanya maamuzi ya mradi mkubwa yeye kama yeye, baraza la mawaziri linahusika na rais anahususika. Hata ishu ya mabehewa Mwakyembe alikuwa ni msimamizi wa kilichopitishwa na baraza la mawaziri.
Nilidhani ni bavicha tu ndio watupu kumbe hata wazee wao wa humu jf ni watupu.
Mkuu mbona povu jingi,kwenu sengerema wazima???
 
Zipi hizo? Kama ni zile za wakati akiwa waziri, basi majibu mazuri anayo kamanda sumaye. Yale yalikuwa ni makubaliano ya mwenyekiti wa baraza la mawaziri yaani rais na baraza la mawaziri, kwa maelezo ya Sumaye. Nakuwekea link, kuna uzi jamaa kaweka clip ya maelezo ya sumaye humu jf.

Kuna Clip ktk page ya uzi huu hapo chini, bofya umsikie kamanda sumaye.

UUZWAJI WA NYUMBA ZA SERIKALI.[/QUOTE
Jifunze kutofautisha mahamuzi ya kuuza nyumba na kuuza nyumba bei chee. Rais ndo alisimamia kuziuza kwa bei chee? Lkn mbona Lowasa akisema Richmond ilikuwa ni ya JK bado mnamkomalia? Haya na ile boti mbovu nayo ilinunuliwa na Baraza la mawaziri?
 
Hiyo katuni inamdhalilisha Raisi wetu Magufuli, lakini wadau wanavyoitetea ni kama wako kwenye kampeni ya kuitetea hiyo media.
Lengo la katuni ni kufikisha ujumbe wa ukweli kwa namna ya utani. Ndio tunaona watu kama Masoud Kipanya, Nathan Mpangala na wengineo wakifikisha ujumbe kwa namna ya katuni na uo ujumbe ukaleta matokeo kwenye jamii. Media kama DW wanafikia hatua ya kumchora Raisi namna hiyo na watu wanaleta ujuaji wa kijinga kuunga mkono na kuhoji uhalali wa udhalilishaji namna kwa Raisi
Ili kitu kiwe udhalilishwaji ni lazima uoneshe kuwa hicho kitu ni cha uongo. Kama ni ukweli unavyokiri hapa, huo udhalilishwaji unaujua wewe.
 
Watu msiwe na akili fupi namna hiyo, leo mnaunga mkono western media kwa kumdhalilisha Raisi namna hiyo.
Sio kila mtu ni CCM anapowakilisha mada inayodhalilisha nchi na wananchi wake.
Raisi awezi kumaliza mambo yote kwa mwaka moja adi wa mchore namna hiyo. Mnatakiwa mjikomboe na mawazo mgando ya mda wote kuwaza upinzani. Mjifunze kujivunia kidogo mlichonacho
Kijana wa mizuka na mihemko watanzania hatuungi mkono western media na wala atuungi mkono hyo malaika au mtakatifu wenu awe miongoni mwa majipu ili hali anatijitapa yeye ni mtumbua majipu wakati yeye ni jipu uchungu. tena jipu liliota katikati ya mapaja.
 
Nimeshindwa kuku-quote, Isaya Nehemia, umeniquote vibaya mpaka hau-quote-iki.

Baki na mtazamo wako nami nibaki na wangu, ila jaribu kuelewa kuwa waziri sio leo analala anapata wazo kesho anaenda litekeleza, LAZIMA lipitie baraza la mawaziri. Naongelea miradi mikubwa, suala la lowasa lazima lendelee kushikiwa bango maana hao kina mbowe hawajamsafisha hadharani, walimwita fisadi na walisema ushahidi wanao.
Kama ni kuamua nani wa kumuamini kuwa ndio mmiliki wa richmond, na JK pia alisema mmiliki wa richmond ni Lowassa pale Mwanza.
 
Kwa kweli hiyo picha hapana, ifike pahala tuwe wakweli pamoja na tofauti zetu na ccm, huwezi kumchora mkuu wa nchi hivyo bana, kuna michoro mingi unaweza kutumia kudeliver message kama hiyo. Huyu jamaa sio mara yake ya kwanza, nadhan amewamic sana wazee wa kazi.
 
