Sipendi Uchawa
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 7,941
- 12,503
Kuna sehemu nimeandika kitu kama hiki? Au umeamua kunisemeaKwa hiyo ni sawa kukeketa?
Kuna sehemu nimeandika kitu kama hiki? Au umeamua kunisemeaKwa hiyo ni sawa kukeketa?
😅😅😅eti umesemaje mkuu..Baba mm nimekaa kule kanda maalum katika hii michezo ya kufukua fukua unaona ni kweupe kabisa. af ile kanda maalum pendwa wana ile kitu ni ndefu kama ile ya Bata mzinga, sasa ukikuta imekatwa huwa inajitahidi kukua huku ikiwa butu
Yani ukimchukua ukamvua nguo ukamuweka kwenye upepo utasikia mlio kama umepuliza chupa ya soda![]()
eti umesemaje mkuu..
kwahiyo ndo umeamua kutusema sisi wakanda ile
sawa hakuna nouma...kizazi sana
![]()






😂 😂 😂 😂 😂 kmmmmmksasa ukikuta imekatwa huwa inajitahidi kukua huku ikiwa butu
Yani ukimchukua ukamvua nguo ukamuweka kwenye upepo utasikia mlio kama umepuliza chupa ya soda![]()
Kuna mama mmoja wa kikurya nilimpata naye alikuwa amekeketwa basi nikiwa naye kwenye sex nikawa namuandaa kwa foreplay mbalimbali basi baadae alidata na mimi akawa ameniganda sana hadi akawa anaenda kuwasimulia ndugu zake.Hili la kutofeel raha ni uongo tu. Sisi wenyejiwa huko ndio twaujua ukweli. Ni vile tu wanaume wengi wamezoea vya kutfuniwa. Na ukweli ni kuwa, ukiweza kumridhisha mwanamke aliyekeketwa na akatosheka hakuna mwanamke atakayekushinda dunia hii. Labda maiti
😂😂Sanaa, Mnaangaliana usoni, unaona emotion zilizofichika na pata mzuka unasuguajamaniii
Mwanamke Hana kisimi...unamuaamdaaje?..Hili la kutofeel raha ni uongo tu. Sisi wenyejiwa huko ndio twaujua ukweli. Ni vile tu wanaume wengi wamezoea vya kutfuniwa. Na ukweli ni kuwa, ukiweza kumridhisha mwanamke aliyekeketwa na akatosheka hakuna mwanamke atakayekushinda dunia hii. Labda maiti
Naamini nawe ni mwanamke. Zaidi ya kisimi kuna maeneo ambayo husaidia kuchochea hamu ya tendo kwa mwanamke. Zaidi ni kuwa maandalizi hayategemei kisimi kwa 100%. Kikubwa ni aridhike kwamaana ya kufika kileleni.Mwanamke Hana kisimi...unamuaamdaaje?..
Landa tupo Tofauti...sidhani Kama watakuwa hawafurahii tendo...Watakuwa wanajisikia viZuri tu ...Na shemeji Yangu msomi Doctor KABISA...wahuko Mara...anaunga mkono ukeketaji...DoohNaamini nawe ni mwanamke. Zaidi ya kisimi kuna maeneo ambayo husaidia kuchochea hamu ya tendo kwa mwanamke. Zaidi ni kuwa maandalizi hayategemei kisimi kwa 100%. Kikubwa ni aridhike kwamaana ya kufika kileleni.
Huenda sijaeleza vema lakini unapata picha namaanisha nini
poleni sana.. vipi upande wako!? papuchi yako iko salama!?Huku kwetu Tarime hawaelewi kabisasasa hivi ndo wamepamba moto
Suala la kumridhisha mwanamke ni pana. Unaweza kuta mwingine ana kila kitu lakini hajawahi kufikishwa. Kuridhika kwa mwanamke kunategemea hisia zake na namna anavyoandaliwa.Landa tupo Tofauti...sidhani Kama watakuwa hawafurahii tendo...Watakuwa wanajisikia viZuri tu ...Na shemeji Yangu msomi Doctor KABISA...wahuko Mara...anaunga mkono ukeketaji...Dooh
Nashukuru Mungu Dada Yangu anawatoto wakiume...sijui akipata wakike ..itakuwaje.
Basi nyie endeleeni TU kuwakeketa hao mabinti zenu..maana HAMNA Madhara YOYOTE wanayopata...Suala la kumridhisha mwanamke ni pana. Unaweza kuta mwingine ana kila kitu lakini hajawahi kufikishwa. Kuridhika kwa mwanamke kunategemea hisia zake na namna anavyoandaliwa.
mchana si ndo huu Depal ?? njoo nikuwashe basi..Oh! Pole zao jamani, kuna raha yake kukiwasha kwenye mwanga.
Kuna mahali nimesema uliyoyaandika?Basi nyie endeleeni TU kuwakeketa hao mabinti zenu..maana HAMNA Madhara YOYOTE wanayopata...
Nawewe ukiwapata wakike...usisahau kumuita ngariba hata kwa Siri aondoe mashavu na kisimi...KWANI HAVINA KAZI YOYOTE .
Hakuna faida ni utopolo tu.Faida ya kukeketwa ni nn? Na nani anapata hiyo faida, tuanzie hapo.
Hakuna faida ni utopolo tu.
Ona huyu nae kwako wewe utopolo ni nini?Acha kuitaja utopolo kwenye vitu vya kipuuzi