Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 23,264
- 28,423
Kanisa Katoliki Tabora lilimsaidia Nyerere kwa kumpa ukumbi wa mikutano pale TMP.Ila wkt wa kutafuta uhuru lugha haikua hii wkt huo nyie wagalatia ndo wanufaika wakubwa..Nyerere alipoingia madarakani kabidhiwa nchi nyie ndo mlikua wanufaika kwa kuwa mlipata fursa ya kusoma na kusomeshwa na mkoloni kwa misingi ya ubaguzi wa dini
Mkaanza ufisadi na kumchezea shere mgalatia mwenzenu Nyerere...nchi ikakosa kusonga mbele sasa ndo mnajifanya nyie ndo mnajua hatma ya hii nchi kwa kuwa?