Hakuna siku waislam wanajitapa wanaindesha serikali.Mbn washatimba mpk msikitini na mabuti mwembechai kuna padre alitoa tamko au kanisa?
Hakuna siku waislam wanajitapa wanaindesha serikali.Mbn washatimba mpk msikitini na mabuti mwembechai kuna padre alitoa tamko au kanisa?
Kwenye uislam hakuna elimu dunia wala elimu akhera, wagalatia wasio na akili ndio wanatutofautishia elimu.Kwanza pole san mfia dini ingawa sipo kweny mrengo wa kidini!! Ishu ya kupata elimu msisingizie enz za ukoloni, hata sasa zipo familia uswazi elimu ya kwanza wanaipambania ni elimu akhera!! Inaonekana hujui au hujafanya tafiti au umeondoa ubongo wako kwa muda! Family nying za kiislam elimu dunia ni second, changamoto kubwa ni mentality ya dini ndio imewafanya waamin zaid kweny elimu akhera!!!
Endeleeni kujidanganya hivyohivyo.UKWELI Mchungu: Mali za Tanzania nzima (namba 1-Serikali) na (namba 2-Kanisa la Katoliki) . Kesho wakisema wanasimamisha mashule yao, hospitali na vitegauchumi vyao vyote mpaka mabadiliko ya sheria yafanyike serikali kesho kutwa inafanya mabadiliko tena bila mgomo.
Sababu kubwa sio tu kwamba wakatoliki ni wengi lakini kwa Tanzania hakuna kampuni yeyote ya binafsi au shirika lolote lenye uwekezaji mkubwa nchini na kwa miaka mingi zaidi ya kanisa la katoliki. Kanisa la katoliki liko nyuma ya serikali pekee.
Lakini thamani ya manyumba, viwanja, mashule, mahospitali, mahosteli na vyuo ni zaidi ya kampuni yeyote au shirika lolote Tanzania. Ukweli ni mchungu lakini tukitaka mabadiliko ya haraka ni hawa jamaa kutishia mgomo.
Ukweli ni kwamba maongezi yamesha anza kuhakikisha wanasimama na haki tena kwa support kubwa na makanisa mengine Duniani kama walivyofanya Congo
Yanii sijui wanajichukia je wkt wanachotakiwa wa practice ule waraka wa Papa Francis ambao anadai ni maagizo aliyopewa na munguHakuna siku waislam wanajitapa wanaindesha serikali.
Mlikatazwa kusoma au ni uvivu tu wakushinda mmelala vibaraza I kama wamama wajawazito, kazi kunywa kahawa tu badala yakupeleka watoto shule!TAA ndo chama kwnz cha harakati za uhuru nchi hii chama ambacho kilikua chini ya viongozi wake wakiwa ni waislam na baraza lake likiwa na mashekhe na wazee wa kiislam...
Wkt huo nyie full kujiachia na kujipendekeza kwa wakoloni na kutupiga vita hata tusipate fursa za kusoma na ikipatikana lazima ubatizwe ili usome...
Shida ilianza tulipopata uhuru kila nyanja mwl Nyerere alwaweka kutokana na mlipata fursa za kusoma lkn matokeo yake mkakengeuka mkaanza ufisadi na kupoteza uzalendo wa nchi na kumuona bwege mgalatia mwenzenu sasa iweje leo mnajiona mnaweza kila kitu mpk kujaza mitungi ya gas kwa mdomo pia tukae tuamini kisa eti umesoma una degree na masters?..mashekhe walianzisha chama cha kisiasa cha kwnz chini bila ya kuwa na masters wala kuleta egos zozote
Wanakuja kushituka wenzao wapo km 100, wakaanza kulalamikaWalikua chobisi wanakula pilau mbuzi na ndiz mbivu!!!