Hiyo katuni inamdhalilisha Raisi wetu Magufuli, lakini wadau wanavyoitetea ni kama wako kwenye kampeni ya kuitetea hiyo media.
Lengo la katuni ni kufikisha ujumbe wa ukweli kwa namna ya utani. Ndio tunaona watu kama Masoud Kipanya, Nathan Mpangala na wengineo wakifikisha ujumbe kwa namna ya katuni na uo ujumbe ukaleta matokeo kwenye jamii. Media kama DW wanafikia hatua ya kumchora Raisi namna hiyo na watu wanaleta ujuaji wa kijinga kuunga mkono na kuhoji uhalali wa udhalilishaji namna kwa Raisi
Hiyo katuni inafanana na sura yangu. Nitawapeleka mahakani DW.
Nashangaa watu wanadhani hiyo katuni inamhusu Dr. J.P Magufuli. Au kwa sababu mi sifahamiki?
 
JPM sio malaika ila sio fisadi, ana mapungufu mengine ya kawaida ya kibinadamu.
Tatizo waathirika wa kushikiwa akili mko wengi, kuna clip hapo juu ya sumaye kuelezea bado unabisha, na pia unatakiwa ujiongeze, sio anachokwambia kamanda mbowe nawe unamwza kama kilivyo, HAMNA WAZIRI anayefanya maamuzi ya miradi mikubwa bila ya kulihusisha baraza la mawaziri na kulipitisha, akiwamo rais.
Kwa hiyo Lowasa na Nazir Karamagi ndo walikaa kama Baraza la mawaziri kupitisha mkataba wa RICHMOND? Au yenyewe haikujadiliwa na kupitishwa na Baraza la mawaziri kama unavyodai?
 
Nilikuwa naipenda dw sshv nasitisha kuskiliza vipindi vyake na wassup nabloc
 
View attachment 343829

Idhaa ya habar ya ujerumani DW imepost hii katuni ya Rais wetu John Pombe Magufuli kama nae anajipu kichwani.

Watanzania tunatakiwa tuungane kwa nguvu ili kupinga hizi hujuma zinazofanywa na watu tofauti kama hawa wanazofanya kwa Rais wetu ambae ameonesha nia ya kulikomboa hili taifa lililoharibiwa vibaya na wahuni.

Inasemekana na inasikitisha kusikia aliechora hii katuni ni mtanzania anaeitwa Gado aliyefukuzwa kazi Nation Media ya Kenya ndio anaetumiwa na vyombo vya magharibi kama DW ya ujerumani.

Na ikumbukwe kuwa ujerumani alikuwa anaunga mkono upinzani kwenye uchaguzi wa 2015.

Naomba watanzania tuungane pamoja kupinga vitu kama hivi vinavyomdhalilisha Rais wetu alieonesha nia ya kuwasaidia nchi yake.

Naomba TCRA mchunguze mambo kama haya na muangalie Sheria za Uhuru wa mitandao zinasemaje kwenye mambo kama haya ili wahusika wawajibishwe kwa hujuma na matusi kama haya kwa Watanzania.

Je wanaoamini hivyo wafanyeje?
 
Mkuu mbona povu jingi,kwenu sengerema wazima???
Kama kukupa taarifa uliyoanza kui-quote wewe, basi acha povu litoke ili kukuokoa wewe mfu, Nimekwambia hali ilivyo na kasikilize hiyo clip ya sumaye na jaribu kidogo kuipa akili nafasi. Kuna KUSIKILIZA na KUSIKIA, nakushauri uisikilize.
 
View attachment 343829

Idhaa ya habar ya ujerumani DW imepost hii katuni ya Rais wetu John Pombe Magufuli kama nae anajipu kichwani.

Watanzania tunatakiwa tuungane kwa nguvu ili kupinga hizi hujuma zinazofanywa na watu tofauti kama hawa wanazofanya kwa Rais wetu ambae ameonesha nia ya kulikomboa hili taifa lililoharibiwa vibaya na wahuni.

Inasemekana na inasikitisha kusikia aliechora hii katuni ni mtanzania anaeitwa Gado aliyefukuzwa kazi Nation Media ya Kenya ndio anaetumiwa na vyombo vya magharibi kama DW ya ujerumani.

Na ikumbukwe kuwa ujerumani alikuwa anaunga mkono upinzani kwenye uchaguzi wa 2015.

Naomba watanzania tuungane pamoja kupinga vitu kama hivi vinavyomdhalilisha Rais wetu alieonesha nia ya kuwasaidia nchi yake.

Naomba TCRA mchunguze mambo kama haya na muangalie Sheria za Uhuru wa mitandao zinasemaje kwenye mambo kama haya ili wahusika wawajibishwe kwa hujuma na matusi kama haya kwa Watanzania.
wewe ndio unamhujumu rais kuweka picha za uzalilishaji ondoa mara moja hiyo picha haraka
 
Back
Top Bottom