Katoliki ni zaidi ya uijuavyo!

Katoliki ni zaidi ya uijuavyo!

Ndilo dhehebu pekee ambalo ni dola kamili km lilivyo dola la Tz na mengineyo hapa duniani!

Ndilo dhehebu pekee lenye mfumo imara wa ukusanyaji taarifa zihusuzo dhehebu lao na madhehebu mengine!

Ndilo dhehebu pekee hapa duniani lenye ushawishi usiomithiliwa na jengine!

Ndilo dhehebu pekee lenye mfumo imara wa kiinterijensia na uigwao na mataifa mengi hapa duniani!

Ndilo dhehebu pekee viongozi wao wakuu wakihitaji kuongea na mkuu wa dola wa nchi husika kwa mda wautakao wao-huweza!

Ndilo dhehebu pekee lenye idadi kubwa ya wafuasi kuliko dhehebu lolote hapa duniani!

Kifupi,Katoliki ni zaidi ya dini!
Mheshimiwa kwa hiyo una maanisha baada ya mkuu kuongea katiba hatupati tena??Mungu mwenyewe,
 
Ndio kanisa lililo katika kitabu cha ufunuo likiwakiksha habari ya mwanamke kahaba alieWalevya mataifa kwa mvinyo,
Hivi ulishajiuliza kabla ya kuanza kwa dhehebu lako biblia ilikuwa mikononi mwa nani? Je Mungu ni mjinga kiasi cha kuhifadhi neno lake kwa adui yake?
 
Lakini lazima mkubali kwamba Katoliki ndio wanaowapa wananchi wa nchi zao shule, zahanati, hospitali, vyuo vikuu na maendeleo mengine mengi kama maji n.k kuliko dini na dhehebu lingine lolote.
 
Old crap, ellen g white na miller, hivi unajua miller alikuwa Freemason kanisa? Hivi unafaham kikristo /katoliki Freemason ni adui mkubwa sana wa imani yetu? Surprise! Yani mnahisi mpo kwenyewe kumbe nyie ndio mpo Giza Nene kabisa
Ndio kanisa lililo katika kitabu cha ufunuo likiwakiksha habari ya mwanamke kahaba alieWalevya mataifa kwa mvinyo,
 
Ni dhehebu pekee lenye vyuo vikuu vingi na mashuhuri ulimwenguni
 
Labda wana influence hiyo ktk bara giza, lakini ukienda maeneo kama ya Asia, hawana influence ya kiasi hicho, actually huko wao ni minority kama wasabato masalia.

umewahi kujiuliza kwanini ziara ya pope francis huko katika nchi za asia (india na bangladesh) mapema mwakani(2018),ilianza kujadiliwa tangu mwezi june mwaka huu na mashirika mkubwa ya habari duniani?.
7b6e1c0193ec03a66174f4f29aa697b8.jpg
f0326166e0f2a8f0fbdb016f3926bd74.jpg
ulishawahi kuona ziara za nje ya nchi za gwajima,mwingira,mzee wa upako au kakobe zikijadiliwa na shirika lolote kubwa la habari duniani?.
 
Acha basi na wewe kulinganisha papa na habari zingine za ajabu,pls
 
Ndilo dhehebu pekee ambalo ni dola kamili km lilivyo dola la Tz na mengineyo hapa duniani!

Ndilo dhehebu pekee lenye mfumo imara wa ukusanyaji taarifa zihusuzo dhehebu lao na madhehebu mengine!

Ndilo dhehebu pekee hapa duniani lenye ushawishi usiomithiliwa na jengine!

Ndilo dhehebu pekee lenye mfumo imara wa kiinterijensia na uigwao na mataifa mengi hapa duniani!

Ndilo dhehebu pekee viongozi wao wakuu wakihitaji kuongea na mkuu wa dola wa nchi husika kwa mda wautakao wao-huweza!

Ndilo dhehebu pekee lenye idadi kubwa ya wafuasi kuliko dhehebu lolote hapa duniani!

