Well said, learn moreHata mimi nikiona life imetulia kwanini misijilengeshe mimba niolewe. Ninawaambia vijana hizi DNA zetu muangalie mna idondoshea wapi
Mkuu utanioa utake usitakeMkuu, kuoa hapa no. But nitaufanyia kaxi ushauri wa kumwacha aishi ajifungue then asepe soon after mother's care
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiukweli ni fighter na mabinti wa kitanga wapo vzur on bed even their appearance. Tatzo moyo unakataa kusukuma damu yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Itaji lake lilikuwa kubebeshwa mimba na kujikataa sio vingnevyoHuyo Dada Nampa pole, hakujua kua c kila mwanaume anafaa kuwa mme.. Wengine magume dume. Huyo Dada ni mjenz mwema, angekua nyang'au angetoa mimba na kuendelea na mambo yake. Ila kwakua analenga kujenga Familia Ana hofu ya MUNGU ndo maana hakutoa mimba. Ila mti alioutumainia sasa.. Duhhhhhhhhhhh mpapai mkavu wakati wa mvua
Sent using Jamii Forums mobile app
Add this, alfikia makubaliano ya kupewa ujauzito tu sio kurudi tens apaAlivyompa mimba alitegemea ninj? Nampongeza uyo dada kwa kutoitoa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ulifurahi kukata uno huku unakula muwa shhhhh, ssshh, hongera ba kijacho
Sio kuifunua tuu bali ameifukunyuaEti sijamfunua hata K yake ulivyoifunua na kuingiza mtoto hukumbuki? Nyinyi ndiyo mnaongeza idadi ya single mothers
APA no life disastrous but ye alihitaj mimba tu sio kurud kulelea apaWe acha ufala wa kutoa mimba. Kwani ulikuwahujui kile kitendo ulichomfanyia usiku kingezaa mimba? Acha kumharibia maisha mwenzio...
Sent using Jamii Forums mobile app
Well saidumemwambia hayo? Ustawi wa jamii unashauri mtoto alelewe na mama mpaka akifikisha miaka saba hivyo mumpe msaada mpaka hapo
Your wrongMkuu utanioa utake usitake
Mi binti wa kitanga nimekuja nimekamilika?
Ndo umekuja kunitangaza humu? Wee c unaitwa Ahmed wewee
Ohooo chezea hao hao[emoji108] [emoji108] [emoji108]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabla hujaomba ushauri humu ulipima uzito Wa swali lako au unatafuta utukanwe uone watu wabaya kwanza naomba sheria yakutoa mimba ikuhusu pia ulipomlala ulijua unampaka cream uyo Dada anaakili zake sawa hawezi kuishiriki zambi yako eti nilimtongoza Mtandaoni so what kwani sio mwanamke acha zarau uyo ni mwanamke wako unajiona ulivokuwa ovyo baada ya kumwambia atoe mimba eti nikapotezana nae miez4 nikamdelete ulimuona yechiz bigup kwauyo mwanamke yaani uyo ndio mwanamke anajitambuaHabari wana-jf,
Kuna demu nilimtongoza mtandaoni na alikuja hadi home ninapoishi na kukaaa kwa muda wa mwenzi mmoja atmae akaondoka na kivimbe tumboni(mimba). Alirudi kwao tanga, nilimshauri aitoe na akakubali lakin aliomba nimtumie pesa ya kufanya hilo jambo, ikatumwa. Wanasema ukishangaa ya mtandaon utayaona ya huyu demu, juzi karudi kwangu bila taarifa baada ya kupotezana kwa miez 4 uku nilikuwa nisham-delete akilini. Nimempokea na cjamfunua k yake tangu aje, na mimba ajaitoa. Je, wadau huyu demu nimfanyaje asepe mazima?
Sent using Jamii Forums mobile app
Thank you for real testimonyJambo hili lilinitokea mwaka 2009 kwenda 2010 nilikutana na dada fulani mjini, mambo ya ujana nikakwichikwichi nilikuwa likizo tu nchini, baada kuondoka kama mwezi ananiambia mjamzito duh, sikupanic nikamuuliza watakaje!? Yeye akasema hataki kuzaa na anataka pesa achoropoe, Bila kinyongo nikamtumia pesa, baada ya miezi kama 4 ananiambia ameakhirisha kutoa anataka kuzaa, dah japo sikupenda nikajikaza tu, akajifungua mtoto wa kike akanitumia picha, alikuwa mrembo sana mtoto, mpk hapo Nampa huduma zote, na nilikuwa na mtoto mmoja wa kiume, baadae akaolewa alipofika miaka 5 akakubali kunipa nikamchukua nashukuru mke wangu nilimjulisha mapema kabla sijamuowa, hata nilipomleta home hapakuwa na shida, mke wangu akajifungua wa kiume pia, kwahiyo wa kike ni yeye tu, na ndio mtoto kipenzi hata kwa wife, huwa nikimtazama nakumbuka uamuzi ule naumia sana, mpaka sasa itokee nimecheza rafu nje sishauri kutoa azae tu
Umeona mpaka tunawaogopalea mimba acha utoto, ndiyo nyie mnaowafanya wanaume wote waonekane hawana maana.
Ungelijua ilo ungesubili mpaka mtambulike umfunueNilimwambia nitampatia Huduma akiwa kwao, cuz atambulik sitambulik kwao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaongea wangapi umewabwagaUna nyota ya uuaji na roho ya umasikini...
I assure you Hugo mwanamke anakupenda sana ..yaaan daaahhh wengine upendo km huo ndo tunautafuta .
Remember, hii imefupishwa. Na unavyotoa thread aiwez ikawafanana vle unavyotaka we, alihitaji mimba tu, ishu ya kutoa was a part of her decision ya kukiuka the agreement but more good mimba IPO, kwann sasa alazmshe kuishi nami. DiscussKabla hujaomba ushauri humu ulipima uzito Wa swali lako au unatafuta utukanwe uone watu wabaya kwanza naomba sheria yakutoa mimba ikuhusu pia ulipomlala ulijua unampaka cream uyo Dada anaakili zake sawa hawezi kuishiriki zambi yako eti nilimtongoza Mtandaoni so what kwani sio mwanamke acha zarau uyo ni mwanamke wako unajiona ulivokuwa ovyo baada ya kumwambia atoe mimba eti nikapotezana nae miez4 nikamdelete ulimuona yechiz bigup kwauyo mwanamke yaani uyo ndio mwanamke anajitambua
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti alee mtoto kwao akuletee mtoto hivi kaka unajielewa kweliHuyu mwenyewe alivunja mkataba wa kuhudumiwa akiwa kwao then amlete child.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ni mwanamke neno uliloongea Mungu akusameheHuyo msichana nae king'ang'anizi........mfukuze kwako khaaa