ElPuto Jefe
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 5,286
- 19,469
Mkataba gani mkuu!? Kwanza huyo binti ni mzuri, mjuvi wa mambo kitandani na ana akli ya maisha!??
Nilimwambia nitampatia Huduma akiwa kwao, cuz atambulik sitambulik kwao.Ha ha ha!!
Pambana Na hali yako mkuu!!!
Huyu mwenyewe alivunja mkataba wa kuhudumiwa akiwa kwao then amlete child.lea mimba acha utoto, ndiyo nyie mnaowafanya wanaume wote waonekane hawana maana.
Thank youHapo kuna utata..je una hakika hy mimba ni yako,baada ya kutengana nae kwa miezi minne(km unavyodai)..ok..ushauri tuu labda kapime hy mimba ni ya muda huo? Labda unaweza kuamini ni yako,kulingana na miezi
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo sahihi lakin kwann avunje maagano ya kuzaa mtoto na sio kuolewa nami? Amekuja APA sio kulea analaximsha aolewe.Eti sijamfunua hata K yake ulivyoifunua na kuingiza mtoto hukumbuki? Nyinyi ndiyo mnaongeza idadi ya single mothers
Naomba pambanua msemo wakoHujielewi au huelewi maana ya moto
Ukute huyu nae ni mhubiri mzuri wa mambo ya Mungu
Sent using Jamii Forums mobile app
Unamatatizo, mwanzo mbona ulimfunua iyo unayosema sijui et K kwa nn sasa iv?Habari wana-jf,
Kuna demu nilimtongoza mtandaoni na alikuja hadi home ninapoishi na kukaaa kwa muda wa mwenzi mmoja atmae akaondoka na kivimbe tumboni(mimba). Alirudi kwao tanga, nilimshauri aitoe na akakubali lakin aliomba nimtumie pesa ya kufanya hilo jambo, ikatumwa. Wanasema ukishangaa ya mtandaon utayaona ya huyu demu, juzi karudi kwangu bila taarifa baada ya kupotezana kwa miez 4 uku nilikuwa nisham-delete akilini. Nimempokea na cjamfunua k yake tangu aje, na mimba ajaitoa. Je, wadau huyu demu nimfanyaje asepe mazima?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiukweli ni fighter na mabinti wa kitanga wapo vzur on bed even their appearance. Tatzo moyo unakataa kusukuma damu yake.Mkataba gani mkuu!? Kwanza huyo binti ni mzuri, mjuvi wa mambo kitandani na ana akli ya maisha!??