Kifupi,Katoliki ni zaidi ya dini!
Kanisa Asilia
 
Labda wana influence hiyo ktk bara giza, lakini ukienda maeneo kama ya Asia, hawana influence ya kiasi hicho, actually huko wao ni minority kama wasabato masalia.
Inategemea nchi. Ufilipino wengi ni Wakatoliki.
 
Kanisa Katolike ni Kasa la Majeshi, kama Mungu aitwavyo Mungu wa Majeshi. Katika Historia ya kanisa katoliki, vita vilishawahi kuanzishwa na viongozi wake. Pia amani ilishalindwa na viongozi wa kanisa katoliki. Hata kwa nyakati tulizonazo ni ukweli usiopingika kuwa Kanisa katoliki limehifadhi amani ya dunia. Bila uongozi dhabiti wa kanisa katoliki amani ya dunia ingekuwa imetikiswa vibaya kuliko ilivyotikiswa na vita vikuu vya dunia. Kiongozi wa kaniza Papa Mtakatifu ana nguvu nyingi na ambazo wengi hawazifahamu, zingine zikiwa ni siri kuu.

Mbali na yaho kanisa katoliki ndilo pioneer mkubwa wa elimu na afya duniani. Kanisa katoliki kwa enzi na enzi limekuwa likitoa elimu kwa jamii, tena elimu bora kabisa. Limejenga mashule na vyuo. shule zingine zilikabidhiwa kwa serikali za nchi husika. Pia Kanisa katoliki limesaidia katiaka huduma za kijamii hasa afya kila lilipopita. zahanati na hospitali nyingi zilijengwa na kanisa, na hadi leo kuna hostpitali na zahanati zinazotoa huduma nzuri na za kutegemewa, zote zimejengwa na kanisa katoliki. Mengine ni maji, na barabara kwa baadhi ya maeneo.

Historia inalibeba kanisa hili. Ni kanisa la kwanza kabisa kuasisiwa na jamii ya kikristo ilyoanzishwa miaka takribani 50 baada ya Yesu kuzaliwa. Mtume Petro ndiye kiongozi wake mkuu wa kwanza. Alikuwa Papa wa kanisa katoliki baada ya kufika Roma na kuliasisi kanisa kama Yesu alivyomuahidi. Makanisa yote ya kikristo yameanzia katika kanisa katoliki baada ya kuasi na mengine kujitenga.

Kanisa Katoliki ndio kanisa kongwe zaidi duniani. Kila mtu analionea husuda zaidi ya anavyoonea husuda dini yake.
Ukiwa na mda jaribu kutafuta ujue ushiriki wa kanisa katoliki na papa kwenye vita kuu ya dunia ya pili tena kanisa ndo lililompa nguvu kabisa Musolini kufanya uchaf wake akishirikiana na Hittler
 
Kwanini wajihami namna hiyo??..
Hawa jamaa ni wapotoshaji sana..
Ni haohao waliopitisha ndoa za jinsia moja...Na kubadilisha ulimwengu uishi kishetani...
Ni dini ambayo inatumiwa sana na shetani kuharibu dunia tangu enzi za Martin Luther,waaldensia nk
 
Dah..... Nimekumbuka muvi ya kitambo sana......"Pope must die" [emoji87] [emoji87] [emoji41]
 
Nilipokuwa mtoto nilifundishwa nidhamu,heshima,unyenyekevu,upendo na hofu ya Mungu.
Namshukuru Mungu hata baada ya kuamia dhehebu lingine niliendelea kushirikiana na wanakwaya na waumini,binafsi napenda sana mafundisho na nyimbo za R.C
Kuna wakati nahudhuria ibada ili kukumbuka nilikotoka kiimani.
Kwa ufupi baada ya kutoka R.C nilipata bahati ya kujifunza pia ibada nyinginezo za kikiristo na mafundisho ya imani nyingine nyingi kupitia vitabu,ushiriki n.k
Kwa ufupi niko huru kiimani,kikubwa ni kuchangia chochote ili nyumba zetu za ibada ziimalike.
 
[emoji30]
 
Attachments

  • IMG_20171009_172505.jpg
    IMG_20171009_172505.jpg
    57.5 KB · Views: 40
Back
Top Bottom