Tanganian
JF-Expert Member
- Jan 27, 2025
- 5,085
- 8,794
Mshamba nn ? Uliza hilo swali ! Kama sio mfia dini mbona kinyeo kinakuwasha?Kuna swali nimewauliza wafia dini wenzako nenda kaangalie mje na majibu!!
Mshamba nn ? Uliza hilo swali ! Kama sio mfia dini mbona kinyeo kinakuwasha?Kuna swali nimewauliza wafia dini wenzako nenda kaangalie mje na majibu!!
Anasema nini mwenyezimungu kupitia nini?Mimi sifuati mwanadam anasema nn au anaagiza nn mimi nafuata mwenyez MUNGU anasema nini!!
Sio kweli. Hilo lipo KKKT lazima uwe na PhD ndio uupate uaskofu. Kwa katoliki wao wanaangalia IQ, busara, uwezo wa kuongoza na uthubutu wa imaamuzi ndio upendekezwe kwa papa kupata uaskofu. Katoliki hususani seminarini wanalelewa kukataa kabisa uchawa kwa maana ya kujipendekeza kwa mapadre, yaani utatimuliwa shule asee.PhD ni moja ya sifa za kuupata uaskofu RC mbali na umri wa kuzaliwa, umri katika utumishi (updre) na sifa nyingine za ziada.
Inshort kusoma na kujifunza both books ni jambo jema mathalani kusoma vya dini vinakufanya uwe khofu ya mwenyezimungu na unyenyekevu si kwa mwenyezimungu tu bali hata viumbe vyote alivyo viumba mwenyezimunguHivi kwann mnakua na asili ya ubishi? Kwa akili ya kawaida tu nikuulize... Kusoma dini ni elimu ya mamb ya ulimwengu au mamb ya akhera? Kusoma kuanzia kayumba, sec mpaka vyuoni ni elimu ya akhera au elimu ya ulimwenguni?
Lkn mlipokua machawa na vibaraka wa wakoloni hamkulisema hili na ikapelekea mpk waislam kuanzisha chama cha kisiasa tanganyika mwaka 1929...cha TAA ambacho kikawa Tanu baadaye CCM...Sio kweli. Hilo lipo KKKT lazima uwe na PhD ndio uupate uaskofu. Kwa katoliki wao wanaangalia IQ, busara, uwezo wa kuongoza na uthubutu wa imaamuzi ndio upendekezwe kwa papa kupata uaskofu. Katoliki hususani seminarini wanalelewa kukataa kabisa uchawa kwa maana ya kujipendekeza kwa mapadre, yaani utatimuliwa shule asee.
WHAT ARE YOU TALKING ABOUT IN RELATION TO MY PREVIOUS POST?Lkn mlipokua machawa na vibaraka wa wakoloni hamkulisema hili na ikapelekea mpk waislam kuanzisha chama cha kisiasa tanganyika mwaka 1929...cha TAA ambacho kikawa Tanu baadaye CCM...
Hivo basi CCM wanatumia mbinu ile ile ya mkoloni divided and rule washajua hatuwezi kuwa shajara kwa vyvyt vile fimbo ni ile ile wanayotumia kuhubiri Imani tunadumisha milele watakaa madarakani CCM...mana'ke ukiwa mpinzani wanaanza kukuchapa kwnz na Propaganda za udini cha msingi utatazamwa udini gani wa kanda gani kitako fuata ni makelele tuu full stop
You know what am talking about...kujipendekeza kwa watawala hakujaanza leo ni mwendelezo tuu..wa divided and ruleWHAT ARE YOU TALKING ABOUT IN RELATION TO MY PREVIOUS POST?
