Joseph lebai
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 8,447
- 8,720
Kweli ni dhehebu la wajanja, eti padri anamsomesha mtoto yatima ambaye wanafanana, imekaaje?
Hakika,ww ni jabali na mzamivu kuntu kabisa ktk nyanja hiyo.Heko!Kikubwa ambacho nilisahau kukukumbusha. MOSSAD ni intelijensia ya nchi ya Israel: Inalinda maslahi ya Wayahudi wa Israel hivyo ni chombo cha kisiasa kilichoanzishwa baada ya taifa la Israel kuzaliwa.
Chombo kinacholinda Wayahudi wote duniani siyo MOSSAD kama tulivyoaminishwa. MOSSAS imekuja baada ya mwaka 1948 lakini hapa naongelea kile chombo ambacho kiliunda MUUNGANIKO WA WAZAYUNI chini ya Theodor Hertz miaka ya 1800's.
Kile ambacho kiliwahujumu Wajerumani kwenye vita zote za dunia: Kile ambacho kilipika baadhi ya taarifa za mauaji ya Halaiki ya Auschwitz: Kile ambacho kilishawishi dunia ikubali kuunda taifa la Israel mwaka 1948: Kile ambacho kimeushikilia Uchumi wa Marekani.
Soma historia utajua kwamba siyo MOSSAD, KIDON, SHINBET wala nini.
Halafu baada ya kukijua kilinganishe na Jesuits au Kanisa
Hakuna cha ujabali wala uzamivu wowote ule. Haya mambo yako wazi na yanafundishwa huko mashuleni.Hakika,ww ni jabali na mzamivu kuntu kabisa ktk nyanja hiyo.Heko!
Ni kweli ila the da vinci code ndio lieeleza ukweli haswaaaa wa ka nisa la katolikiNdilo dhehebu pekee ambalo ni dola kamili km lilivyo dola la Tz na mengineyo hapa duniani!
Ndilo dhehebu pekee lenye mfumo imara wa ukusanyaji taarifa zihusuzo dhehebu lao na madhehebu mengine!
Ndilo dhehebu pekee hapa duniani lenye ushawishi usiomithiliwa na jengine!
Ndilo dhehebu pekee lenye mfumo imara wa kiinterijensia na uigwao na mataifa mengi hapa duniani!
Ndilo dhehebu pekee viongozi wao wakuu wakihitaji kuongea na mkuu wa dola wa nchi husika kwa mda wautakao wao-huweza!
Ndilo dhehebu pekee lenye idadi kubwa ya wafuasi kuliko dhehebu lolote hapa duniani!
Kifupi,Katoliki ni zaidi ya dini!
Mojawapo ni hili
Kuiabudu sanamu na kuiomba wakati haisikii, haioni, haipumui, haitembei. Mnazitengeneza wenyewe halafu mnaziabudu. Eti hata wasomi, maprofesa pamoja na elimu zao, hata wengine ni maraisi, hawaoni kuwa siyo sawa kumfananisha Mungu aliye mkuu sana kumfananisha na sanamu iliyochongwa na mwanadamu tu. Hawaoni kuwa Mungu yupo mahali popote na Yesu hayupo msalabani tena maana alikufa akazikwa akafufuka na kupaa mbinguni. Kwanini mnamhuzunisha Bwana kwa kukataa na kupinga ufufuko wake?

Elimu haipo kwao.Ni aibu had I Leo kuna watu wanaamini wakatoliki tunaabudu sanamu, nimeshajibu sana hii hoja lakini naona hamuishi, nilitaka nikupuuze lakini nikujibu japo kwa ufupi tu, sanamu hazijakatazwa na Mungu in fact ukisoma bibilia sawasawa utakuta Mungu mwenyewe sehemu kibao ANAAMRISHA zitengenezwe mfano:
Kutoka 25: 18-20-
Nawe utafanya makerubi wawili wa dhahabu. Utawafanya kwa kazi ya kufua kwenye miisho miwili ya kifuniko.+ 19 Na ufanye kerubi mmoja mwisho huu na kerubi mmoja mwisho ule.+ Juu ya kifuniko mtawafanya makerubi hao kwenye miisho yake miwili. 20 Na makerubi hao watakuwa wamenyoosha mabawa yao kuelekea juu, wakifunika kifuniko hicho kwa mabawa yao, nyuso zao zikielekeana.+ Nyuso za makerubi hao zitaelekea kifuniko.
