Ni wito wao kumtumikia Mungu kwa namna anavyowajalia na si kwa jinsi unavyopenda wewe. Ujue kwamba mambo mengi mazuri yanafanyika kwa sababu ya kazi nzuri ya wanasayansi (na wale wote wanaochangia kuifanya dunia yetu iwe mahali salama zaidi).Na kama wapo mapadri wanasayansi si watoke ili wawe huru na kazi yao? Dunia inawataka kwa nini wanajificha kwenye Bible? Ndio maana waseminari waliokua na uwezo wa sayansi waliachia form six na sasa ni wanasayansi wazuri. Waliachana na vitu ambavyo havina majibu.
Ndio Dhehebu Pekee la kikristo Tajiri Duniani!
Ndio Dhehebu pekee Lenye Misimamo isiyo yumba duniani.
Ndio Dhehebu pekee lenye Kesi Nyingi za Ulawiti Duniani
Kanisa Katoliki ni Taasisi Kubwa Duniani Hilo halina Ubishi.
OK.Sipo tayari kabisa eti kuamini Wayahudi ni zaidi ya Katoliki ktk hilo ulisemalo!Nakubali kutokukubaliana.
Tumsifu Yesu Kristo [emoji120]Mbali huko wapendwa!
Kisilamu silamu hilo jibu umepatia Mkuu [emoji106] eti Malyenge kule bonde la Tuwa allah alipogeuka kama chaka linalo waka na kuongea na Musa dunia alikuwa anaiongoza nani?Pole wewe uliyefiwa na Mungu. Sijui matanga yake waliposoma walimwomba Mungu yupi ili aiweke roho ya marehemu Mungu pema peponi?
Jibu kwanza Mungu wenu alivyokufa akaacha wanadamu duniani hawana Mungu ilikuwaje?Kisilamu silamu hilo jibu umepatia Mkuu [emoji106] eti Malyenge kule bonde la Tuwa allah alipogeuka kama chaka linalo waka na kuongea na Musa dunia alikuwa anaiongoza nani?
Walikuwa naye Mkuu [emoji4]Jibu kwanza Mungu wenu alivyokufa akaacha wanadamu duniani hawana Mungu ilikuwaje?
Yaani Mungu akabidhi neno lake shetani alilinde,alitunze na alieneze,Hivi ulishajiuliza kabla ya kuanza kwa dhehebu lako biblia ilikuwa mikononi mwa nani? Je Mungu ni mjinga kiasi cha kuhifadhi neno lake kwa adui yake?
Walikuwa naye vipi wakati alikwishafariki?Walikuwa naye Mkuu [emoji4]
Mungu alikufa! Indeed.....Km mzee wa mahakama!Jibu kwa swali!
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji106]Hahaha-milele amina!
Kikubwa ambacho nilisahau kukukumbusha. MOSSAD ni intelijensia ya nchi ya Israel: Inalinda maslahi ya Wayahudi wa Israel hivyo ni chombo cha kisiasa kilichoanzishwa baada ya taifa la Israel kuzaliwa.Lkn,unayo habari hata ndani ya MOSSAD Katoliki ipo?!