Katu usimkekete binti yako...


You are very wrong...
i nearly lost best friend during derivery, she nearly lost her her two sisters, she was dumped by lover kwa huu upuuzi and her life is not stable for eversince ukiutetea huu upuuzi nashindwa kukuweka kundi gani...mbali na kujitoa sana ktk majeshi wakurya ni jamii ya hovyo sana kuwai kutokea hapa tanganyika
 
Aisee!! Nisiseme sana. Mpaka stationary ilipotolewa hii kadi napafahamu.

unaweza kuwasaidia polisi kwa siri. polisi walioko humu kadi ina jina na namba za simu please act upon hizi mila potofu zinatakiwa kuisha
 
jamii, itikadi, dini, mawazo au mtu anayetetea fgm kwa sababu yyte ile ni wakupingwa na kila mtu
 
unaweza kuwasaidia polisi kwa siri. polisi walioko humu kadi ina jina na namba za simu please act upon hizi mila potofu zinatakiwa kuisha
[emoji2][emoji2][emoji2] mkuu hili jambo sio siri. Kadi kama hizo husambazwa na hao mabinti hupita barabara kuu
 
jamii, itikadi, dini, mawazo au mtu anayetetea fgm kwa sababu yyte ile ni wakupingwa na kila mtu
Kuna wakati inabidi uelewe kwa nini mwenzako anamtazamo tofauti. Ukishaelewa upande wake, ni rahisi kufahamu jinsi utakavyomvuta akubaliane na mtazamo wako.
 
Faida yake ni nini mkuu mbona hamzitaji hizo faida?
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji1784]Atahisi unamchunguliaga yeye ili kujifunza haya mambo
Kwakua maumbile ya nunu ni kama mpasuko, basi pale huwa panafunikwa na mashavu ya nunu....
Samahani mkuu, Misijui bana wife asije akanikuta hapa bure...[emoji23]
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Mkuu hiyo namba 4 wanapomshona uke akienda chooni atakojoa vipi?
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Eti uchi unatisha,kumbe hata nyinyi wenyewe huwa mnajiogopa mkiangalia?
 
Hiyo ya kukata kidogo nayo ina faida gani
Hakuna nilipo tetea mila yoyote.

Watu wa mila wao wana kosea ila jambo la kutahiri wanawake lipo ila inakatwa sehemu ndogo sana kwa lengo maalumu siyo hawa wanao kata kabisa.
 
kuhusu waarabu sio kweli
Asilimia kubwa ya wanawake wa Kiarab wanakatwa visimi kwa sababu ni jadi yao.
"Data collected in 2015 from household surveys show female genital mutilation exists in Yemen, Iraq, and Indonesia and in some places in South America such as Colombia, India, Malaysia, Oman, Saudi Arabia, and the United Arab Emirates. The practice is also found in pockets of Europe and in Australia and North America."

Note: Australia na Marekani si wazungu wafanyao hivyo bali ni wakimbizi wa Kiislam (Waarab) waishio huko ndiyo wanafanya huo unyama kwa ajili ya imani ya dini yao. wazungu wa Ulaya wanaokatwa visimi ni wale wazungu waislam wa nchi kama Bosnia, Romania, Albania, nakadhalika.

Source: www.dw.com/eng
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…