Au wakati kulikuwa na nyoka wakali wenye sumu Mungu alimuamuru Musa atengeneze sanamu mfano wa nyoka soma Hesabu 21: 8-9:-
Ndipo Yehova akamwambia Musa: “Jifanyie nyoka mkali na kumweka juu ya nguzo ya ishara. Na itatukia kwamba wakati mtu yeyote ameumwa, basi atamtazama na hivyo ataendelea kuwa hai.”+ 9 Mara moja Musa akafanya nyoka wa shaba+ na kumweka juu ya nguzo ya ishara;+ na ikawa kwamba nyoka alipomuuma mtu naye akamtazama+ yule nyoka wa shaba, ndipo alipoendelea kuwa hai.+
Zipo sehemu nyingi tu kasome na Ezekiel 41: 17-18. Na
Ati? Hebu fafanua mkuu..Kweli ni dhehebu la wajanja, eti padri anamsomesha mtoto yatima ambaye wanafanana, imekaaje?
Kwa hiyo Mungu alipoamrisha masanamu hayo alisema myaabudu?Ni aibu had I Leo kuna watu wanaamini wakatoliki tunaabudu sanamu, nimeshajibu sana hii hoja lakini naona hamuishi, nilitaka nikupuuze lakini nikujibu japo kwa ufupi tu, sanamu hazijakatazwa na Mungu in fact ukisoma bibilia sawasawa utakuta Mungu mwenyewe sehemu kibao ANAAMRISHA zitengenezwe mfano:
Kutoka 25: 18-20-
Nawe utafanya makerubi wawili wa dhahabu. Utawafanya kwa kazi ya kufua kwenye miisho miwili ya kifuniko.+ 19 Na ufanye kerubi mmoja mwisho huu na kerubi mmoja mwisho ule.+ Juu ya kifuniko mtawafanya makerubi hao kwenye miisho yake miwili. 20 Na makerubi hao watakuwa wamenyoosha mabawa yao kuelekea juu, wakifunika kifuniko hicho kwa mabawa yao, nyuso zao zikielekeana.+ Nyuso za makerubi hao zitaelekea kifuniko.
Au wakati kulikuwa na nyoka wakali wenye sumu Mungu alimuamuru Musa atengeneze sanamu mfano wa nyoka soma Hesabu 21: 8-9:-
Ndipo Yehova akamwambia Musa: “Jifanyie nyoka mkali na kumweka juu ya nguzo ya ishara. Na itatukia kwamba wakati mtu yeyote ameumwa, basi atamtazama na hivyo ataendelea kuwa hai.”+ 9 Mara moja Musa akafanya nyoka wa shaba+ na kumweka juu ya nguzo ya ishara;+ na ikawa kwamba nyoka alipomuuma mtu naye akamtazama+ yule nyoka wa shaba, ndipo alipoendelea kuwa hai.+
Zipo sehemu nyingi tu kasome na Ezekiel 41: 17-18. Na 1 chronicles(nyakati) 28: 18-19.
Kote huko ni Mungu mwenyewe tena ndiyo aliamuru. Sisi hatubahatishi maandiko ndiyo nyumbani kwake. Na Ata kusujudia sijui mnasemaga tunaabudu basis mabinti wa kisukuma wanaabudu wanaume. Acheni kuhukumu imani ya kanisa LA Kristu pasipo kufanya tafiti mtaumbuka. Ukishasoma rudi unipe feedback.
Wivu katika lipi Bwana mkubwa?Mhu, ni wivu tu huo!
Nyie mnayo mangapi? Sitaki kupoteza nguvu na muda. Usitulishe maneno kama kuyaabudu labda wewe na ukoo wako. Wakatoliki hatujawahi na hatutawahi.Kwa hiyo Mungu alipoamrisha masanamu hayo alisema myaabudu?
Na sanamu la Bikira Maria limeandikwa wapi katika maandiko hayo uliyotoa?
Umesema hamuabudu masanam? Na lile mnalolipigiaga magoti asubuhi na saa sita mchana na saa kumi na mbili jioni huwa ni linini? Na huwa mnaposema mnaliomba msamaha wakati mkiwa mmepiga magoti huwa kumbe mnaigiza.....?Nyie mnayo mangapi? Sitaki kupoteza nguvu na muda. Usitulishe maneno kama kuyaabudu labda wewe na ukoo wako. Wakatoliki hatujawahi na hatutawahi.
Yani we hewa kweli kweli! Wanavyoyatumia katika agano LA Kale nasi hatuna tofauti, IQ yako bila shaka itakuwa karibu au chini ya kahaba Ellen au muasi martin.