Hakuna mkutano ulioitishwa na kanisa katoliki weeh mgalatia..ndo wale wale una ego za Tony kapola ndo inspiration mnazojiona bora kulikoni kiumbe chct humu..Sasa wewe uliyeishia madrasa unabishana na mimi niliyekuwepo! Hata hivyo wapi nimeandika mkutano ulitayarishwa na kanisa Katoliki!
Sanamu hilo au waraka wa Papa Francis?Tumsifu Yesu Kristu....
Ile Sala ya novena Tanzania nzima inaanza lini
TAA ndo chama kwnz cha harakati za uhuru nchi hii chama ambacho kilikua chini ya viongozi wake wakiwa ni waislam na baraza lake likiwa na mashekhe na wazee wa kiislam...Wakati wagalatia wanafaidi hao wa Ishmael walikuwa wapi?
Catholic wameamua kusimama upande wa HAKI. Haki itashinda.✍️📌Hakika.
Subiri uone dpw wanavyoenda kufurushwa, katoliki huona mbali siku zote.
Sijawahi kusikia mtu wa dini nyingine aliyekataliwa kusoma au kutibiwa katika shule na hospitali za wagalatia. Huo ubaguzi wa kidini katika elimu ulisimuliwa na nani? Na mpaka sasa mnatibiwa katika hospitali zao na kujazana katika shule zao. Uwe na aibu kidogo unapoleta mambo ya kibaguzi.Ila wkt wa kutafuta uhuru lugha haikua hii wkt huo nyie wagalatia ndo wanufaika wakubwa..Nyerere alipoingia madarakani kabidhiwa nchi nyie ndo mlikua wanufaika kwa kuwa mlipata fursa ya kusoma na kusomeshwa na mkoloni kwa misingi ya ubaguzi wa dini
Mkaanza ufisadi na kumchezea shere mgalatia mwenzenu Nyerere...nchi ikakosa kusonga mbele sasa ndo mnajifanya nyie ndo mnajua hatma ya hii nchi kwa kuwa?
Walikua chobisi wanakula pilau mbuzi na ndiz mbivu!!!Wakati wagalatia wanafaidi hao wa Ishmael walikuwa wapi?
Unamjua Martin Kayamba? Unamjua Stephen Mhando? Uliwahi kumsikia Dr. Vedasto Kyaruzi? Udini usikupofushe. Ufisadi hauna dini.TAA ndo chama kwnz cha harakati za uhuru nchi hii chama ambacho kilikua chini ya viongozi wake wakiwa ni waislam na baraza lake likiwa na mashekhe na wazee wa kiislam...
Wkt huo nyie full kujiachia na kujipendekeza kwa wakoloni na kutupiga vita hata tusipate fursa za kusoma na ikipatikana lazima ubatizwe ili usome...
Shida ilianza tulipopata uhuru kila nyanja mwl Nyerere alwaweka kutokana na mlipata fursa za kusoma lkn matokeo yake mkakengeuka mkaanza ufisadi na kupoteza uzalendo wa nchi na kumuona bwege mgalatia mwenzenu sasa iweje leo mnajiona mnaweza kila kitu mpk kujaza mitungi ya gas kwa mdomo pia tukae tuamini kisa eti umesoma una degree na masters?..mashekhe walianzisha chama cha kisiasa cha kwnz chini bila ya kuwa na masters wala kuleta egos zozote
Haya maumiv yote ni kwasababu imeguswa angle ya kutokua na haki kwa watawala!!Ni kweli kabisaa gentleman,
wapewe maua yao kwasabb makasisi katoliki kwa kulawiti vijana wadogo, kuvunja ndoa za waamini wake, kupiga mimba visichana vya watu na kutelekeza watoto mitaani, kudhulumu maisha ya maalbino hiyo ndio sura ya kanisa na kazi ya maana sana wanafanya.
wakatoliki wapewe maua yao kwasabb hawapendi na hawataki kuskia kabisaa habari ya kiongozi wa nchi asie mkatoliki, ni muhimu sana wakapewa maua yao kwa ubaguzi wa kidini na chuki dhidi ya viongozi wasio wakatoliki 🐒
Sasa ndo walianzisha chama TAA?Unamjua Martin Kayamba? Unamjua Stephen Mhando? Uliwahi kumsikia Dr. Vedasto Kyaruzi? Udini usikupofushe. Ufisadi hauna dini.
