Katoliki imesimamia nchi. Wapewe maua yao

Katoliki imesimamia nchi. Wapewe maua yao

Kumbe hata haujui walioanzisha TAA! Na kilitokea wapi!

Amandla...
Hawa mashekhe huwezi kuwakwepa hata mmoja katika historia ya uhuru wa tanganyika hawakua na masters wala PHD..huku wakiwa wamenyimwa kwa makusudi fursa za kusoma mpk ubatizwe
Wagalatia nyie ndo wanufaika wa kubwa wa matunda na keki ya taifa hili lkn kwnz kabla ya uhuru mlikua wanafiki na kujipendekeza kwa ukoloni baada uhuru wengi mkawa madarakani mathalani mzee Wasira alipata uteuzi angali kijana mdogo tu wa miaka 23...bado tuu mpk sahv mnabunya sie tumebaki na madrasa zetu mnatuona wajinga mnataka tuamini kwmb gas inajazwa na mdomo na usomi wenu wote lkn hamridhiki mnataka mpk sie wa madrasa pia tuseme ndio
 
Attachments

  • Screenshot_20250813-221926_Chrome.jpg
    Screenshot_20250813-221926_Chrome.jpg
    452 KB · Views: 10
PhD ni moja ya sifa za kuupata uaskofu RC mbali na umri wa kuzaliwa, umri katika utumishi (updre) na sifa nyingine za ziada.
Tumeona hizi PhD uchwara zilipoikifisha Tanzania. Ni ufisadi tu na kutofikiria nje ya boxi ndio sifa yao kuu.
Mpaka viongozi wa dini wamekula pesa za umma angalia mambo ya Escrow mikato ya pesa za haramu ilivyotembea.
Angalia vile kanisa miaka na miaka walivyo hujumu mfumo wa elimu Ili upande wao tu ufaidike na elimu.
Huu ujinga wakutaka kuleta mfakano umeisha zimwa.
Tanzania ni ya watanzania na ngao yetu ni haki na umoja.
 
Kumbe unataka huduma za bure! Si uende Aga Khan au TMJ ili wakutibie bure kwa sababu ni muislamu mwenzao. Hii tabia ya kupenda vya bure haitakufikisha mbali. Wagalatia hawaoni taabu kulipia ili wapate huduma nzuri ndio maana hospitali zao zinaaminiwa kuliko za serikali.

Amandla...
Sasa unaposema hatuna shukrani kivipi mnatoa huduma buree mpk tutoe shukrani?..huduma mnazotoa ni za kibiashara tena za kwenu ghali mpk mlalahoi hata akiwa ni mgalatia inamshinda kama hizi hospital za Tumaini zote hela iwe mfuko wa shati...
 
Kumbe unataka huduma za bure! Si uende Aga Khan au TMJ ili wakutibie bure kwa sababu ni muislamu mwenzao. Hii tabia ya kupenda vya bure haitakufikisha mbali. Wagalatia hawaoni taabu kulipia ili wapate huduma nzuri ndio maana hospitali zao zinaaminiwa kuliko za serikali.

Amandla...
Yanii misamaha ya kodi mpewe buree mchekelee halafu huku huduma za kijamii mlangue...misamaha imepigwa block mnaleta leta viwaraka vyenu uchwara mbn wa Papa Francis mnaukwepa?
 
Unamjua Martin Kayamba? Unamjua Stephen Mhando? Uliwahi kumsikia Dr. Vedasto Kyaruzi? Udini usikupofushe. Ufisadi hauna dini.

Amandla...
Mzee Mhando na Mzee Kyaruzi walikuja awamu ya pili ya TAA mwaka 1951 hata mwl Nyerere hajulikani chama cha TAA kilianzishwa mwaka 1929 chini ya mzee Kleist Sykes baba'ke Abdulwahid Sykes Selemani majisu Mzee bin Said wazee wengine ambao walikua mashekhe wamenitoka jina
 
Walikua chobisi wanakula pilau mbuzi na ndiz mbivu!!!
Unapajua chobisi au unajitoa fahamu?..misingi ya kusoma zamani kwnz lazima uwe mgalatia kama sio mgalatia ubatizwe au ruhusa maalum kwa kuwa ni mtoto wa chifu ikiwa ni muislam..
Sasa hapo chobisi ni ipi?..mlianza kula keki ya taifa kitambo sanaa hichi kitu kiliwafanya watoto wa kiislam wakose elimu kitambo hicho wakafunga breki za mbele wakabaki na imani zao wakaacha nyie msome mpate masters na madigrii matokeo yake mnaanza kutulisha matango pori eti gas mnajaza kwa mdomo lkn nyie si mmesoma lkn iweje sie hata wa madrasa mnataka tuuvae uzuzu wenu...mbaki nao huko huko....bhana
 