Acha basi kujipa upopoma!! Masheikh, maustaadh walimu wa dini ya kislam hua wanasema waz kuhus elimu akhera na elimu dunia!! Nashangaa unajivika uzuzu kwamba hujui!!Kwenye uislam hakuna elimu dunia wala elimu akhera, wagalatia wasio na akili ndio wanatutofautishia elimu.
Mgalatia umekuja speed sanaa au umesha practice waraka wa Papa Francis nini?..wkt wa vugu vugu wa kuanzisha chama cha kisiasa tanganyika mwaka 1929 hao mashekhe walikua hawana hata masters wala PhD...msukumo huo ulitokana na unyanyasaji na ukandamizaji upendeleo mlioupata kutoka kwa wakoloni mnachokataa ni kipi na kipo wazi kabisaMlikatazwa kusoma au ni uvivu tu wakushinda mmelala vibaraza I kama wamama wajawazito, kazi kunywa kahawa tu badala yakupeleka watoto shule!
Fanya practice waraka wa Papa Francis..tuachieni sie madrasaAcha basi kujipa upopoma!! Masheikh, maustaadh walimu wa dini ya kislam hua wanasema waz kuhus elimu akhera na elimu dunia!! Nashangaa unajivika uzuzu kwamba hujui!!
Nipe mmoja aliyesema mkuuAcha basi kujipa upopoma!! Masheikh, maustaadh walimu wa dini ya kislam hua wanasema waz kuhus elimu akhera na elimu dunia!! Nashangaa unajivika uzuzu kwamba hujui!!
Fanyia practice waraka wa Papa Francis au either ukajaziwe mtungi gas ndo utajua sasa maana ya elimu dunia na elimu akhera..Acha basi kujipa upopoma!! Masheikh, maustaadh walimu wa dini ya kislam hua wanasema waz kuhus elimu akhera na elimu dunia!! Nashangaa unajivika uzuzu kwamba hujui!!
Nilichogundua hapa kumbe upo kidini zaid na chuki na imani ya kikristo, kweny biblia lipo jina la YESU linaweza yote wala hakuna uponyaji wala ondoleo la dhambi bila jina la YESU!! Sasa kama wewe huamin hayo ni kwann unaumia? Baki na kile unaamini mzee!!!Fanyia practice waraka wa Papa Francis au either ukajaziwe mtungi gas ndo utajua sasa maana ya elimu dunia na elimu akhera..
Yanii weeh na degree changanya na masters zako unashndw na mtu aliyefuzu madrasa kwmb mtungi wa gas hauwezi kujazwa kwa mdomo lkn weeh na elimu yako dunia vyuo vyote umesoma lkn unapiga makofi na kuamini huu sasa ni UZUZU wa aina gani?..daily dini haikosi matamko kila kona ya dunia mnaleta zama ushuhuda mpk Papa Francis adai kaongea na mungu awabariki mashoga mnatuletea sodoma hadharani mnakula nini lkn?
Hakuna elimu hizo ; kusema elimu ya akhera na ya dunia.Acha basi kujipa upopoma!! Masheikh, maustaadh walimu wa dini ya kislam hua wanasema waz kuhus elimu akhera na elimu dunia!! Nashangaa unajivika uzuzu kwamba hujui!!
Hivi kwann mnakua na asili ya ubishi? Kwa akili ya kawaida tu nikuulize... Kusoma dini ni elimu ya mamb ya ulimwengu au mamb ya akhera? Kusoma kuanzia kayumba, sec mpaka vyuoni ni elimu ya akhera au elimu ya ulimwenguni?Nipe mmoja aliyesema mkuu
Kuna swali nimewauliza wafia dini wenzako nenda kaangalie mje na majibu!!Hakuna elimu hizo ; kusema elimu ya akhera na ya dunia.
.Hayo ni maneno yenu yenu ya kutunga ,hakuna kiswahili cha neno akhera.
Mimi sifuati mwanadam anasema nn au anaagiza nn mimi nafuata mwenyez MUNGU anasema nini!!Fanya practice waraka wa Papa Francis..tuachieni sie madrasa