Amandla...
IjumaaTumsifu Yesu Kristu....
Ile Sala ya novena Tanzania nzima inaanza lini
Hospital au shule ipi inayotoa huduma hizo buree bila malipo tenaa isitoshe huduma zenyw ni ghali mpk ikapelekea bunge likahoji iweje taasisi za kidini tena zenu wagalatia ni huduma za kibiashara na ni ghari mlalahoi hutii mguu..Sijawahi kusikia mtu wa dini nyingine aliyekataliwa kusoma au kutibiwa katika shule na hospitali za wagalatia. Huo ubaguzi wa kidini katika elimu ulisimuliwa na nani? Na mpaka sasa mnatibiwa katika hospitali zao na kujazana katika shule zao. Uwe na aibu kidogo unapoleta mambo ya kibaguzi.
Amandla...
Na waraka wake Papa Francis utaanza kufanya kazi lini..msitake kusahau aliongea mungu kuhusu huu warakaIjumaa
Kumbe hata haujui walioanzisha TAA! Na kilitokea wapi!Sasa ndo walianzisha chama TAA?
Hilo hapo baraza la wazee wa TAA baada ya kulibadilisha lisionekane ni la kiislam tena mpk ikabidi iwekwe amri wkt wa kufungua vikao isitumike assalaam alykumUnamjua Martin Kayamba? Unamjua Stephen Mhando? Uliwahi kumsikia Dr. Vedasto Kyaruzi? Udini usikupofushe. Ufisadi hauna dini.
Amandla...
Na waraka wake Papa Francis utaanza kufanya kazi lini..msitake kusahau aliongea mungu kuhusu huu waraka
Rais wa TAA alikua ni mzee Abdulwahid SykesKumbe hata haujui walioanzisha TAA! Na kilitokea wapi!
Amandla...
Kumbe unataka huduma za bure! Si uende Aga Khan au TMJ ili wakutibie bure kwa sababu ni muislamu mwenzao. Hii tabia ya kupenda vya bure haitakufikisha mbali. Wagalatia hawaoni taabu kulipia ili wapate huduma nzuri ndio maana hospitali zao zinaaminiwa kuliko za serikali.Hospital au shule ipi inayotoa huduma hizo buree bila malipo tenaa isitoshe huduma zenyw ni ghali mpk ikapelekea bunge likahoji iweje taasisi za kidini tena zenu wagalatia ni huduma za kibiashara na ni ghari mlalahoi hutii mguu..
Mpk serikali inakuja kushtuka misamaha ya kodi iliyokua ikitoa kwa taasisi za kidini ni kazi buree it's too late kipindi cha Mkapa akanza kiasi kwa sheria mpya za VAT akaja Kikwete akaongezea akaja mwamba mwnyw Magufuli akapiga nyundo kabisaa hakuna bure wala misamaha ya kodi tena ndo bifu lenu nyie wagalatia lilipoanzia hamna lolote hamuwezi kushindana na serikali matapeli wakubwa nyie wanyonyaji juzi bunge tena kipindi hichi Samia wabunge tena wagalatia wenzenu wanapiga kelele huduma za hospitali na shule hasa zebu wagalatia ni ghali
Na alikuwa peke yake?Rais wa TAA alikua ni mzee Abdulwahid Sykes
Baraza lake wazee wa TAA yumo Nyerere? Unanipotezea muda. Kwaheri.Hilo hapo baraza la wazee wa TAA baada ya kulibadilisha lisionekane ni la kiislam tena mpk ikabidi iwekwe amri wkt wa kufungua vikao isitumike assalaam alykum