Sikia wasomi wengi walio.na umri mkubwa kwasasa wazazi wao hawakuwa na elimu ya darasani kabisa lakini hiyo haikuwafanya kushindwa kuwapeleka watoto shule, nyie hao masheih wakaishia kufuga ndevu 😂😂Mgalatia umekuja speed sanaa au umesha practice waraka wa Papa Francis nini?..wkt wa vugu vugu wa kuanzisha chama cha kisiasa tanganyika mwaka 1929 hao mashekhe walikua hawana hata masters wala PhD...msukumo huo ulitokana na unyanyasaji na ukandamizaji upendeleo mlioupata kutoka kwa wakoloni mnachokataa ni kipi na kipo wazi kabisa
Wakoloni wakafurahia divided and rule muislam hasomi bila ya kubatizwa au ruhusa maalum kama ni mtoto wa chifu.waislam hawakukaa barazani awamu ya pili chama cha TAA kiliundwa mwaka 1951 hata kambalage hajulikani huku nyie wagalatia mkiwa wanufaika wakubwa wa elimu kutokana na usnitch wenu kwa mkoloni...mpk 1955 chama rasmi cha TANU kilipoundwa kidogo wagalatia sasa mkaanza kunga'ta na kupuliza...SASA BARAZA LIPI WAISLAMU WALIKAA?..au la Roma?
Wamejengq taasisi na siyo individuals.PhD ni moja ya sifa za kuupata uaskofu RC mbali na umri wa kuzaliwa, umri katika utumishi (updre) na sifa nyingine za ziada.
Wewe kusoma kwako kote unajua ndevu zinafungwa?..ndevu zinawekwa weeh mgalatia fanya uwezavyo kila njia uanze kupractice waraka wa Papa Francis deeply utaona matokeo yake mazuriSikia wasomi wengi walio.na umri mkubwa kwasasa wazazi wao hawakuwa na elimu ya darasani kabisa lakini hiyo haikuwafanya kushindwa kuwapeleka watoto shule, nyie hao masheih wakaishia kufuga ndevu 😂😂
Unaota na hao wala kitimoto wenzio.Katoliki imesimamia nchi wapewe maua yao. Hakuna uchawa, kudanganya wala kuunga mkono mambo ya kijinga. wakatoliki wapewe maua yao
UKWELI Mchungu: Mali za Tanzania nzima (namba 1-Serikali) na (namba 2-Kanisa la Katoliki) . Kesho wakisema wanasimamisha mashule yao, hospitali na vitegauchumi vyao vyote mpaka mabadiliko ya sheria yafanyike serikali kesho kutwa inafanya mabadiliko tena bila mgomo.
Sababu kubwa sio tu kwamba wakatoliki ni wengi lakini kwa Tanzania hakuna kampuni yeyote ya binafsi au shirika lolote lenye uwekezaji mkubwa nchini na kwa miaka mingi zaidi ya kanisa la katoliki. Kanisa la katoliki liko nyuma ya serikali pekee.
Lakini thamani ya manyumba, viwanja, mashule, mahospitali, mahosteli na vyuo ni zaidi ya kampuni yeyote au shirika lolote Tanzania. Ukweli ni mchungu lakini tukitaka mabadiliko ya haraka ni hawa jamaa kutishia mgomo.
Ukweli ni kwamba maongezi yamesha anza kuhakikisha wanasimama na haki tena kwa support kubwa na makanisa mengine Duniani kama walivyofanya Congo
Tayari ushapanic!! Sikulaum hii ndio asili yenu tang enzi ya Ishmael!!! Watu wa dhihaka, kejeli na uuaji na walipa visasa!!! Pole sanMshamba nn ? Uliza hilo swali ! Kama sio mfia dini mbona kinyeo kinakuwasha?
Unajifanya unajua ,uliza sasa !Tayari ushapanic!! Sikulaum hii ndio asili yenu tang enzi ya Ishmael!!! Watu wa dhihaka, kejeli na uuaji na walipa visasa!!! Pole san
Swali lako lilikua zuri sanaa na la maana 👊👊 nadhani nilikujibu uliona?Tayari ushapanic!! Sikulaum hii ndio asili yenu tang enzi ya Ishmael!!! Watu wa dhihaka, kejeli na uuaji na walipa visasa!!! Pole san