Yale matamko yao na walaka ziliishiaga wapi??
Walizoea kuketa ujuaji mama hataki shobo no kupangiwa✍️😂😂😂
 
Imesimamia nchi kivipi wakati nchi iko mikononi mwa Wahuni?
 
Unapajua chobisi au unajitoa fahamu?..misingi ya kusoma zamani kwnz lazima uwe mgalatia kama sio mgalatia ubatizwe au ruhusa maalum kwa kuwa ni mtoto wa chifu ikiwa ni muislam..
Sasa hapo chobisi ni ipi?..mlianza kula keki ya taifa kitambo sanaa hichi kitu kiliwafanya watoto wa kiislam wakose elimu kitambo hicho wakafunga breki za mbele wakabaki na imani zao wakaacha nyie msome mpate masters na madigrii matokeo yake mnaanza kutulisha matango pori eti gas mnajaza kwa mdomo lkn nyie si mmesoma lkn iweje sie hata wa madrasa mnataka tuuvae uzuzu wenu...mbaki nao huko huko....bhana
Kwanza pole san mfia dini ingawa sipo kweny mrengo wa kidini!! Ishu ya kupata elimu msisingizie enz za ukoloni, hata sasa zipo familia uswazi elimu ya kwanza wanaipambania ni elimu akhera!! Inaonekana hujui au hujafanya tafiti au umeondoa ubongo wako kwa muda! Family nying za kiislam elimu dunia ni second, changamoto kubwa ni mentality ya dini ndio imewafanya waamin zaid kweny elimu akhera!!!
 
Mnazungumzia katoliki ipi wakuu? Hii ambayo padri anachapika kwenye makazi ya kanisa na hakuna wanachofanya zaidi ya matamko tu?
 
Ooh uswazi yanii jamii ya kiislam nyng inaishi sijui mttacha lini cheep egos wagalatia utafiti upi una onyesha nyie wagalatia mnaishi pazuri?..tupo kwny boat moja ya udwanzi hata uwe na degrees na masters this is Africa hamjapiga hatua zzt zaidi ya kuaminishwa utajaziwa gas kwa mdomo...huo ni UZUZU mliobarikiwa wagalatia
Baada ya ukoloni mfumo wa elimu ukaharibika kama nilivyosema huko nyuma mlimkengeuka Nyerere kwa makusudi ili muwe beneficial na mashirika yenu ya kielimu ya kidini Nyerere anakuja kushtuka it's too late akaanza kutaifisha mashule na maeneo yenu RC mpk kesho bado mnazidai ikapelekea watu wasomeshwe na walimu wa UPE ambao walikuja kupunguzwa kipindi cha Mkapa taratibu mpk Kikwete...
Point yangu sio dini imefanya nini sasa hivi huwezi kusoma hata na mtoto wa koplo wa polisi sembuse hata walimu wenyewe hawawapeleki watoto wao Kayumba wkt zamani tulisoma pamoja bila kujali cheo cha baba'ako..
Kunufaika mlinufaika pakubwa tokea ukoloni baada ya ukoloni hilo lipo wazi mna masters na maphd kila idara serikalini mmejaa nyie mbn ufisadi haukomi..mnachofanya mnaiba then mnaenda kutambiana kanisani na magari mazuri huku mkishindana kutoa sadaka kama mazuzu
 
Mnazungumzia katoliki ipi wakuu? Hii ambayo padri anachapika kwenye makazi ya kanisa na hakuna wanachofanya zaidi ya matamko tu?
Mbn washatimba mpk msikitini na mabuti mwembechai kuna padre alitoa tamko au kanisa?
 
Katoliki imesimamia nchi wapewe maua yao. Hakuna uchawa, kudanganya wala kuunga mkono mambo ya kijinga. wakatoliki wapewe maua yao
Ila kushabikia vibaraka wa Mabeberu ndio wanaweza 😆😆

Nchi haiwezi pangiwa na vikundi vya kidini
 
Back
Top Bottom